Iran threatens to destroy Israel within a week

Status
Not open for further replies.
Bahati mbaya habari ni kitambo toka may 2010 ... Cheki tarehe vid ilikuwa lini uploaded

Njiwa, hata kama Ahmadinejad alisema hayo maneno kale, tayari amesha incite wamedo-persian wenzake. Hivi kilichosalia katika bongo haram la medo-persian ni kutekeleza maafa.
 
Mbona mnabisha? kama Waisrael ni taifa la Mungu na hao wa Iran wametokea wapi? wote sisi na wa Mungu ! sisi tusubiri tu nani atapigwa na nina imani Iran kama imeamua basi INAWEZA ! na hao NATO na wasogee! mbona wameingia Iraq na kwengine kte mbona WANASHINDWA KUTIA PUA YAO NDEFU IRANI ! wao si wababe na Ahmedinejad ameshasema sasa wao basi na wajibu ! tunasbiri ! hata mimi ningefurahi kuona Israel inaondolewa katika ramani ya Dunai na ikishaondolewa basi bila shaka DUNIA ITAISHI KATIKA AMANI MILELE!
Mkuu mkomatembo
Wayahudi, au wananchi wa Israel wanahaki ya kuishi na kujitafutia maendeleo kama watu wa jamii au mataifa mingine.
Nafikiri hapa umefanya over-generalisation, ukimaanisha utawala wa Israel, serikali ya Israel ambayo ni zionist.
Kuna haja ya dunia kupiga vita zionist organisations kama ambavyo vita inapiganwa dhidi ya terrorists, Al qaeda na Christian exteremists.

Hapa pia ni vyema kutofautisha US gvt na raia wa US kama watu walivyotoa mfano wa Amin na Mwalimu na raia wa Uganda na raia wa Tanzania.

Kwa yale ambayo serikali,utawala wa Israel inayafanya dhidi ya wapalestine hayatowaletea amani na utulivu kama "amani na utulivu" tulionao hapa TZ.

Kiburi cha Israel kinatokana na kuwa jewish lobby katika US na ulaya ina ushawishi mkubwa katika maamuzi ya serikali hizo na uungwaji mkono na msaada wa kifedha waupatao watawala wa Israel ndio unaujengea Israel kiburi hicho.

Truths about the Six-Day War: U.S. CIA & military secretly helped Israelis

Rogue State: Israeli Violations of U.N. Security Council Resolutions | Foreign Policy Journal

Violations of UN Resolutions
 
Mkuu mkomatembo
Wayahudi, au wananchi wa Israel wanahaki ya kuishi na kujitafutia maendeleo kama watu wa jamii au mataifa mingine.
Nafikiri hapa umefanya over-generalisation, ukimaanisha utawala wa Israel, serikali ya Israel ambayo ni zionist.
Kuna haja ya dunia kupiga vita zionist organisations kama ambavyo vita inapiganwa dhidi ya terrorists, Al qaeda na Christian exteremists.

Hapa pia ni vyema kutofautisha US gvt na raia wa US kama watu walivyotoa mfano wa Amin na Mwalimu na raia wa Uganda na raia wa Tanzania.

Kwa yale ambayo serikali,utawala wa Israel inayafanya dhidi ya wapalestine hayatowaletea amani na utulivu kama "amani na utulivu" tulionao hapa TZ.

Kiburi cha Israel kinatokana na kuwa jewish lobby katika US na ulaya ina ushawishi mkubwa katika maamuzi ya serikali hizo na uungwaji mkono na msaada wa kifedha waupatao watawala wa Israel ndio unaujengea Israel kiburi hicho.

Truths about the Six-Day War: U.S. CIA & military secretly helped Israelis

Rogue State: Israeli Violations of U.N. Security Council Resolutions | Foreign Policy Journal

Violations of UN Resolutions

hivi hujui ussr waliwasaidia waarabu
 
tatizo la wapersian ni kama waarabu,wanakuwa na maneno mengi huku vitendo hawana
Hivi wewe unaongea kwa kutumia akili au!!

Toka lini isreal ilipigana na warabu bila kusaidiwa na marekani, uingereza, ufaransa na nchi nyingine za europe.

Isreal hakuweza kuwapiga Hezboullah ataweza kupigana na nchi ya kiarabu.
 
israel!!!!!!! iran ijaribu tuone kama utaisha mwezi israel hajatua na kuikalia kimabavu TEHRAN
Isreal ana nini wewe....unapo ongea kuisifu isreal lazima unipe hebu nipe point lini isreal alipigana vita akashinda bila kupewa suport na mmarekani.

Hujaona alivyo sambaratishwa na hezboullah kikosi tu cha wa lebanon....atamweza mu iran.

Ungesema mu irna na mmarekani hapo ningekubali....lakini mu isreal na mu iran, inawezekana una ota.
 
Hivi wewe unaongea kwa kutumia akili au!!

Toka lini isreal ilipigana na warabu bila kusaidiwa na marekani, uingereza, ufaransa na nchi nyingine za europe.

Isreal hakuweza kuwapiga Hezboullah ataweza kupigana na nchi ya kiarabu.

Hizboullah ilikuwa nchi za kiarabu in disguise. Ndiyo maana Israele alilazimka kuharibu miundo mbinu iliyokuwa ikitumiwa na Iran pamoja na Syria na hapo Hizboullah wakapoa makali. Safari hii atashughulika na Iran peke yake, hiyo ni simpe1
 
a2011-12-29t170307z_22970486.jpg
NIR ELIAS / REUTERS
An Israeli air force F-15I fighter flies over an air force pilots' graduation ceremony at Hatzerim air base in southern Israel Dec. 29, 2011.




