Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Dynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao
Siku hizi Kuna mabomu yanafuata ndege popote inapokuwa, e.g heat seaking missiles
 
Mjinga kweli wewe yaani unataka kuhalalisha upuuzi walioufanya kwa kutumia suala hili, maana naona Kila sehemu unajibu kwa kutumia upuuzi huu.
Hata Ukraine ilishawahi kuilipua ndege ya Russia na kuua raia 78.

So,next time jaribu kua mpole/mtulivu unapokua kwny heat mtoto mzuri.
Screenshot_2020-01-11-08-11-29-1.jpeg


dodge
 
Uwezo wa Iran mdogo sana kuliko hata inavyodhaniwa.

Kwanza walishindwa kumlinda General wao, huu ni udhaifu wa hali ya juu, hata Makonda analindwa bongo let alone Mabeyo.

Sasa wamekiri wenyewe kutungua ndege kwa kukosa utaalamu wa kutosha eti bahati mbaya baada ya kujaribu kuficha ila imeshindikana. Ni kwasababu hizi USA haitaki Iran iwe na nuclear sababu wanajua uwezo wao bado mdogo sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wa Iran mdogo sana kuliko hata inavyodhaniwa.

Kwanza walishindwa kumlinda General wao, huu ni udhaifu wa hali ya juu, hata Makonda analindwa bongo let alone Mabeyo.

Sasa wamekiri wenyewe kutungua ndege kwa kukosa utaalamu wa kutosha eti bahati mbaya baada ya kujaribu kuficha ila imeshindikana. Ni kwasababu hizi USA haitaki Iran iwe na nuclear sababu wanajua uwezo wao bado mdogo sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno meeeeengi
tapatalk_1578553239033.jpeg


dodge
 
Bora wao wamekiri kuliko lingekuwa lile taifa la wanafiki, wanaoshindwa kusemaga ukweli eti taifa lao lisipate aibu!

Kwakuwa Ukraine waliruhusiwa na wenyewe Iran kuwepo katika uchunguzi naimani wataipokea hyo taarifa kuliko wangekataa alafu wenyewe wakaja kujua baadae kungekuwa na mzozo wa kidiplomasia.

Roho za marehemu zipumzike kwa aman.
 
Hahahaha, Leo unahangaika Sana kuwatetea hao wapuuzi wenzio. Kila sehemu unacoment wewe
Mm siko hapa kuitetea Iran ninacho taka kusema makosa ya kibinadamu huwa hayaepikiki.
Jana marekani katoka kuuwa watu zaidi 60 nchini Afghanistan baada ya ndege zake kuyalenga kimakosa makazi ya raia wakati wakiwalenga wana mgambo.
Na marekani kaisha uwa maerufu ya watu kama si malaki kwa sitaili hiyo kwa hiyo tunapo jadili jambo mihemuko ya kipumbavu tuwe tuna weka pembeni na kuangalia uhalisia.
 
Iran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake.

Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo.

Habari zaidi zitafuata.

====

Iran admits it 'unintentionally' shot down Ukrainian plane
Kama nilivyofikiria.My thoughts were Logic.
Government statement blames 'human error' for the incident that left 176 people killed many of them Iranian citizens.

Iran has announced that its military "unintentionally" shot down a Ukrainian jetliner, killing all 176 on board.

The statement Saturday morning blames "human error" for the incident.

The jetliner, a Boeing 737 operated by Ukrainian International Airlines, went down on the outskirts of Tehran during takeoff just hours after Iran launched a barrage of missiles at US forces.

Iran had denied for several days that a missile downed the aircraft. But then the US and Canada, citing intelligence, said they believe Iran shot down the aircraft.

The plane, en route to the Ukrainian capital of Kyiv, was carrying 167 passengers and nine crew members from several countries, including 82 Iranians, 57 Canadians and 11 Ukrainians, according to officials.

More details to follow.

Source: Al Jazeera

 
Back
Top Bottom