Na hiyo drone imerushwa toka humo humo Iran.Drone ya Kamikaze huwa ikitumwa haikosi shabaha yake... Sehemu ya mitambo imeharibiwa na ililazimu wazime mitambo haraka la sivyo mlipuko ungejitengeneza wenyewe na mkubwa sana na ingekuwa ndio the end ya tamaa ya Nguvu za atomic huko iran.. kiufupi Iran ingeachana tu na mipango ya kishetani waliyojiapiza kuitenda dhidi ya israel maana hizi taabu hazitaisha.. Iran hawataki kuishi kama nchi zingine like Tanzania hatuzitishi nchi zingine
Hata Mlaleo inabid atujuze ana maslah gani na IsraelHivi kimsboy una maslahi gani na Iran? Kwa nia njema kabisa
OkayHata Mlaleo inabid atujuze ana maslah gani na Israel
Alafu nadhan kwa namna Iran inavyoendesha mambo yake ktk mazingira tete ya uhasama na wamagharib na bado wanasimamia misimamo kulingana na maslah ya kinchi na bado nchi inaenda sisi watanzania tuna lakujifunza hapa ifikie kipind Tanzania yetu isimame kidete kwenye kusimamia maslah yake haijulish nan atasimama mbele yetu.Okay
Ww ni mgonjwa wa akili uliekata tamaa, sasa unasema waache mpango wao ww kama nani, kwanza unaongea hivyo nchi yako uliwahi kunisaidia nini mpuuzi wwDrone ya Kamikaze huwa ikitumwa haikosi shabaha yake... Sehemu ya mitambo imeharibiwa na ililazimu wazime mitambo haraka la sivyo mlipuko ungejitengeneza wenyewe na mkubwa sana na ingekuwa ndio the end ya tamaa ya Nguvu za atomic huko iran.. kiufupi Iran ingeachana tu na mipango ya kishetani waliyojiapiza kuitenda dhidi ya israel maana hizi taabu hazitaisha.. Iran hawataki kuishi kama nchi zingine like Tanzania hatuzitishi nchi zingine
Naona umekosa hoja so umeanza personal attack!Ww ni mgonjwa wa akili uliekata tamaa, sasa unasema waache mpango wao ww kama nani, kwanza unaongea hivyo nchi yako uliwahi kunisaidia nini mpuuzi ww
Sio mpaka awe na maslahi. Kuna watu hobi yao ni kupenda haki na kutokupenda kuonewa au kutokupenda ubaguzi.Hivi kimsboy una maslahi gani na Iran? Kwa nia njema kabisa
Hawawezi kuzuia Bahari kujaa maji wanajisumbua tuSio mpaka awe na maslahi. Kuna watu hobi yao ni kupenda haki na kutokupenda kuonewa au kutokupenda ubaguzi.
Wewe huoni wanaotaka kumzuia Iran asiwe na nyukilia ndio wenye nazo huku wakiwa wanaziboresha kila uchao?
Hata sisi Tanzania siku tukitaka kujitegemea na tukataka kulinda maslahi yetu tutaanza kuandamwa?
Asiyeelewa haya mambo ni mjinga wa mwisho!
Hata China imeweza kufika ilipo kutokana na kuwekeza kwenye jeshi la kisasa ambalo lazima liweze kuwa na silaha hatari kama walizo nazo maadui.
Dunia ya sasa kama huna silaha hatari kama nyuklia, silaha za kimtandao na silaha za kibaiolojia huwezi kulinda maslahi yako.
Ifike mahali tuamke... Mzungu hawezi kukuheshimu au hawezi kukaa meza moja na wewe kama huna vitu vya hatari kama alivyo navyo yeye
Ww ni mgonjwa wa akili uliekata tamaa, sasa unasema waache mpango wao ww kama nani, kwanza unaongea hivyo nchi yako uliwahi kunisaidia nini mpuuzi ww
Kwa Iran sawa, ila kwetu sisi Afrika mbona tuna kazi nzito ya kufanyaHawawezi kuzuia Bahari kujaa maji wanajisumbua tu
Kama ww unavyofundishwa huko makanisani kuwapenda wayahudi na kuwachukia Waislam wakati huyo unaemuabudia alichezea kichapo na wayahudi na wala hakuna andiko alilosema kuwa yeye ni Mungu, wametokea wazungu akina paulo huku wakiwapotoshaNi Mwanapropaganda wa Muqawamma wa Shia kwa upande wa Afrika mashariki, kwenye misikiti ya Shia huwa wanafundishwa kuwneza propaganda za Iran.
Duh..!Ni Mwanapropaganda wa Muqawamma wa Shia kwa upande wa Afrika mashariki, kwenye misikiti ya Shia huwa wanafundishwa kuwneza propaganda za Iran.
Extremists km kimsboy ni watu htr sana, akiwa jirani jitahidi sana uhame, mimi nimeshuhudia jamaa mmoja ameacha kazi ya udaktari huko kagera kaenda kujiunga na kundi la waasi hapo msumbiji eti anaitimiza sunna! Extremists must not be allowed to liveHivi kimsboy una maslahi gani na Iran? Kwa nia njema kabisa