 
Iran can only do hypothetically !!!!! The evidentical contrast is vivid clear.
 
hivi wewe unaongea kwa kutumia akili au!!

toka lini isreal ilipigana na warabu bila kusaidiwa na marekani, uingereza, ufaransa na nchi nyingine za europe.

Isreal hakuweza kuwapiga hezboullah ataweza kupigana na nchi ya kiarabu.
nadhani huji uancho zungumza,kama kmuna mtu amekupa sumu,
naomba unipe evidence kuwa usa alimsaidia israel kwenye six days war
 
nadhani huji uancho zungumza,kama kmuna mtu amekupa sumu,
naomba unipe evidence kuwa usa alimsaidia israel kwenye six days war
Mimi nataka unionyeshe wapi mmarekani alisema anmsaidia isreal akatika vita vyake....siku zote marekani anampa sapoti myahudi kisiri siri au wazi wazi.

Ni sawa sawa na kusema Tanzania ilishinda vita ilipo pigana vita na uganda wakati hajui nchi ngapi zilimpa msada Tanzania....yani kama utafatilia nchi zote jirani na uganda na tanzania zilimpa msada tanzania isipo kuwa malawi tu....lakni tanzania ndo anasema kapigana vita na kashinda.

FYI uganda ilikuwaainapewa msada na libya tu...Tanzania mpaa mmarekani alimpa msada.

Yani nakikumbuka mjomba alivyo kuwa akiwabeba kwenye magari yake wanajeshi wazambai na msumbiji kuwapeleka mtukula ndo nikajua kumbe vita hii si tanzanai peke yake anapigana na uganda.
 
My hope is that, such a thing will not work. Trying to stand against Israel in any means is to play the same game to the overall in charge of Israel, Yahwe - God of the Hebrews. Let Iran not to engage in such a big deal!
 
[video=youtube_share;5hldjgdjc0q]http://youtu.be/5hldjgdjc0q[/video]

http://www.youtube.com/watch?v=ergg2rk_tf8&feature=fvwrel

[video=youtube_share;ergg2rk_tf8]http://youtu.be/ergg2rk_tf8[/video]

ahmadinejad: Israel will disappear from map - youtube

mahmoud ahmadinejad's chief of staff, esfandiar rahim mashaei, said wednesday that if israel attacked iran it would be destroyed within a week. Speaking at a political conference of ultra-conservatives in iran's north, mashaei said, "if the zionist regime attacks iran, the zionists will have no longer than a week to live. Mashaei, who was also formerly a vice president, added that new sanctions to be imposed on iran for its nuclear program would only harm western countries. The statesman is considered a close affiliate of the iranian president and has previously caused a stir by saying that iran was "a friend of the israeli people". He later retracted this statement and issued a contrary one saying israel should be destroyed.

Selectplusahmadinejad: Israel will disappear from mapahmadinejad: Israel will disappear from mapthe associated presson monday, iranian president mahmoud ahmadinejad repeated his call for the destruction of israel. He first made the comments in 2005, fueling international outrage. (june 3)taking aim once again at israel and the united states---iranian president mahmoud ahmadinejad repeated inflammatory comments that he'd made three years ago:vox pop: Ahmadinejad crowd upsaying israel would soon disappear.ahmadinejad first made the remarks in 2005, fueling international outrage and speculation that he was threatening the jewish state with a nuclear weapon...but while speaking at a ceremony honoring the late founder of iran's islamic republic monday --- ahmadinejad told an audience that --- quote --- "this origin of corruption will soon be wiped off of the earth's face."ahmadinejad also called the u-s a satanic power... That with -- god's will -- would be annihilated. Iran cut ties with israel and the united states in 1979 after their revolution toppled the nation's government. On tuesday, ahmadinejad arrived in rome for a u-n summit designed to help combat skyrocketing food prices worldwide.his attendance at the meeting was denounced by both jewish leaders and a host of political and activist groups. ___ ___, the associated press.

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

ndugu zangu matamshi kama hayo ya ahmadinejad yalianza mwanzo wakati wa 2005 hata kabla isreal kuanza kutoa malalamishi yake kwa nato hivi majuzi kuhusu tishio la uwezo wa kinuklia ya iran. Kwa hivyo, this is not a zionists call for war, but a cry to flush out a potential genocide. Iran is gloating over its nuclear capabilities and inventions acquired through russian scientists.

hili ni taifa la mungu na hakuna kiumbe kitaweza kuliondoa ktk raman ya dunia mim nadhan najad anakaribia kufa.
 
Sijui unaishi dunia gani, inaonekana wewe ulisoma vitabu vya mwaka 1950. Angalia historia ya Iran na angalia historia ya Israel na ujue nchi gani ilianza kuwepo lini na imekuwaje katika historia yake. Usiwe myopic kama walokole ambao hata wakisoma biblia hawaelewi wanaaochosoma, na kujaribu kuweka current events in the context of what they see in bible. Unatakiwa kukumbuka kuwa Iran pia ni nchi iliyobarikiwa, nao wana Mungu wao. Unapoona Israel wanalalamika usidhani kuwa ni wajinga na unaposikia jinsi jumuiya ya kimataifa inavyojaribu kila njia kuitaka Iran isitengeneze mabomu ina maana yake. Fuatilia events kuelekea summer mwaka huu then uone.

Mkuu umeongea maneno mazito sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom