Iran to 'hit Tel Aviv' if attacked

Tatizo la marekani ni itelligency zake kwani wanaonekana wanatafuta taharifa za uongo ili kuhalalisha kufanya wanachofikiri kwa wakati huo kitawasaidia kupata support ya wananchi. Its a shame kwa nchi kama USA yenye kila aina ya resources kuja na picha zinazoonyesha mambo ya uongo nafikiri walizitengeneza kwenye photo shop ili kuushawishi UN kukubali mashambulizi wakati UN nuclear agency walishasema kuwa hawakupata siraha zozote za maangamizi Iraq.

This will happen to Iran, wanaunder estimate uwezo wa majeshi wanayo kwenda kupigana nayo kwani wanatumia wrong itelligency kuestimate uwezo wa majeshi wanayopigana nayo.

Lets wait and see, USA imefail kwa Iraq kwani na power aliyonayo bado anaendesha mambo Mugabe huko Iraq kwa kuzuia vyombo vya habari visivyopendelea upande wowote kutangaza kwa kisingizio kuwa vinawapa nguvu wapinzani, halafu wanamlaumu mugabe kwa kuwafukuza BBC.
 
mie naona kama marekani wakiigusa tu irani basi we will talk about another skendo here.Isitoshe mie naona sasa wamerekani wanataka kupumzika katika mbuyu hali ya kuwa mbuyu wenyewe hauna hana majani,shame on usa,usa watapigika vibaya sana.
 
[0QUOTE=Richard;242228]Can you eraborate how Iran is weak?[/QUOTE]

The biggest weakness of Iran is that God the Almighty is not on their side.
 
Muisraeli amekuwa akifanikiwa kuwapiga waarabu mara zote tena kwa muda mfupi sana!

Lakini hivi karibuni..Hizbolah huko Lebanon wamegeuka kuwa tishio na Israel wanakumbuka hilo na lilipelekea umaarufu wa Olmert kushuka sana kwani majasusi hayo yanayoongozwa na Hassan NASSRALAH....

Wamejikita kwenye mahandaki na wao ni kama PROXY YA IRAN..Na walifanikiwa kuwasimamisha wanajeshi wa Israeli kuivamia Lebanon kwenye vita yao iliyotokea mwaka 2006 kati ya mwezi July kama sikosei na vita ilipigwa hadi kwenye miji maarufu ya Israel...

Hivyo wenye kudhani hiyo vita itakuwa ndogo wanaota!

Halafu tatizo lingine ni kwamba hata hao wanajeshi walioko hapo Iraqi wa USA watageukwa na kila mtu na hapo Mmarekani anaweza kurudiana na Msunni!

Sasa hapo ni VURUGU TUPU!

Sasa unafikiri na AFRIKA HATUTA CHEZA MANYANGA?

Tena mafuta yenyewe kabla hujapewa lazima uchaguwe bwana wa kukupa!

What about our own oil Exploration?

NB:Kwenye pointi ya WARUSI KUCHUKIA KITENDO CHA WAMAREKANI KUMTUMIA BIN LADEN KUIANGUSHA URUSI NAKUBALIANA NA WEWE NA PIA NAKUBALI USA WAWE MAKINI.

Mushi,

Waarabu hawana ubavu wa kuipiga Israel na ibishani hapo. Ila kitakachotokea ni kwamba Warusi (wanayoisaidia Iran kutengeneza nyuklia) ndiyo watakayo ishambulia Israel wakisaidiana na waarabu. Soma Ezekiel 38:4 Mungu mwenyewe anasema kuwa atawapeleka warusi kupigwa na israel na ameshatoa idadi ya askari watakao kufa 82%, soma pia Ezekiel 38; 5-6 ujue ni nani watakao pewa kichapo malizia na mstari wa 16 kujua hatma yao.

Hivyo Iran hawaiwezi Israel itabidi the chief prince of meshech and Tubal wawasaidie na ndipo watakapopigwa kumbuka watakuja kwa njia moja lakini watarudi kwa njia saba.

long live israel!
 
