Iraq imeamua kuungana na Iran kupigana na Marekani

Iraq imeamua kuungana na Iran kupigana na Marekani

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo.

Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi la Iraq lenye misimamo ya kimapinduzi ya Ian yalishambuliwa na kuuawa kwa wanamgambo kadhaa,Shambulio hilo lililofanywa na Marekani ni baada ya wanamgambo hao kufanya mashambulizi dhidi ya ubalozi wa Marekani na vituo vingine vinavyosimamiwa na nchi hiyo.

Kilichoiudhi Iraq ni uamuzi wa Marekani kupiga wanamgambo hao bila kushauriana nayo.Hivyo katika kikao cha jana kati ya serikali na viongozi wa kijeshi wakiwemo PMF,serikali imetoa ruhusa kwa jeshi la PMF kupigana na vikosi vya Marekani kama watakavyopenda.

Uamuzi huo utaiweka Marekani katika hali ngumu zaidi wakati huu ambapo tayari imeshaelemewa na vita.
 
Acha uongo bwana. Hakuna Iraq iliyoingia vitani hao ni wale magaidi wanaofadhiliwa na Iran na wala hawana athari yoyote.
 
Back
Top Bottom