hapo sasa kazi imeanza live na mwarabu usimtishie kufa hilo haliogopiKishamaliza,kwanza Marekani wameambiwa waondoe wanajeshi wao kutoka Iraq,then Kiranja wa Hezbollah kasema USA amekuwa chanzo cha chaos hapo middle east,na kifo cha Kassim Suleiman hakitapita bure.
We jamaa nilikua nakuona wa maana unatetea wanyonge ila kwa hili nimekuondoa katika kundi hilo. Shame on youAngetumia nyuklia weapons mngepiga kelele
Ndiyo kuufyata huko!!!Na vikwazo vyote hivyo vya uchumi.Ila Iran lazima atalipa tu tena kupitia Hezbollah au alshabaab,atawapiga marekan popote pale,tena nahisi anataka patulie tu kwanza.
shida mafuta tamu kama makinikia tu hali ilikuwa vile sembuse thahabu nyeusiUS wanataka mafuta huko.
Mm sitaki vita itokee maana watakaoumia ni raia wasio na hatia.
Mawigi apunguze munkari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita katika eneo la Mashariki ya Kati si ya kuiombea ama kuishabikia kwa vyovyote vile. Kwa sababu ina athari kubwa sana za kiuchumi, hasa kupitia ongezeko la bei ya mafuta duniani. Ukigusia USA na washirika wake ama Iran na washirika wake wakubwa ikiwemo Russia, fukuto lolote lile lenye kuendana na ulipaji wa visasi wenye kulenga kushambulia vitega uchumi utaligusa kabisa soko la mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongea ni kitu kingine na mapigano ni kitu kingine! Chemical Ally na yule msemaji wa serikali ya Iraq wakati wa vita walikuwa wanaweza sana propaganda ya vita lakini walikuja kukamatwa kama kuku wa kizungu!Angalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Ila tambua kuwa Iran ana ushirika wa karibu na China na Russia kwa kuwa wao ndo wateja wakubwa wa mafuta nchini Iran.Iran vs. US military capabilities:
Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion
Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million
Aircraft
Iran: 509
US: 13,398
Navy vessels
Iran: 398
US: 415
Nukes
Iran: not known
US: 6,185
Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth
View attachment 1313146
Nafikiri US wanaitafuta Afghanistan nyingine kwani huko Taliban wameshindikana sasa Iran itakuwa ni shida ingawa itabomolewa vibaya miundo mbinu lakini Marekani hatshinda vita kama Syria ambako wameamua kuondoka kimya kimya.
Anachofanya Mmarekani ni kuvuruga tu stability ya Waarabu ili waendelee kuwa ATM yake.
Wewe Kama unaipenda Iran waambie ukweli, watachakazwa sanaWe jamaa nilikua nakuona wa maana unatetea wanyonge ila kwa hili nimekuondoa katika kundi hilo. Shame on you
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo aliyeuwawa alikuwa ni gaidi mkubwa.Siku zote usiwaamini waarabu ni wanafiki sana
Iran si haba!Iran vs. US military capabilities:
Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion
Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million
Aircraft
Iran: 509
US: 13,398
Navy vessels
Iran: 398
US: 415
Nukes
Iran: not known
US: 6,185
Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth
View attachment 1313146
Hahaha sasa ulidhani vita ni sherehe?! Wanapigana watu, hivyo watu kufa ni inevitable.Kumbuka wataokufa ni wananchi wasio na hatia,mimi kusema ukweli naomba amani itawale.
Halafu ndio life itakuwa nzuri sasa.Iran muda sio mrefu itakua kama syria
Mkuu vp mbona perisia wanachelewa kukiwasha hukoIran vs. US military capabilities:
Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion
Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million
Aircraft
Iran: 509
US: 13,398
Navy vessels
Iran: 398
US: 415
Nukes
Iran: not known
US: 6,185
Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth
View attachment 1313146
Hakuna viumbe wafiki Kama Russia na China Cha ajabu anaweza pigwa wakajifanya hawaoni walimtelekeza gadafiSi walikuwa wanafanya mazoezi ya pamoja, Iran, China na Russia? Si wangeungana kumpiga USA?
Sent using Jamii Forums mobile app
NATO HAIWEZI KUPIGANA NA IRAN! NEVER. Iran mwenyewe anajua hilo...labda vita ya jihad na sio combat war