Hawana tofauti tofauti na CCM wenzako kuua kuteka ndiyo kazi yenuKiukweli Waamerika.ni magaidi namba moja duniani,kila waendapo wanaacha madhira sana kwa jamii walioikuta inaishi kwa amani,mfano Vietnum,Irak,Syria,Yemen,Libya ,Somalia nakadhalika
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
😁😁😁😁Victoire... Nenda kasome sababu ya marekani kushindwa vita ya vietnam.acha stories wanazokusimulia watu...😂😂😂😂😂 Wanakudanganya. Unavfaham vita wewe? Usikubal wakudanganye soma soma na wewe.
Hapana kwa sababu akiwa yeye atawaonea/atawaendesha waaarabu wenzake wote. Tofauti za Sunni na Shia zimekolezwa munyu zaidi na IranSasa ww unataka awe nani na kwa nn ?!
Na kwa nn sii jambo jema akiwa yeye ?!.....
Sent using Jamii Forums mobile app
unaposema USA ni zero unaweza kutueleza vita ya IRAN na IRAQ ambayo mshindi hakupatikana ilitengenezwa na nani ilikuwa na lengo gani kama sio walikuwa wanapiganishwa na Marekani hiyo ni sababu tosha kuwa Marekani anambinu nyingi za vita anapotaka kitu......Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Irani itapata wakati mgumu kidogo kutokana na marekani kuwa base za kutosha mashariki ya kati lakini mashambulizi yao ya leo yanamaana kubwa wanaompango.Lakini pia Iran ndio mana wanafadhili makundi kama Marekani wanapenda kumaliza mapigano nje ya nchi yao na wamejifunza hilo wakati wa ushrika wao na MarekaniMungu tu apishie mbali. Hiyo itakuwa vita mbaya kuliko yoote ilowahi kupiganwa duniani. Tusilinganishe Marekani ya leo na ile ya Nixson, miaka hiyo. Kumbuka Marekani ameweka vituo kuizunguka Iran. Atakuwa hapigani vita akiwa nyumbani wakati Iran inapigana ikiwa nyumbani. Hii ina maana Irani itakuwa inalinda nyumbani na kumpiga adui. Iran italia kilio cha mbwa mwizi. Siombi vita ila alipofika Ayatollah ningetamani Mmarekani amkate huo ukucha
Unajua pamoja na UNAFIKI na UBINAFSI mkubwa wa marekani tatizo liko kwa watu wengi sisi hatuzifahamu hizi nchi .Hapo kuna vita vingi Saudia ni mwarabu huyo IRAN ni mpersian sisi hatujui hilo lakini pia vita ya mapinduzi hatufuatilia kama walipigana washia na wasuni.JE tunafahamu kuwa Suni haiungi mkono je jamii yao si kubwa .....Siku hizi watu wanaangalia faida ya usharika wao Saudia anajua mnafiki Marekani akisumbuliwa kuna mahali atamsaidia lakini Usharika wa nchi za Mashariki ya kati huwa wa mashaka kama nchi haijasiamam kama IRANYaani kina Saudi wangekuwa na akili walitakiwa waungane na Iran,USA haitakii mema Middle east.Iran sasa najua lazima atumie akili kubwa sana.Migogoro ni ya miaka na miaka sasa,Iran sasa anamfahamu vizuri USA.Kumbuka vita vya ghuba ya uajemi hawa Iran walikuwa pro America katika kuivamia Iraq,look at now Iran wamekua adui wa USA.
Huhitaji kuwa rocket scientist kuelewa kuwa USA ni chokochoko mkubwa.
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Bado hujafuatlia acha uchabiki nakusistiza fuatilia....Sipo kidini ila inaeleweka kua mti wenye matunda ndio upigwa mawe MIddle East kinachowaponza ni utajili wao wa mafuta kwa hiyo US kwakua wanataka kila wadhfa wawe nao wao ndio wanawatafutia sababu..BBC swahili kunamakala wamefafanuua zaidi mzozo wao ulipoanzia.
Anaenda na washirika kugawana gharama na maafa baada ya vita.Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Ndio maana ameweka Military base dunia nzima.Mungu tu apishie mbali. Hiyo itakuwa vita mbaya kuliko yoote ilowahi kupiganwa duniani. Tusilinganishe Marekani ya leo na ile ya Nixson, miaka hiyo. Kumbuka Marekani ameweka vituo kuizunguka Iran. Atakuwa hapigani vita akiwa nyumbani wakati Iran inapigana ikiwa nyumbani. Hii ina maana Irani itakuwa inalinda nyumbani na kumpiga adui. Iran italia kilio cha mbwa mwizi. Siombi vita ila alipofika Ayatollah ningetamani Mmarekani amkate huo ukucha
Uwe na nidhamu kidogo........unapozongumzia kupata ujue hakukosi fitina hata humu mitaani utaskia alikua hivi leo vile kalogwa na vhivyohivyo kwa wenzentu wanakuvuruga wajuavyo ili kukamilisha adhma zao hiyo ndio inaitwa FITNA fitna ya mzungu kula huku na huku ndio maana nakwambia fuatilia mambo.....Leo saudia na Oman vitu viwili tofauti inawezekana vipi nakusistiza fuatilia......nikizungumzia dini wtu wengi wamekalili kua waislam ndio magaidi la hasha ila hata wazungu ubadili dini na kuingia uislam ili kukamilisha adhma zao.We Mjinga sana. Eti Haupo kidini.
Nani alikudanganya kua unaweza kuzungumzia Ugaidi bila kujadili Dini?
