Iran to 'hit Tel Aviv' if attacked

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
18
source ITN - 1 hour 55 minutes ago

Iran has said it would hit Tel Aviv, US shipping in the Gulf and US interests if it was attacked over its disputed nuclear activities.


An aide to Iran's Supreme Leader, Ali Shirazi was quoted as saying: "The first bullet fired by America at Iran will be followed by Iran burning down its vital interests around the globe."

He was also quoted as saying: "The Zionist regime is pressuring White House officials to attack Iran. If they commit such a stupidity, Tel Aviv and US shipping in the Persian Gulf will be Iran's first targets and they will be burned."

The world's leading industrialised nations, the G8, meeting in Japan have urged Iran to suspend all uranium enrichment related activities.

French President Nicolas Sarkozy said major world powers had decided to send European Union foreign policy chief Javier Solana to Iran for talks on an incentives package they offered last month to induce Tehran to change its nuclear policy.

Mr Sarkozy did not say when Mr Solana would travel to Tehran. Iran formally replied on Friday to the offer by the United States, France, Britain, China, Russia and Germany.

France said Iran's response had ignored the world powers' demand for a suspension of uranium enrichment before talks on implementing the package - a condition rejected on Monday as "illegitimate" by Iranian President Mahmoud Ahmadinejad.

Mr Shirazi's comments intensified a war of words that has raised fears of military confrontation and helped boost world oil prices to record highs in recent weeks.

He is a mid-level cleric, is Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei's representative to the Revolutionary Guards
 
Muda SI MREFU NITAANZISHA COUTDOWN TO WORLD WAR 3!
Nilitaka nifanye hivyo lakini sitaki kuharibu mijadala ya UFISADI!
 
Muda SI MREFU NITAANZISHA COUTDOWN TO WORLD WAR 3!
Nilitaka nifanye hivyo lakini sitaki kuharibu mijadala ya UFISADI!

Bwa shee, hiyo WW3 atapigana nani dhidi ya nani????

wakubwa wote wako pande moja, na vibaraka wao. ndio maana sisi waswahili wa afrika hata comrade mugabe tunamtenga, kisa kuridhisha wakubwa!!!!
 
WATCH THIS

[media]http://www.youtube.com/watch?v=q6eV5D0ocDY[/media]

THIS WAS A PRESIDENTIAL CANDIDATE FOR REPUBLICAN WHAT HE SAYING THIS IS TOUGH
 
Mkuu Mahesabu,

Tatizo ni namna ya kuivamia Iran. Jeshi la anga la Israel linahitaji airbase ya wamarekani pale Iraq au Turkey.

Halafu tatizo lingine ni jinsi waves za mashambulizi ya Iran ikiwa itashambuliwa, kwani Iran nayo ina ndege za kijeshi na makombora na itakuwa inajikumbusha vita kati yake na Iraq ambayo haikwisha kirahisi.

Kwa ujumla ni kwamba ikiwa Israel ilishindwa kustahimili mashambulizi ya Hezbollah ambayo yalikuwa hayaishi pale Lebanon je inaweza kustahimili mashambulizi ya Iran bila msaada wa jeshi la anga la Marekani?
 
Bwa shee, hiyo WW3 atapigana nani dhidi ya nani????

wakubwa wote wako pande moja, na vibaraka wao. ndio maana sisi waswahili wa afrika hata comrade mugabe tunamtenga, kisa kuridhisha wakubwa!!!!

MCHINA NA MUINDI HAWAKO KWENYE G8 SUMMITT LICHA YA KWAMBA NDIYO WANAOUONGOZA UCHUMI WA DUNIA SASA HIVI!
Sasa makoloni yanaanza kupiganiwa na Mmarekani anajuwa kuwa Kumtandika IRANI kwa proxy ya Israel kutawasha moto si tu Middle east..Bali dunia nzima!
Na maana halisi ya vita ya dunia ni kwamba karibia kila bara hapa duniani itabidi lichaguwe upande...Either wa WEST...AMA WA ASIA NA WENYE MTIZAMO WA TOFAUTI NA MAGHARIBI KAMA CHAVEZ,CUBA,RUSSIA NK.
Halafu kwasababu Bush ana mafuta mengi sana kwenye reserve yake..Ni wazi yatapanda bei sana na pesa atakayoingiza haita hesabika!
Hata sasa wanaingiza nyingi sana tu!
Sasa Iran nao ndiyo wana CONTROL ROUTE YA KUSUPPLY MAFUTA YA KARIBIA DUNIA NZIMA..INAITWA HORMUTZ!
Hivyo akishambuliwa Muiran uchumi wa dunia utaaanguka lakini ni LAZIMA MSHIDI ATAPATIKANA...Ama ni mwisho wa dunia ambao WA IRAN WANAAMINI UTATOKANA NA VITA KATI AO NA USA NA ISRAEL...AMA BUSH ANAYEAMINI KUWA VITA HIYO ITAAMULIWA NA KRISTO MWENYEWE!
Dunia iko hatarini!
 
