IRAN Yashambuliwa kwa Drones

Endelea kuvaa kijora, Iran wenyewe kabisa wamesema kwamba kuna drone zimelipua maeneo yao! Wewe Muiran wa Nyarugusu huko Buseresere unabisha
Acha utoto dogo. Nyarugusu (Nyumbani kwetu) imeingiaje hapa? Kwa taarifa yako Nyarugusu ipo mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kasulu wakati Buseresere ipo Wilaya ya Chato mkoa wa Geita. Kwahiyo acha kuropoka havina Uhusiano.
 
Acha utoto dogo. Nyarugusu (Nyumbani kwetu) imeingiaje hapa? Kwa taarifa yako Nyarugusu ipo mkoa wa Kigoma Wilaya ya Kasulu wakati Buseresere ipo Wilaya ya Chato mkoa wa Geita. Kwahiyo acha kuropoka havina Uhusiano.
Nyarugusu ziko nyingi!!
 
Bado tunafuatilia satelite image😂,follow, samir on twitter, huyo ndo mtaalamu wetu.
 
Mashambulizi ya kigaidi kwenye military targets? Inawezekana kuitwa hivyo?
Kabisa.....

ugaidi sio lazima ulenge raia tu hata taasis za kiusalama kama jeshi, polisi au hata miundombinu muhimu ya kiraia kama umeme au maji.... muhimu lengo liwe kuhujumu taasis husika kwa nia ya kutambulika, kutengeneza hofu au kwa sababu za kisiasa au itikadi.
 
Lazima itakuwa ni internal ndo maana retaliation bado haijafanyika.
 
Sio lazima uziongoze, nyingine ukiipa coordinates inajipeleka
 
Sio kweli, Iran hawana undugu na wa-Azerbaijan, wakati wa-Iran ni Persians wa-Azerbaijan ni jamii ya Turkish sawa na watu wa mataifa ya Uturuki, Kazakhastan, Turkmenistan, Uzbekistan, Kirgistan na Tajikistan.
Jamii ya waazerbaijan ndo kubwa nchini Iran baada ya jamii ya waajemi.
Pia Azeirbaijan na Iran wana undugu wa kimadhehebu wote ni washia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…