Kila Vita Vinapotokea Priority Za Nchi Zinazoendelea Zinakuwa Za Mwisho, Let Us Pray Vita Visitokee, Maana Tutaendelea Kuwa Masiki Zaidi, Angalia Bei Ya Mafuta Utaamini Ni Nini Kitatokea
 
Wakuu vita ni moyo siyo silaha. Waislamu wanaita Jihad! Ingekuwa ni silaha Marekani angekuwa ameshashinda zamani sana kule Iraq na Afghanistan. But there is no hope of winning against determined mind of "insurgents'. So is Israel..it cant afford protracted battle with determined Arabs. Its a sure disaster. Wait and see.

Umesema .....insugrents wako very determined against who, ambao are not that much determined?

Lakini ni kweli its sure disaster.
 
Wacheni kumchonganisha Muirani ,atakuja kukumtwa kama Iraqi, maaana kumbukumbu za Sadam na majisifu yake hayakumfikisha popote alipigwa mpaka maji akaita mee.
Na sasa kama mtaona Muirani anapewa sifa zote sijui ana makombora ana midege ana manuwari ana nuklia na yeye alivyokichwa mchungu anajisifu ataiteketeza Israel na pia kuwachanganya waarabu wa Middle east kwa kweli ,kwa upande wa Marekani hayo yote hayamshughulishi kwanza wengi wa wanajeshi wake ni watu wanaotoka nchi za wenye njaa na hivyo huwaandikisha kirahisi na kuwapa mafunzo mazuri tu ,na huwatumia kama nzige anapoamua kushambulia na wala hasguhuliki na anaempiga ikiwa anatumia madege anaweza kuwacchanganya wake na wa adui akisema friendly fire , na kwa kweli anaweza kuichafua Iran kwa muda mdogo sana ikiwa hatataka kununuwa wakati kwa kutumia propaganda ,hivyo kaeni chonjo sasa na kumpa misifa muirani nasema mtamuulisha mwenzenu.
Jambo jengine Marekani katika sifa zake haijali watakufa wangapi na hata miongoni mwa waokufa kama ni askarri wake ,wa adui yake au raia ,hilo haliwashughulishi kabisa sawa na mafisadi tulio nao hapa Tanzania wao hawana habari kabisa na walala hoi au wapiga kura wao.Mwisho wa yote anajua anachokipata atakipata ndio pale unaposikia in anycost lazima washinde ,si unasikia Iraqi kila siku wanalipuana kwa mabomu ,sasa unazani biashara ya kuchota mafuta ya Iraqi imesimama ,wandugu wataondoka kwa usiku mmoja tu wakishaona limebaki pipa moja la mafuta.Na ndio wapo karibu kuyapakua yote ,siku hizi utawasikia wakirusha mara wataondoka baada ya mwezi au mwaka ni kuwa estimationa zao zinakaribia kukamilika.
 
Mahmoud Ahmadinejad is a man of his words.If he says it he means it.Alisha sema kwamba Israel must be erased off the world map.Israel wana kiherehere walivamia ardhi ya Palestine sasa wanataka ku control the whole of Middle East.Watulie tuu.Iran is not Palestine or Lebanon where you can drop off a few bombshells and rockets whenever you feel like at any time and leave untouched.Nah men they will get it rough.
 
Iran test-fires missiles in Persian Gulf, Hormouz

By ALI AKBAR DAREINI, Associated Press Writer
2 hours, 30 minutes ago

TEHRAN, Iran - Iran's elite Revolutionary Guards test-fired nine long- and medium-range missiles Wednesday in war games officials say are in response to U.S. and Israeli threats, state television reported.

Gen. Hossein Salami, a top Guards commander, was quoted as saying the exercise "is to demonstrate our resolve and might against enemies who in recent weeks have threatened Iran with a harsh language." The drill was conducted in the Persian Gulf and the Strait of Hormouz.

The report didn't provide details but said the missiles fired included a new version of the Shahab-3 missile, which officials have said has a range of 1,250 miles.

The report comes less than a day after Iranian President Mahmoud Ahmadinejad said he sees no possibility of a war with the United States or Israel.

"I assure you that there won't be any war in the future," Ahmadinejad told a news conference Tuesday during a visit to Malaysia for a summit of developing Muslim nations.

Iranian officials have been issuing a mix of conciliatory and bellicose statements in recent weeks about the possibility of a clash with the U.S. and Israel.

Israel's military sent warplanes over the eastern Mediterranean for a large military exercise in June that U.S. officials described as a possible rehearsal for a strike on Iran's nuclear facilities, which the West fears are aimed at producing atomic weapons.

