Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Baada Ya Kuzindua Satelite Na Kuirusha,sasa Wamekuja Na Technolojia Mpya Zaidi.
Wamezindua Chombo Kipya Kinachotumia Rubani Kwenda Anga Za Mbali.
Iran Ni Ya Nne Kwa Uwezo Wa Utengenezaji Wa Vifaa VYa Anga Za Mbali Baada Ya USA,RUSSIA NA CHINA.
Israel Kaachwa Mbali Sana Kama Imekuuma Kunywa Maji Ya Moto.