IRAN: Wanaume wawili wanyongwa

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
2,537
Reaction score
2,544
Nchini Iran Wanaume wawili waliokuwa wanajihusisha na mapenzi ya Jinsia moja ( HOMOSEXUAL) wakamatwa na kunyongwa hadharani baada ya kuthibitika kuwa wanajiusisha na mapenzi ya jinsia mmoja .

Ifahamike kuwa Iran ni Miongoni mwa nchi ambazo zinamsimamo mkali dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia mmoja ambapo ukibainika kujihusisha unahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kifo

Nchi nyingine zinazofuata mlengo huu ni kama Saudia Arabia,Pakistan, Qatar na Uchina

Source : Swahili Redio Tehran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nci zingine wananyongwa; sisi tukitishia kuwakamata inakuwa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…