For months, Ahmadinejad and other Iranian officials have said they don't believe the U.S. will attack because of its difficulties in Iraq, domestic worries and concerns over the fallout in the region. At the same time, Tehran has stepped up its warnings of retaliation if the Americans — or Israelis — do attack it, including threats to hit Israel and U.S. Gulf bases with missiles and stop oil traffic through the vital Gulf region.
 
Kuna watu wanajali biashara kuliko uanadamu!
Kama alivyosema mkuu hapo juu...Hiyo STRAIT OF HORMUTZ NDIO MAFUTA KARIBIA YOTE YANAYO KUWA SUPPLIED DUNIANI YANAPITIA.
hIVYO VITA VIKATOKEA....Iran wataifunga hiyo Strait...Na wakifanya hivyo...Mafuta kutakuwa hakuna na wenye kuuza atakuwa Bush mwenyewe ambaye hata kisima cha mafuta hana!

Ila mafuta ambayo anayo atauza kuliko hata almasi yenyewe.
Na hapo kwenye Israel...Kama kweli anataka kwenda kumpiga mu IRAN..Basi ni lazima atumie nyuklia kwani hawatavumilia miji yake kama Tel Aviv nk kulimwa na shahab Missiles za MUIRAN ambazo zina nguvu pia.
 
08_op_iran01_4.jpg
 
Teh teh teh...!
Shida ni kwamba picha kama hizi na habari kama hizi zinatosha kabisa kupandisha bei ya mafuta juu!
Sasa sijui vita ikianza itakuwaje!
Bongo kwanza ndio itakuwa BALAA ni heri tuombe MUNGU apishilie MBALI.
 
FACTBOX-How might Israel attack Iran's nuclear sites?
following Is An Overview Of Israeli Armed Forces And The Tactics They Might Employ In Any Future Conflict With Iran.

Air

israel Has Around 500 Combat-ready Warplanes, Including Advanced U.s.-made F-15 And F-16 Jets Capable Of Reaching Western Iran For A Bombing Run -- Further, Should Aerial Refuelling Be An Option.

Onboard Stealth And Radar-jamming Equipment Could Allow The Warplanes To Overfly Hostile Arab Territory En Route To A Sneak Attack In Iran, And Withstand Ground Fire.

Armed With Ground-penetrating "bunker Buster" Bombs, Israeli Jets Could Significantly Damage Key Nuclear Sites. Satellite And Optical Guidance Systems Would Allow For Bombs To Be Released At High Altitude And Great Distances, Perhaps With Some Of The Planes Remaining Outside Iranian Airspace.

The Israeli Air Force Also Commands Ballistic Missiles, A Capability Shrouded In Secrecy. Israel Is Assumed To Have Dozens Of Long-range Jericho Missiles Designed To Carry Nuclear Warheads As Far As The Gulf. Conventional Jerichos Could Damage Targets In Iran, But The Salvoes Would Lack The Element Of Surprise Given The Likelihood Of Launches Being Immediately Spotted, And Reported On, In Israel Israel Is Widely Believed To Have The Region's Only Atomic Arsenal, But Israeli Officials Have Hinted That Any Such Capability Would Only Be Used In Last-ditch National Defence..

Ground

israel Does Not Border Iran, Making Most Ground Forces Irrelevant To Any Future War.

Should There Be Israeli Air Strikes On Iran, Commandos Could Be Inserted To Mark Targets And Monitor The Damage To Them.

Special Forces Could Also Be Deployed To Hunt And Destroy Iranian Missile Batteries Before They Can Fire At Israel In Retaliation.

Sea

israel Has Three German-made, Diesel-powered Dolphin Submarines That Dock At Its Haifa Port And Are In Theory Capable Of Reaching The Shores Of Iran, Though This Would Likely Entail Sailing Around Africa -- About A Month-long Voyage Requiring Stops For Fuel And Provisions.

Each Dolphin Has 10 Torpedo Tubes, Four Of Them Expanded In Girth At Israel's Request. Some Independent Analysts Believe This Was To Accommodate Cruise Missiles Capable Of Reaching Iran From The Mediterranean, Or With Supersonic Engines Allowing Them To Defeat Enemy Air Defences.

Cruise Missiles Are Not, However, Considered Powerful Enough To Cause Significant Damage To Fortified Installations.