Mkuu Mahesabu,

Tatizo ni namna ya kuivamia Iran. Jeshi la anga la Israel linahitaji airbase ya wamarekani pale Iraq au Turkey.

Halafu tatizo lingine ni jinsi waves za mashambulizi ya Iran ikiwa itashambuliwa, kwani Iran nayo ina ndege za kijeshi na makombora na itakuwa inajikumbusha vita kati yake na Iraq ambayo haikwisha kirahisi.

Kwa ujumla ni kwamba ikiwa Israel ilishindwa kustahimili mashambulizi ya Hizbolah ambayo yalikuwa hayaishi pale Lebanon je inaweza kustahimili mashambulizi ya Iran bila msaada wa jeshi la anga la Marekani?

Mmesahau Ahmad Challabi nayeye alivamiwa na CIA mara baada ya kugundulika anawapa IRANI siri za wamarekani?
Bush alidhani ataweza kuwatumia mamluki wa IRANI kumtoa SADDAM halafu akafikiri atawatumia kumwondoa AYATOLLAH WA IRAN!
AMEKOSEA SANA KWANI HATA SASA WANAMSAPOTI MUIRANI NA KAMA VITA IKIANZA WASIJE WAKASHANGAZWA HAO HAO WALIOWAWEKA MADARAKANI HUKO IRAQ AMBAO NI WA IRANI WAKAWAGEUKA KINA BUSH NA KUMPA TAFU AHMEDINNEJAD!
Ni misscalculations zinazopelekewa na UFINYU WA UELEWA WA HISTORIA YA DUNIA!
Sasa nia ao ilikuwa ni kwenda Iran na wameshaizunguka upande wa AFGHANISTAN,UPANDE WA IRAQ PAMOJA NDANI YA BAHARI ZENYEWE AMBAPO BADO WANAKWARUZANA SANA TU KWENYE HUO UKANDA WA BAHARI AMBAO IRANI WANADAI NI WAO NA HUKU UN IKISEMA NI UKANDA HURU!
Ni ukanda ambao atakayeushikilia basi ndiye atakayeishikilia DUNIA!
 
Mkuu jmushi 1,

The core issue ni kwamba wamarekani wanahitaji ku-control oil yote ya Middle East na Iran pekee ndie kajitokeza kuwa kipingamizi.

Kwa upande mmoja ni kwamba Iran inaelekea kupata ushindi ki-propaganda kwa kuchelewesha mipango ya muda mrefu ya Marekani kuishambulia, na Israel inaona hilo kuwa ni tatizo kwani hawana uhakika na utawala ujao uwe wa Obama au McCain.

Pia kuna Syria, nchi hii ambayo siku zote ina uhakika wa kutoshambuliwa kutokana na raisi wake kuoa muingereza, nayo inatuhumiwa na Israel kutengeneza "plutonium" ambayo wanabadilishana na Iran.
 
Iran is weak and the lost war with Iraq!!.

MCHINA NA MRUSI YUKO NYUMA YAO!
WE SUBIRI VITA IKIANZA NA MATAIFA KUGAWANYIKA KUTEGEMEANA NA MISIMAMO!

MAREKANI NA MCHINA NA INDIA WAKO KWENE VURUGU KUBWA NA KUNA FACTORS KAMA VENEZUELA AMBAO WANASEMA WANAMSAPOTI IRAN NA MRUSSI PIA SAMBAMBA NA CHINA NA MAKOLONI YAKE!

Kiguu na njia kati ya Bush,Jintao na wengineo nilikuwa nafuatilia sana na sasa naona everything on the open.

The world war 3 is on the make na kuna watu wanalazimishia sana tu!

Ila mmarekani anaamini hata hali yake MBAYA YA KIUCHUMI ALIYONAYO..KIHISTORIA IMEKUWA IKIMALIZWA NA VITA KUBWA KUBWA KAMA ILE VITA YA PILI YA DUNIA AMABYO WANAHISTORIA WA MAREKANI WANASEMA KUWA NDIYO ILIMALIZA "THE GREAT DEPRESSION" NA WALA SI "THE NEW DEAL" UNDER ROOSVELT!

