IRAN Yashambuliwa kwa Drones

Azeri ni jamii ya Turks wakati Wairan wengi ni waajemi ambao wako mbali na Turks hata kwa lugha.
 
Ajabu hadi muda huu Iran haijajua drone zimetokea wapi, zinamilikiwa na nani
Miji 7 imelipuliwa
Waliweza ishusha moja bila kuaharibika- wakakuta inafanana kila kitu na Drone ya Israel iliodondoshwa Hivi karibuni Lebanon.
 
Attachments

  • 2C6D6FCF-1E6C-4316-B0A9-1B04197B9CEC.jpeg
    147.7 KB · Views: 6
Hadi sasa kakosa wa kumjibu maana imetokea within
 
Iran anajazwa ili aingie kwenye vita kamili,

Iran hawataipata Amani hapo middle East kwakuwa amechagua upande wa kushoto.
 
Upo ndotoni au
 
sraeli
state channel reports that a convoy of 25 Iranian
trucks has just been hit in the Abu Kamal area on the border of Iraq
and Syria
.
Waisrael usema chochote - lakini wakumbuke kitu kimoja wasichezee Iran - hata akishirikiana na USA hawezi kufanya lolote -wataishia kwenye hujuma hujuma tu lakini sio vita kamili.
 
Waisrael usema chochote - lakini wakumbuke kitu kimoja wasichezee Iran - hata akishirikiana na USA hawezi kufanya lolote -wataishia kwenye hujuma hujuma tu lakini sio vita kamili.
Sawa mwanajeshi wa Iran
 
Mtu yeyote anayeilaani israel huishiwa kuwa laana
Wasilaaniwe hao wayahudi waliompga mwana wa mungu mpk waka mvua nguo akabaki na chupi huyo mungu aje kutulaani sisi basi huyo mungu waajabu sijapata kuona kaacha kuwalaani waliembonda mwane atulaani sisi
 
Waisrael usema chochote - lakini wakumbuke kitu kimoja wasichezee Iran - hata akishirikiana na USA hawezi kufanya lolote -wataishia kwenye hujuma hujuma tu lakini sio vita kamili.
Iran lazima atapeleka kichapo Israel, sa hivi Israel wanasubiria hicho kichapo
 
Wasilaaniwe hao wayahudi waliompga mwana wa mungu mpk waka mvua nguo akabaki na chupi huyo mungu aje kutulaani sisi basi huyo mungu waajabu sijapata kuona kaacha kuwalaani waliembonda mwane atulaani sisi
Ubongo wake umeoshwa na ukatakasika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…