(sources: Middle East Military Forces Database, Institute For National Security Studies, Tel Aviv University; "osirak Redux? Assessing Israeli Capabilities To Destroy Iranian Nuclear Facilities" (2006), Whitney Raas And Austin Long, Massachusetts Institute Of Technology; Israeli Air Force And Naval Officials)

http://uk.reuters.com/article/worldNews/idUKL0849276720080708?pageNumber=1&virtualBrandChannel=0
 
By ALI AKBAR DAREINI, Associated Press Writer
7 minutes ago

TEHRAN, Iran - Iran test-fired nine long- and medium-range missiles Wednesday during war games that officials said aimed to show the country can retaliate against any U.S. or Israeli attack, state television reported.

ADVERTISEMENT

Oil prices jumped on news of the missile tests, rising US$1.44 to US$137.48 a barrel in electronic trading on the New York Mercantile Exchange.

The military exercise was being conducted at the Strait of Hormuz, a strategic waterway at the mouth of the Persian Gulf through which about 40 percent of the world's oil passes. Iran has threatened to shut down traffic in the strait if attacked. It was not clear, however, whether the missile test also took place near the strait.

Gen. Hossein Salami, the air force commander of Iran's elite Revolutionary Guards, said the exercise would "demonstrate our resolve and might against enemies who in recent weeks have threatened Iran with harsh language," the TV report said.

Footage showed at least six missiles firing simultaneously, and said the barrage included a new version of the Shahab-3 missile, which officials have said has a range of 1,250 miles (2,000 kilometers) and is armed with a 1-ton conventional warhead. The television report did not specify where the launch took place.

That would put Israel, Turkey, the Arabian peninsula, Afghanistan and Pakistan within striking distance.

"Our hands are always on the trigger and our missiles are ready for launch," the official IRNA news agency quoted Salami as saying Wednesday.

The report comes less than a day after Iranian President Mahmoud Ahmadinejad dismissed fears that Israel and the United States could be preparing to attack his country, calling the possibility a "funny joke."

"I assure you that there won't be any war in the future," Ahmadinejad told a news conference Tuesday during a visit to Malaysia for a summit of developing Muslim nations.

But even as Ahmadinejad and other Iranian officials have dismissed the possibility of attack, Tehran has stepped up its warnings of retaliation if the Americans - or Israelis - do launch military action, including threats to hit Israel and U.S. Gulf bases with missiles and stop oil traffic from the Gulf.

U.S. Secretary of State Condoleezza Rice called Wednesday's tests "evidence that the missile threat is not an imaginary one."

"Those who say that there is no Iranian missile threat against which we should build a missile defense system perhaps ought to talk to the Iranians about their claims," Rice said while traveling in Sofia, Bulgaria.

On Tuesday, Rice and Czech counterpart Karel Schwarzenberg signed a deal allowing the U.S. to base a missile defense shield in the Czech Republic.

A White House spokesman called the tests "completely inconsistent with Iran's obligations to the world."

"The Iranian regime only furthers the isolation of the Iranian people from the international community when it engages in this sort of activity," said Gordon Johndroe, spokesman for the National Security Council.

"They should also refrain from further missile tests if they truly seek to gain the trust of the world," he added, speaking from Japan where President Bush is attending the Group of Eight summit.

Democratic presidential candidate Barack Obama said that Iran's missile tests highlight the need for direct diplomacy as well as tougher threats of economic sanctions and strong incentives to persuade Tehran to change its behavior.

John McCain, the Republican seeking the presidency, said the tests demonstrate a need for effective missile defense, including missile defense in Europe and the defense system the U.S. plans with the Czech Republic and Poland.

In late June, Vice Adm. Kevin Cosgriff, who was then the commander of the U.S. Navy's 5th Fleet, said any attempt by Iran to seal off the Strait of Hormuz would be viewed as an act of war. The U.S. 5th Fleet is based in Bahrain, across the Gulf from Iran.

Israel's military sent warplanes over the eastern Mediterranean for a large military exercise in June that U.S. officials described as a possible rehearsal for a strike on Iran's nuclear facilities, which the West fears are aimed at producing atomic weapons.

Iran says its nuclear program is geared only toward generating electricity, not weapons.

The Israeli exercise was widely interpreted as a show of force as well as a practice on skills needed to execute a long-range strike mission.

