vita iran israel

The United Nations Office for Project Services (UNOPS) is a United Nations agency dedicated to implementing humanitarian and development projects for the United Nations System, international financial institutions, governments and other partners around the world, with a focus on infrastructure, procurement and project management The organization's global headquarters is located at the UN City campus in Copenhagen, Denmark. UNOPS delivers around $3 billion worth of development projects for its partners every year. Its activities have ranged from managing the construction of schools in Afghanistan, to building shelters in Haiti, to procuring ambulances to support the Ebola response in Liberia.
UNOPS is a member of the United Nations System Chief Executives Board and Senior Management Group, the Environment Management Group (EMG), the United Nations Sustainable Development Group and works closely with UN partners, governments, international financial institutions and multilateral development banks, such as: the World Bank, the Global Fund to Fight AIDS, Tuberculosis and Malaria, United Nations Department of Peace Operations, Government of Argentina, the Office of the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR), the European Union, and the government of the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Iran yamuonya Trump baada ya mashambulizi mapya ya Marekani

    Uwanja wa Ndege wa Erbil umefunguliwa tena baada ya ndege isiyo na rubani (drone) kuanguka karibu na eneo la uwanja kufuatia shambulio la drone dhidi ya mji huo. Wakati huo huo, ving'ora vya tahadhari vilisikika nchini Bahrain, huku Kuwait ikitangaza kuwa imefanikiwa kuyadungua makombora ya...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran yalenga kambi za Marekani katika nchi za Ghuba baada ya majeshi ya Marekani kuanzisha mashambulizi mapya

    Wanaukumbi. Iran imeshambulia kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Ghuba kulipiza kisasi duru ya hivi karibuni ya mashambulizi ya Marekani, yaliyokuja baada ya Donald Trump kusema kwamba ataishambulia Iran “kwa nguvu kubwa”. Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (CENTCOM) ilisema...
  3. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Iran imeshambulia tena kambi za Marekani zilizopo Bahrain, Jordan na Kuwait

    Mapema leo asubuhi Jeshi la Mapinduzi la Kiislamu la Iran limeshambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Jordan, Bahrain na Kuwait kwa makombora ya balistiki ya masafa mafupi(Bahrain, Kuwait) na marefu(Jordan) pamoja na ndege sizizo na rubani maarufu kama UAV Hii ni baada ya jeshi la...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Vita yaangamiza uchumi wa Iran, Rial 1.8 milioni yabadilishwa kwa Dola 1

    Tokea vita kati ya Israel na Marekani Vs Iran vianze, bei ya mafuta imezidi kupanda, na kuzinufaisha nchi wazalishaji wa mafuta. Lakini mambo ni tofauti kabisa kwa Iran iliyo chini ya vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa dhidi yake na Marekani na mataifa rafiki. Inaelezwa kuwa tangu vita vianze...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mfano vita ikasitishwa leo. Kipi kitatokea;Irani atakuwa kaonyesha uwezo wake wa kujihami lakini atakuwa amepoteza uwekezaji wake wote wa miaka 40+

    Wakati vita inaendelea kuna mchezo hajaangizwa macho vya kutosha. Na kupitia mchezo huu baada ya vita mashariki ya kati itabadilika. Ni miaka kadhaa pamekuwepo na mbinu za Israel kuziaminisha Gulf states ( Bahrain, Kuwait, Saudi Arabia, Oman, Qatar, UAE) kuwa adui ni Irani Nchi hizi kuna...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Iran wanachezea kichapo jamani loh!

    Ndiyo maana wamarusha penseli na vipepeo ovyo ovyo. Huko mbele wataanza kurusha penseli na vipepeo wakiwa kwenye mahandaki maana huku nje wanakandwa kama unga wa chapati. Na hapo Trump anasema anadipu tuuu...bado hajaweka bando awapigie. ==== U.S. Central Command said Iran “continues to...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania China yatoa wito raia wake kuondoka Israel

    Ubalozi wa China nchini Israel umewataka raia wake kuondoka nchini humo haraka iwezekanavyo, katika tangazo lake la leo Jumanne. Taarifa ya ubalozi wa China nchini Israel, ilichapishwa kupitia mtandao wa WeChat, na kutaka raia wake kuondoka nchini humo kupitia vivuko vya mpaka wa nchi kavu kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iran. Israel Anaomba Iran Isiwashambulie

    Kumekucha Israel kanza kuomba nchi za Jiran zimsemeshe Iran asiwashambulie. Vichaa kweli hawa Israel wanataka Iran wasirudishe mashambulizi hahaha nadhani Israel wameisha changan'yikiwa.
Back
Top Bottom