Iran yafanyia majaribio makombora ya cruise

Kati ya mambo ambayo Trump namshtumu nayo ni kutoruhusu Marekani kupiga hivi vinchi ambavyo ni kichwa maji. Siku simba akiacha matendo yake hata swala watamvimbia.
Umemaanisha IRAN nchi ndogo ama [emoji23][emoji23][emoji23]

Hakuna RAIS atakaeingia US apigane na US

Ila binafsi sipendi vita nanachukia sera zavita za US ila sera za vita za US ziliifabya US iogopeke zaidi naiheshimike

DT rais wahovyo sana basi tu.....
 
Vita siyo vizuri, ila vipigo vinaleta heshima. Natamani Iran awekwe kati, ila hii itaharibu zaidi ya kujenga. Iran ikiwa unstable Middle East yote itakuwa ni ugaidi mtupu.

IRAN hawez kupigwa kama alishindwa Bush baba na mwana juu ya IRAN basi ndio basi tena
IRAN washamkosa tena lakufanya nikuhakikisha tu hayomataifa mengine wanayavuruga kama tunavyoona SYRIA YEMEN LEBANON PALESTE E n.k baasi
 
Bado hajashindikana, tena pengine Syria alikuwa na nguvu zaidi kabla ya kumtoa mchezoni
IRAN hawez kupigwa kama alishindwa Bush baba na mwana juu ya IRAN basi ndio basi tena
IRAN washamkosa tena lakufanya nikuhakikisha tu hayomataifa mengine wanayavuruga kama tunavyoona SYRIA YEMEN LEBANON PALESTE E n.k baasi
 
Jitaarisheni wanakuja na Supersonic missiles For the first time, a military official of #Iran's Navy has announced that Iran plans to produce supersonic cruise missiles. With the production of this type of missile, the combat capability and success rate of the Iran's Navy will be increased significantly in the Persian Gulf.[emoji119]

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Labda hypersonic Kama ni supersonic ndio hizo zinazojaribiwa
 
Iran yafanyia majaribio makombora mapya ya cruise

Jeshi la Baharini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio kwa mafanikio makombora yake mapya ya cruise katika luteka ya kijeshi iliyofanyika kaskazini mwa Bahari ya Hindi na katika Bahari ya Oman.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la IRNA, Jeshi la Majini la Iran limevurumisha makombora ya masafa mafupi na yale ya masafa marefu katika mazoezi hayo ya kijeshi.

Makombora ya masafa marefu ya kizazi kipya yamelenga shabaha kwa mafanikio makubwa hadi umbali wa kilomita 280.

Katika maneva hiyo ya kijeshi ya jana Alkhamisi, makombora ya ardhini hadi baharini na baharini hadi baharini ya Iran ya Kiislamu yamelenga shabaha kwa usahihi mkubwa.

[https://media]Mazoezi ya kijeshi ya Iran

Katika miaka ya hivi karibuni Iran imepata mafanikio makubwa katika sekta ya ulinzi huku ikijitosheleza kwa kiasi kikubwa katika zana za kujihami. Jeshi la Iran hufanya mazoezi ya mara kwa mara kwa ajili ya kuonyesha uwezo wa vikosi vyake na pia kufanyia majaribio zana mpya za kivita.

Jamhuri ya Kiislamu inasisitiza kuwa, uwezo wake wa kijeshi si tishio kwa nchi zingine bali sera yake ya ulinzi imejengeka katika msingi wa kujihami.
Hawa ni kama N. Korea na Urusi wanahangaika na silaha wakati maendeleo ni zero wangewaiga wenzao wa U.A. E na Saudia wanafanya maendeleo kwa saaana na ulinzi.

wanahangaila na Israel ambayo hataiweza maisha buku
 
Unataka Iran wasiwe na silaha wawe na maendeleo kama Libya ya sasa?? [emoji23]
Hawa ni kama N. Korea na Urusi wanahangaika na silaha wakati maendeleo ni zero wangewaiga wenzao wa U.A. E na Saudia wanafanya maendeleo kwa saaana na ulinzi.

