Iran Yalaani Mashambulizi Ya Israel

Iran Yalaani Mashambulizi Ya Israel

Hawa watu wanashangaza sana Mkuu Nalendwa. Ni watu wa ajabu sana hawa; wamepiga mapropaganda yao ya kuifuta Israel katika uso wa dunia miaka na miaka na kuhamasisha na kusupport makundi ya kigaidi dhidi ya Israel; juzi wamelianzisha halafu leo wnalaani! Unashindwa kuelewa utimamu wa hawa jamaa.

Hahah!, halafu hapo hapo wanajikanyaga kuhusu kulianzisha bila ya kuwa na jibu kamili, kama sio kuhukumiwa na conscious.
 
Iran kaenda kumsaidia Syria, baada ya serekali ya Syria kuwaomba sababu vikosi vya US and Israel ambao wanajulikana ni ISIS wako Syria kuharibu amani pale Syria.

And at the same time, who doesn't know their Proxy work behind Hezbollah?
 
Israel bila marekani haidhubutu kuingia vitani hata na sirya yenyewe japo sirya imavurugwa kwa vita sembuse irani?
Kumbuka mataifa ya magharibi pamoja na israel hayapendi na yanaogopa sana vita vyenye madhara kwao au vita vitakavyoweza kuleta madhara ya moja kwa moja kwenye ardhi ya nchi zao!
Na iko hivi; kama marekani inataka kuitumia israel kuivuruga iran, basi ujue urusi haitoruhusu huo upumbavu kwa kuwa iran ni mshirika wa urusi wa moja kwa moja.
Sasa kama wamangaribi wakilazimisha kwenda kuivamia iran, kitakachotokea urusi urusi itawauzia iran silaha nzito kitu ambacho wamagharibi wanakiogopa kuliko ukimwi!
Na kama NATO wakataka kuivamia iran moja kwa moja, basi urusi na china watapinga kwenye kura ya veto! NATO wakiwa na kiburi ujue ni kama kutangaza vita ya dunia
 
Bado inaonesha wameumizwa sana, si rahisi hao wavaa pedo kukubali aamepigwa

Jeuri mmoja asie na maana duniani, sitaki kutukana dini za watu humu.

Hao unawatukania Pedo hizo pedo ni vazi ambalo akivaa mwanaume ni amevaa kwa staha ya hali ya juu , utafananisha na Vimini wanavyovaa dada zako pamoja na skinny pamoja na mibano ya kuonyesha matako?

Huoni hata aibu!
 
And at the same time, who doesn't know their Proxy work behind Hezbollah?
Here we go again!! Reminds me of a pot calling a kettle BLACK - Nalendwa any idea who created,funded,trained,armed to teeth ISIS Chimeras to wreak havoc in the M.E.N.A? One more thing - why are maimed/wouded ISIS terrorists being teated in Israel 1st class Hospitals? May we know what: Mossad,CIA,MI6,GDI and ISIS gotta in COMMON.
 
Mkuu Bukya..ISIS is aftermath of the War yes but how come Iran is always a SAINT and a VICTIM?!

Inavyoonekana hawa, if they could really get rid of Israel as they claim, they'll do it in a sec. They ain't Saints tukubali tukatae..rather, one of the propagandists. The foreign minister jana analalamika but still not mentioning their presence in Syria, as if they had nothing to do with all that.

Why do they get involved into something then act as victims. They 're backing up groups against their enemies just anybody else in that area, but at the end of the day they 're the only ones who're getting bullied?!!
The World is so not Fair.
 
Nilikuwa nawaamini Irani kwa Tambo zake ila Makombora yake kuishia mpakani Nikasema makelele yote yale ya kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia ndio wapo hivyo nikajisema tu mwenyewe hiiii!
 
Nimeshindwa kuelewa kwa nini Muajemi analalamika hivi na ku play victim wakati yeye ndio kaanzisha hili sakata la juzi.
Muajemi [emoji2] [emoji3] [emoji3] nililisikia zaman sana hili neno......mkuu ungekua karibu ningekupa soda
 
Kwani ni vibaya kuweka majeshi nchi mshirika mbona mmarekani bwana wa Myahudi ana base karibia ulaya yote na Urrusi halalamiki....
Mkuu!! Uko wrong side you will never win,.....the death fate lying in the side u are standing!!.... Kamtumwa ka muarabu .....
When arabs look to african what he see is slave !!/...!nakuhurumia kamtumwa ww[emoji2]
 
Israel bila marekani haidhubutu kuingia vitani hata na sirya yenyewe japo sirya imavurugwa kwa vita sembuse irani?
Kumbuka mataifa ya magharibi pamoja na israel hayapendi na yanaogopa sana vita vyenye madhara kwao au vita vitakavyoweza kuleta madhara ya moja kwa moja kwenye ardhi ya nchi zao!
Na iko hivi; kama marekani inataka kuitumia israel kuivuruga iran, basi ujue urusi haitoruhusu huo upumbavu kwa kuwa iran ni mshirika wa urusi wa moja kwa moja.
Sasa kama wamangaribi wakilazimisha kwenda kuivamia iran, kitakachotokea urusi urusi itawauzia iran silaha nzito kitu ambacho wamagharibi wanakiogopa kuliko ukimwi!
Na kama NATO wakataka kuivamia iran moja kwa moja, basi urusi na china watapinga kwenye kura ya veto! NATO wakiwa na kiburi ujue ni kama kutangaza vita ya dunia
Mkuu Asad now hana uwezo na pia hajawahi kuwa na Uwezo wa Vita.. pale game zinachezwa na watu wa Nje tu... Assad ni Mweupe pe.. Iran kule Syria shida yake ni kuisaidia Hezbollah tu wala sio Assad na Russia keshastukia chezo kagoma kuuza Silaha maana keshajua kifo cha Asad kinakaribia hakuna wa kuja kulipa Deni... soon atasepa zake hawezi jiingiza gharama kubwa sana pia askari wa Russia wamekufa sana huko karibu kila siku anapokea maiti na askari wengi ni Private wa raisi Put-in Mwenyewe anawalipa kwa pesa za Assad... Arab zao ambush tu sasa Israel ndio Baba lao anawachapa kizani wakistuka wanakuta majivu tu kudadeki... Mbinu zao za Vita zipo Vitabuni kwenye Torah karne na karne kuwa Adui akikutisha kukuua mwamkie alfajili mmalize yeye kwanza. Iran kashikwa na Mstuko Assad keshaonywa yeye ndie atakayefuata chezo likiendelea... na Uzuri wa Israel ukimuotea hazichukui secunde au dakika anacharaza eneo zima ulipopigia na maeneo jirani au hadi mako yako makuu kwa Onyo.

Putin kasema muhula wake wa Mwisho wa Uraisi anataka kuimalisha uchumi wa Raia wake uwe juu kuliko Mataifa yote hana kazi ya kumtetea kubwa jinga Assad au Iran zaidi kama wana mpunga waweke mezani yeye atawauzia tu kwa cash shauri zenu kama Israel atazilipua pale mtakapozifikisha...
 
Back
Top Bottom