Tatizo ni kwamba hawawezi kuguarantee kuwa watashinda kwani political landscape together with other FACTORS vinaweza kuwa cost na utabiri wa ANGUKO LAO UNAWEZA KUTIMIA KAMA WASIPOKUWA MAKINI!

Unajuwa wananchi wa MAREKANI HAWAJUI SHIDA ZA VITA KWANI HAWAJAWAHI KUONJA JOTO YA VITA NA MABOMU ZAIDI YA YALE YA PEARL HARBOR AMBAYO NAYO YANA CONSPIRACY THEORIES KAMA ILE YA 911 INAVYOCHUKULIWA NA BAADHI YA WATU KUWA NDIO SABABU YA KUANZISHA VITA YA PILI YA DUNIA MA KUWA SABABU YA USA KUINGIA KWENYE VITA HIYO AMABYO WANANCHI WALIKUWA HAWAITAKI!

Kwani its clear kuwa PEARL HARBOR ILIMWINGIZA MMAREKANI KWENYE VITA YA PILI YA DUNIA!

Na IRAQ MARA BAADA YA SHAMBULIO TATA LA 911.. NA IRAN...ZINAWEZA KUFANYA HIVYO!
 
Kama unakumbuka mwezi September mwaka jana, Israel ilifanya mashambulizi kaskazini mwa Syria kwenye jengo moja hivi, kwanini?

Syria ilituhumiwa kujenga nyuklia reactor facilities kwa msaada wa Korea Kaskazini na hio ilikuwa brief ikiwa very limited kutoka CIA mwezi April mwaka huu.
 
waizrael Ndio Sosi Ya Matatizo Yote, Na Kwa Vile Wameshika Uchumi Wa Dunia Na Technolojia Wanaamua Kitu Chochote Wanachotaka Bila Kujali Utu,,,,,,,,kuanzia Blood Diamond Mpaka Ifm Mastermind Wake Ni Majewish, Governor Wote Wa Benki Kuu Ya Marekani Tangia Mwaka 1970 Ni Majews ,ila Ninadhani Hii Tabia Yao Itaifikisha Dunia Pabaya
 
waizrael Ndio Sosi Ya Matatizo Yote, Na Kwa Vile Wameshika Uchumi Wa Dunia Na Technolojia Wanaamua Kitu Chochote Wanachotaka Bila Kujali Utu,,,,,,,,kuanzia Blood Diamond Mpaka Ifm Mastermind Wake Ni Majewish, Governor Wote Wa Benki Kuu Ya Marekani Tangia Mwaka 1970 Ni Majews ,ila Ninadhani Hii Tabia Yao Itaifikisha Dunia Pabaya


it is not ifm its IMF
 
ahsante kwa kuelewa.

Mkuu kitu nakuzimia ni kwamba unakubali ushauri!
Licha ya kwamba kuna kauborongaji flani flani lakini unakubali USHAURI ILA WASHAURI ULIONAO NI WABAYA!
This is INCASE WEWE NI JK!
Kama siyo natanguliza apologies!
Ila bado unakaribishwa sana jf!
 
Madai ya US na Israel kwamba Iran inatengeneza mabomu hayana "substantive evidence", kwa sababu Iran imesaini mkataba wa Nuclear Non-Proliferation Treaty na nuclear facilities zake ziko monitored na International Atomic Energy Agency (IAEA).

Wao IAEA wamekwishasema kwamba Iran inatengeneza nyuklia kwa ajili ya uzalishaji umeme tu na si vinginevyo kama ambavyo Uingereza na nchi zingine zilizoendelea zinavyotumia nyuklia kuzakisha umeme.

Kiini cha mgogoro huu ni "military supremacy" ambapo Israel inajaribu kuitawala Middle East na kuhakikisha hakuna kipingamizi hasa kutoka Iran.
 
Tawire Mushi...!
mahesabu is AYUBU 31:1
_________________
WATANZANIA WENYE ASILI YA ASIA NDIVYO WALIVYO.....!
Reply With Quote Multi-Quote This Message Quick reply to this message Thanks
The Following 2 Users Say Thank You to mahesabu For This Useful Post: Remove Your Thanks
jmushi1 (Today), Mama (Today)

teh teh teh tehhhheeeeeeeeeeeeeeeee, kaikubali TAWIRE yako. You made a good guess!!!!!!LOL he he he he he he heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom