RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,124
Ndugu kimenuka kama mlivyo kuwa mnataka ila inaonekana Iran haijatumia nguvu nyingi katika shambulizi hilo kwa sababu tulihaidiwa wangezishambulia kambi 13.
Ndugu kimenuka kama mlivyo kuwa mnataka ila inaonekana Iran haijatumia nguvu nyingi katika shambulizi hilo kwa sababu tulihaidiwa wangezishambulia kambi 13.
Acha kwanza tuone kidogo tushachoka na maneno maneno tunataka vitendoNaona kila mmoja anahamu ya kutest technolojia yake, hahaha, sema waache bwana maana mambo ya vita yakianza siye tulioko kwa mkoloni tutapata taabu sana
Tayari mkuu.Warushe upesi jamani ili Wairani wa kwa Mtogole ili baada ya swala ya Ijumaa waanze kuandamana mpaka Ubalozi wa Marekani kulaani majibu ya Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee tetemeko tena mungu kaamuwa kuingilia kati kuisaidia marekani eti kujibu mashambulizi.Taarifa siziso rasmi:
Ndege ya abiria ya nchini Ukraine imeanguka karibu na uwanja wa ndege wa Imam Khomeini karibu na mji mkuu Tehran. Inasemekana ilibeba abiria 180.
Pia kuna taarifa kuhusu uwepo wa tetemeko la ardhi kusini mwa Irani.
Bado ninaendelea kuzithibitisha taarifa hizi mbili.
Umenifanya nicheke asubuhi asubuhiHawa hata wakirusha kombola, watalenga pembeni na kambi za marekani, hawatathubutu kufanya ujinga wa kujidai wanashabaha....
Marekani na Mungu wapi na wapiEe tetemeko tena mungu kaamuwa kuingilia kati kuisaidia marekani eti kujibu mashambulizi.
Mkuu inatuletea habari zikiwa za moto kabisa kama aljazeera...BREAKING: Ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737 iliyokuwa na abiria takribani 180 imeanguka muda mchache baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa mji mkuu Tehran, Iran.
===
DETAILS: A Ukrainian Boeing 737 with 180 passengers on board has crashed after taking off from Tehran Airport, Tasnim news agency reports. There have been no further details so far concerning possible casualties in the accident. [Sputnik]
MORE: The plane was heading for Kyiv but reportedly crashed due to technical issues, Fars news agency reported
Sio rahisi kihivyoTrunk hatanii, amedhamiria kuisambaratisha vibaya Iran, Iran ijiandae kupokea kichapo kingine kizito muda mchache ujao.
Wakati mwingine ukichokozwa ni bora ukatulia kimya, ukijifanya mwamba ya kujibu mapigo utamalizwa.