Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Syrian State t.v. footage shows Israel missiles over Damascus.
Wizara ya mambo ya nje ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya Israel katika comments za mwanzo kabisa baada ya mashambulizi hayo, amesema msemaji wa Wizara ya mambo ya nje Mr. Bahram Qasemi kupitia Iran State tv..
In the first comments by Iran since Thursday's wave of strikes, the foreign ministry condemned the "blatant violation of Syria's sovereignty"..
Mr. Qasemi said Israel's "baseless pretexts amount to a blatant violation of Syria's sovereignty and goes against all international conventions".
He did not refer to Iran's military presence inside Syria.
Iran bado hawajakubali moja kwa moja ama kukataa kuanzisha mashambulizi hayo, pamoja na madai ya Israel kuwa ni wao..
"..Iran has neither directly confirmed or denied this but has said that Israel's attacks on Syria were founded "on self-proclaimed, baseless pretexts".
Waziri wa Ulinzi amemuasi Assad kuwatoa Iran kutoka Syria kwa sababu anasema wanamletea matatizo..
Visiting the Golan Heights on Friday, Defence Minister Avigdor Lieberman urged Mr Assad to "throw the Iranians out", saying "they are only hurting you".