Iran vs. US military capabilities

Iran hana ubavu wa kuthubutu kuchokoza mziki wa America.. Marekani ameshasema aguse maslahi yake au base yake yoyote aitakayo alafu wao watajibu kwa haraka na kwa nguvu ambayo haijawahi kuonekana popote pale duniani kwahiyo Iran iache singeli inatakiwa ijibu kama mwanamme kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
While Iran jeshi lao kama la misri wameshindwa kuzuia mpaka mkulu wao kadedishwa
 
Ukisoma uzi wa mtoa mada unaelewa uwezo wake tu katika uchambuzi wa mambo. Kaacha mambo ya msingi yaliyo kwenye jeshi la Marekani kaja kuzungumzia pistol na DNA gani sijui ambayo hii hakuna uhalisia. Simply angetaja F-22 Lightning, F-35 Lighting II, F-16, F-15, MH1 Abrams, Bradley IFV, APC, aircraft carriers, AH64 Apache, Arleigh Burke ships, Zumwalt, classes za submarines za Los Angeles na Virginia, Tomahawk cruise missiles, A10 Thunderbolt (Warthog), B1 B Lancer, B-52, B-2 spirit bomber, E-2D Advanced Hawkeye, Lockheed C-5 Galaxy. Kuhusu vikosi kuna 82nd airborne division hii si ya mchezo, kuna special forces zinajulikana, na idadi alotaja sio. U.S alikuwa na active personnel 1.8 million na reserve ya watu laki nane. Huu ni ufupisho wa uwezo wake kuna vitu vingi sana bado vipo na ni muhimu.
 
Hahahah...! Watu ni weupe kichwani kazi kisapoti kijingajinga tu, marekani ni nchi smart sana anamjua vyema uwezo wake, Trum amesema anazo silaha mpya zinazomudu kumfanya chochote iran haraka na kwa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa namuona mtu ni mjinga anapojadili vitu vipya na kuvihusianisha na historia ya zamani!
.
Iran ya mwaka 1970 sio ya 2019/2020 Marekani ya 1968 wakati inaenda mwezini sio ya 2090 (note USA walishapita 2020 siku nyingi in terms of development)
mkuu Us Yuko 2090!!!? Duh....hata Kama Mahaba kwako yamezidi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watakuelewa hao kweli!!?
Maana wengi wao wanashabiki Vita ili Hali hata uhalisia wa Jambo lenyewe hawalijui....Hizi dini hizi waafrika zimetudhoofisha Sana uwezo wetu wa kufikiri....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…