Uwanja wa Ndege wa Erbil umefunguliwa tena baada ya ndege isiyo na rubani (drone) kuanguka karibu na eneo la uwanja kufuatia shambulio la drone dhidi ya mji huo.
Wakati huo huo, ving'ora vya tahadhari vilisikika nchini Bahrain, huku Kuwait ikitangaza kuwa imefanikiwa kuyadungua makombora ya...
Wanaukumbi.
Iran imeshambulia kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Ghuba kulipiza kisasi duru ya hivi karibuni ya mashambulizi ya Marekani, yaliyokuja baada ya Donald Trump kusema kwamba ataishambulia Iran “kwa nguvu kubwa”.
Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (CENTCOM) ilisema...
Nataka kufahamu uhalisia wa hii video ambayo inasemekana hii ni athari inayotokana na vita ya Israel na Iran na hapa inaonesha ni Israel baada ya kushambuliw na Iran ni kwel uhalisia hii video au potoshi?
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.