Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Jitaarisheni wanakuja na Supersonic missiles For the first time, a military official of #Iran's Navy has announced that Iran plans to produce supersonic cruise missiles. With the production of this type of missile, the combat capability and success rate of the Iran's Navy will be increased significantly in the Persian Gulf.[emoji119]
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
”Actions speaks more than words“ Yaani tangu makombola ya Iran yafanikiwe kushambulia makambi ya jeshi la Merikani huko Iraq kwa usahihi kabisa - tangu siku hio Dunia hasa Merikani imejifunza kutochukulia Waajemi kimzaa mzaa hata kidogo.
We fikiria, makombola hayo yaliweza kuwadhulu wanajeshi 98 wa Merikani ingawa walikuwa wamejificha ndani ya mahandaki lakini walipata madhala makubwa mpaka wakakimbizwa Ujerumani na USA kwa matibabu, swali ni, je, kama jeshi la Merikani lisingepewa taarifa mapema na Jenerali wa Iraq kuhusu ujio wa mashambulizi ya Iran kwenye US kambi/bases huko Iraq, basi ni wazi kwamba siku hiyo wanajeshi wengi wa USA wangelipoteza maiasha.g