Shaul Mofaz, an Israeli Cabinet minister, set off an international uproar last month by saying in a published interview that Israel would have "no choice" but to attack Iran if it doesn't halt its nuclear program. Mofaz is a former military chief and defense minister, and has been Israel's representative in a strategic dialogue on Iran with U.S. officials.

On Wednesday, Israeli government spokesman Mark Regev said Israel "does not desire hostility and conflict with Iran."

"But it is clear that the Iranian nuclear program and the Iranian ballistic missile program is a matter of grave concern," Regev said.

The Guards and Iran's regular army routinely hold exercises two or three times a year.
 
By ALI AKBAR DAREINI, Associated Press Writer
7 minutes ago

TEHRAN, Iran - Iran test-fired nine long- and medium-range missiles Wednesday during war games that officials said aimed to show the country can retaliate against any U.S. or Israeli attack, state television reported.

ADVERTISEMENT

Oil prices jumped on news of the missile tests, rising US$1.44 to US$137.48 a barrel in electronic trading on the New York Mercantile Exchange.

The military exercise was being conducted at the Strait of Hormuz, a strategic waterway at the mouth of the Persian Gulf through which about 40 percent of the world's oil passes. Iran has threatened to shut down traffic in the strait if attacked. It was not clear, however, whether the missile test also took place near the strait.

Gen. Hossein Salami, the air force commander of Iran's elite Revolutionary Guards, said the exercise would "demonstrate our resolve and might against enemies who in recent weeks have threatened Iran with harsh language," the TV report said.

Footage showed at least six missiles firing simultaneously, and said the barrage included a new version of the Shahab-3 missile, which officials have said has a range of 1,250 miles (2,000 kilometers) and is armed with a 1-ton conventional warhead. The television report did not specify where the launch took place.

That would put Israel, Turkey, the Arabian peninsula, Afghanistan and Pakistan within striking distance.

"Our hands are always on the trigger and our missiles are ready for launch," the official IRNA news agency quoted Salami as saying Wednesday.

The report comes less than a day after Iranian President Mahmoud Ahmadinejad dismissed fears that Israel and the United States could be preparing to attack his country, calling the possibility a "funny joke."

"I assure you that there won't be any war in the future," Ahmadinejad told a news conference Tuesday during a visit to Malaysia for a summit of developing Muslim nations.

But even as Ahmadinejad and other Iranian officials have dismissed the possibility of attack, Tehran has stepped up its warnings of retaliation if the Americans — or Israelis — do launch military action, including threats to hit Israel and U.S. Gulf bases with missiles and stop oil traffic from the Gulf.

U.S. Secretary of State Condoleezza Rice called Wednesday's tests "evidence that the missile threat is not an imaginary one."

"Those who say that there is no Iranian missile threat against which we should build a missile defense system perhaps ought to talk to the Iranians about their claims," Rice said while traveling in Sofia, Bulgaria.

On Tuesday, Rice and Czech counterpart Karel Schwarzenberg signed a deal allowing the U.S. to base a missile defense shield in the Czech Republic.

A White House spokesman called the tests "completely inconsistent with Iran's obligations to the world."

"The Iranian regime only furthers the isolation of the Iranian people from the international community when it engages in this sort of activity," said Gordon Johndroe, spokesman for the National Security Council.

"They should also refrain from further missile tests if they truly seek to gain the trust of the world," he added, speaking from Japan where President Bush is attending the Group of Eight summit.

Democratic presidential candidate Barack Obama said that Iran's missile tests highlight the need for direct diplomacy as well as tougher threats of economic sanctions and strong incentives to persuade Tehran to change its behavior.

John McCain, the Republican seeking the presidency, said the tests demonstrate a need for effective missile defense, including missile defense in Europe and the defense system the U.S. plans with the Czech Republic and Poland.

In late June, Vice Adm. Kevin Cosgriff, who was then the commander of the U.S. Navy's 5th Fleet, said any attempt by Iran to seal off the Strait of Hormuz would be viewed as an act of war. The U.S. 5th Fleet is based in Bahrain, across the Gulf from Iran.

Israel's military sent warplanes over the eastern Mediterranean for a large military exercise in June that U.S. officials described as a possible rehearsal for a strike on Iran's nuclear facilities, which the West fears are aimed at producing atomic weapons.

Iran says its nuclear program is geared only toward generating electricity, not weapons.