wanahangaila na Israel ambayo hataiweza maisha buku
 
Hawa ni kama N. Korea na Urusi wanahangaika na silaha wakati maendeleo ni zero wangewaiga wenzao wa U.A. E na Saudia wanafanya maendeleo kwa saaana na ulinzi.

wanahangaila na Israel ambayo hataiweza maisha buku
Urusi, Iran na North Korea maendeleo zero au siyo!
Unachekesha hivi unaweza ifananisha Russia na nchi gani Africa?
Russia Wana kila kitu Cha kuitwa taifa kubwa.
Vile vile Iran middle East ni superpower
 
Wangekua na silaha na uwezo kama Iran basi mpaka leo wangelikua wanaishi kwa amani na raha mpaka leo
Libya alivamiwa na ITALY, UK, SPAIN, FRANCE US and the like NATO

sa unadhani hapo unaponaje hata CHINA akivamiwa na na majeshi yoote hayo utapambana nayo kwa miaka kadhaa ila lazima utanyoosha mikono kama German enzi za WW2
 
Urusi, Iran na North Korea maendeleo zero au siyo!
Unachekesha hivi unaweza ifananisha Russia na nchi gani Africa?
Russia Wana kila kitu Cha kuitwa taifa kubwa.
Vile vile Iran middle East ni superpower
Uelewa wako upo sawa? maendeleo ya Urusi unaweza fananisha na nchi gani ya west europe? nazungumzia maendeleo ya watu sio GDP kama Kenya
 
Na kwa nn Iran aliteka meli ya Uk na hakuna member wa nato yeyote alieingia vitani na Iran kama kweli nato wana uwezo huo unaosema ww? Kwa nn Iran iliporipua zile kambi kwa ballistics ambazo zina majeshi ya nato wakiwemo Spain, Uk, Germany, Italy walikimbia Iraq wakahamishiwa kuweit na hawakujibu mapigo kwa pamoja?? Kwanini marekani ilipodunguliwa drone yake ghali haikujibu kitu mpaka leo?? Kwa nini meli 5 za Iran za mafuta zilienda Venezuela [emoji1263] kupeleka mafuta hazikukamatwa licha ya vitisho vya marekani kuwa itazikamata??? Mkuu kuna vitu viko wazi kabisa havitaki ubishi
Libya alivamiwa na ITALY, UK, SPAIN, FRANCE US and the like NATO

sa unadhani hapo unaponaje hata CHINA akivamiwa na na majeshi yoote hayo utapambana nayo kwa miaka kadhaa ila lazima utanyoosha mikono kama German enzi za WW2
 
Na kwa nn Iran aliteka meli ya Uk na hakuna member wa nato yeyote alieingia vitani na Iran kama kweli nato wana uwezo huo unaosema ww? Kwa nn Iran iliporipua zile kambi kwa ballistics ambazo zina majeshi ya nato wakiwemo Spain, Uk, Germany, Italy walikimbia Iraq wakahamishiwa kuweit na hawakujibu mapigo kwa pamoja?? Kwanini marekani ilipodunguliwa drone yake ghali haikujibu kitu mpaka leo?? Kwa nini meli 5 za Iran za mafuta zilienda Venezuela [emoji1263] kupeleka mafuta hazikukamatwa licha ya vitisho vya marekani kuwa itazikamata??? Mkuu kuna vitu viko wazi kabisa havitaki ubishi
We jamaa ni mzee wa propaganda wa Irani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa ni mzee wa propaganda wa Irani
Ungekua unaelewa hilo Neno propagand wala usinge liandika hapo

Jamaa kaandika kipi hapo ambapo hakijafanyika

Tena vyote alivyoviorodhesha mwamba hapo juu vimefanyika chini ya Miaka miwil

Endeleeeni tu kukariri maisha[emoji12][emoji14][emoji12]
 
Uelewa wako upo sawa? maendeleo ya Urusi unaweza fananisha na nchi gani ya west europe? nazungumzia maendeleo ya watu sio GDP kama Kenya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani wewe mwenye uelewa mkubwa unaifananisha nchi yawatu nanchi nyengine kwanini usiishindanishe RUSSIA kimaendeleo nataifa lako ambalo limeendelea Kuizidi RUSSIA
 
Back
Top Bottom