Stop beating around the Bush. Magaidi wanapata Nguvu kwasababu ya hayo Mafuta. Na America wanayahitaji ili kuwatandika nayo. Bila hayo mafuta. Dunia ingekua hatarini sana.
Yaani sasa umeona haitoshi, umehamia kwenye racial discrimination kabisa. Uafrika na Uzungu hizi ni rangi tu.Uwe na nidhamu kidogo........unapozongumzia kupata ujue hakukosi fitina hata humu mitaani utaskia alikua hivi leo vile kalogwa na vhivyohivyo kwa wenzentu wanakuvuruga wajuavyo ili kukamilisha adhma zao hiyo ndio inaitwa FITNA fitna ya MZUNGU KULA HUKU NA HUKU ndio maana nakwambia fuatilia mambo.......
Angalia na aina ya Maswali unauliza kama Yana hold water. Ni jambo la ajabu kwa nchi kugombana na kuelewana na kugombana? Uliwahi kufuatilia ni nini kilikua kinawafanya waelewane?.Leo saudia na Oman vitu viwili tofauti inawezekana vipi nakusistiza fuatilia.......
umeona sasa?.nikizungumzia dini wtu wengi wamekalili kua waislam ndio magaidi la hasha ila hata wazungu ubadili dini na kuingia uislam ili kukamilisha adhma zao.
Mimi muslim haswaa na katika dini yetu kuna kitu kinaitwa Jihadi hapa mtu anajitoa kwaajili ya ALLAH(M/Mungu) na waja wenzake pia kwaminnajili ya kwamba wasidhurumike na pia yasipinginge maamrisho ya M/MUNGU........mfano kama sisi tulivyopigana vita ya KAGERA M/nyerere alituamasisha ili tusipoteze haki yetu watu tulijitoa kutetea vyetu vivohivyo mashariki ya kati wanajitoa kutetea vyao visidhurumike....hapo kwenye kutetea haki ndipo wanaitwa magaidi......nikizungumzia swala la Oman na saudia nilitaka utambue kua fitna zinawezza pelekea ndugu walioshibana wakaitilafiana kwa maslahi ya mfitinishaji leo hii US na saudia ni marafiki wakubwa na wanainyanyasa Oman hii ni Fitna ya US kwa maslahi yao.Yaani sasa umeona haitoshi, umehamia kwenye racial discrimination kabisa. Unaona kwa mtu kua mzungu Ni kosa. Na kua mwarabu ndio kua mwadilifu. Nani alikufundisha Ubaguzi wa Rangi?
Hata nikikupa.miaka 100 uthibitishe hizo Fitna zako. Hautakua na Ushahidi wowote.
Angalia na aina ya Maswali unauliza kama Yana hold water. Ni jambo la ajabu kwa nchi kugombana na kuelewana na kugombana? Uliwahi kufuatilia ni nini kilikua kinawafanya waelewane?.
Are you expect me to believe wewe ndiyo Unajua zaidi sababu ya Kutokuelewana kwao kuliko Wanachojua wenyewe Oman na Saudia?
umeona sasa?.
Unazidi Kuthibitisha kua hata wewe unaamini Ili Mtu awe Gaidi lazima abadili dini na kua Muislamu. Tuseme na wewe umekariri
Ni kweli dini zimeharibu mjadala huu,nikirudi kwenye hoja Marekani ipo vitani mpaka sasa Afghanistan,Syria hebu tupime kwa vigezo vya matokeo halisi on the ground hizo silaha za kisasa kabisa na matrilioni ya bajeti yameleta matokeo gani on the ground?Mkuu britanicca asante Kwa data hii maana wengi wetu tunashabikia Kwa mrengo wa Imani Fulani ya dini bila kujua uwezo na historia ya US hasa Kwenye mambo ya vita.
Tukumbuke kuwa hawa US hawafanyi vitu vyao Kwa kukurupuka hata siku moja ndiyo maana Kwa muda mrefu wamemfanyia Iran trade sanctions ili adhoofike kiuchumi,miezi 3 iliyopita wananchi wa Iran walikuwa wanaandamana kushinikiza raisi wao ang'atuke madarakani Kwa sbb ya Hali mbaya ya uchumi wao.
Hata Saudi Arabia nao Wana mgogoro na Irani juu ya mapigano ya nchini Yemen na wanatamani Iran ipigwe na kusambaratika Kutokana na Imani zao za kidini,ukiona mpaka huyo kamanda wa Iran anauwawa tujue kabisa kuwa nchi ilishajipanga Kwa matokeo yoyote yale
Kagera War has No match na Ugaidi. Ni kama mbingu na Ardhi.Mimi muslim haswaa na katika dini yetu kuna kitu kinaitwa Jihadi hapa mtu anajitoa kwaajili ya ALLAH(M/Mungu) na waja wenzake pia kwaminnajili ya kwamba wasidhurumike na pia yasipinginge maamrisho ya M/MUNGU........mfano kama sisi tulivyopigana vita ya KAGERA M/nyerere alituamasisha ili tusipoteze haki yetu watu tulijitoa kutetea vyetu vivohivyo mashariki ya kati wanajitoa kutetea vyao visidhurumike....hapo kwenye kutetea haki ndipo wanaitwa MAGAIDI.......
nikizungumzia swala la Oman na saudia nilitaka utambue kua fitna zinawezza pelekea ndugu walioshibana wakaitilafiana kwa maslahi ya mfitinishaji leo hii US na saudia ni marafiki wakubwa na wanainyanyasa Oman hii ni Fitna ya US kwa maslahi yao.