The Israeli exercise was widely interpreted as a show of force as well as a practice on skills needed to execute a long-range strike mission.

Shaul Mofaz, an Israeli Cabinet minister, set off an international uproar last month by saying in a published interview that Israel would have "no choice" but to attack Iran if it doesn't halt its nuclear program. Mofaz is a former military chief and defense minister, and has been Israel's representative in a strategic dialogue on Iran with U.S. officials.

On Wednesday, Israeli government spokesman Mark Regev said Israel "does not desire hostility and conflict with Iran."

"But it is clear that the Iranian nuclear program and the Iranian ballistic missile program is a matter of grave concern," Regev said.

The Guards and Iran's regular army routinely hold exercises two or three times a year.
 
Israel, Israel, Israel.............. Hamshangai kwamba wako kimya kama hawapo wala hawajui what is going on? Wametulia tu!
Hawa jamani msiwa under estimate kiasi hicho. Jueni wako kimya wanajitayarisha kwa vita, na Irani wanajua hilo. Na Irani anajua anayo kazi kweli. Myahudi si mzaha jamani. Waarabu wanajua hili acha propaganda zetu hapa jf.
Sasa achaneni na kelele za Irani. Watu hawapigani vita kwa kelele wanazofanya Irani, hapana. Hii yote ya kutangaza habari ya makombola sijui na nini ni tisha nyau tu.
Kweli dunia iko katika hatari kubwa ya vita. Lakini nina mashaka ya existence ya Irani katika ramani ya dunia hii.
Lakini si wao tu na Afrika pia tuko matatani. Tusidhani tuko mbali na vita. Maana tuna kihelehele sana.
Moja, mbili, tatu............... haya subiri tuone!!!!!!
 
Ni kweli Dunia iko MATATANI!
Lakini haina maana kuwa tusijadili pande zote!
Wengine tuna mawazo huru na si mashabiki wa Mwarabu wala Mziraeli.
Hata nchi yetu ina siasa zisizofungamana na upande wowote!
Tuna mawazo na Afrika na pia Tanzania YETU!
Si MWARABU..SI MZUNGU WALA NANI ATAKAYETUKOMBOA WAAFRIKA!
NI SISI WENYEWE!
 
This only escalates the already tense situation in the region. In my view, Iran is miscalculating the effects of doing this. Possession of those long range missiles has never been a short cut to being heard. Saddam Huessein had so many of those long range missiles, i.e the Scuds, which he even fired to Israel several times, but in the end they caused him more harm than good. I guess Iran will eventually realize this fact.
 
Saddam Hussein alikuwa amezungukwa na maadui!

Iran na Saudi na kuwait na kwingineko walikubali base zao zitumiwe kumtandika Saddam!

Lakini stuation sasa ni tofauti kwani kuna Vita na Mshia ni tofauti na Msunni!

Kama wakivamia Iran Moto utakuwa mkubwa na hata kama watashinda..Consequences zake zitakuwa un imaginable!

Yani Mmarekani alimtumia Msunni kumzima Mshia..Sasa hakumpenda msuni Saddam wao na Saudia ambao nao pia wanajali madaraka yao na usultani wao zaidi ya kitu kingine chochote kile!

Na ndio maana licha ya kwamba magaidi wote walitoka Saudi lakini Saudi wala haikuguswa na ndiyo kwanza Bin laden Family ilikimbiziwa huko na Bush bado yuko huko kila kukicha na wao wanakuja kutembelea kila siku!

Sasa imagine kama hao magaidi 16 kati ya 19 wangekuwa wametokea Iraki na wala si Saudi...Then Iraki labda ingepigwa nyuklia!

Hivyo cha msingi hapa ni utofauti wa Iran na Iraki na pia the Shia Factor!

Ilikuwa rahisi kumtoa madarakani raisi msunni aliyezungukwa na mshia kwa kumtumia mshia huyo huyo...Lakini itakuwa vigumu kumtoa madarakani mshia aliyezungukwa na mashia kila mahali!

Kumbuka kuwa hata IRAKI YENYEWE NI MASHIA na pale kuna factor ya gaidi lingine kama ilivyokuwa kwa NASRALAH HUKO LEBANON...Kuna AL SADR huko Iraki ambaye hata sasa inasemekana kajificha Iran!

So vita haitakuwa ndogo na tusipende kukurupuka na kuleta ushabiki!
Ahsante.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom