The 6 day war was won because of US intervention. Otherwise Israel was history. Even today Israel is not that invincible. Without US and European support politically and militarily it is nothing. That is why it is obsessed about Iran owning the A-bomb. It wants to be the only one in the Middle East so that it can intimidate its neighbours. But with US power waning sooner or later Israel will have to face the reality that it is in the Middle East and not Europe. The crap about being God's chosen people is just that. Crap.
Mimi nataka unionyeshe wapi mmarekani alisema anmsaidia isreal akatika vita vyake....siku zote marekani anampa sapoti myahudi kisiri siri au wazi wazi.
Ni sawa sawa na kusema Tanzania ilishinda vita ilipo pigana vita na uganda wakati hajui nchi ngapi zilimpa msada Tanzania....yani kama utafatilia nchi zote jirani na uganda na tanzania zilimpa msada tanzania isipo kuwa malawi tu....lakni tanzania ndo anasema kapigana vita na kashinda.
Yani nakikumbuka mjomba alivyo kuwa akiwabeba kwenye magari yake wanajeshi wazambai na msumbiji kuwapeleka mtukula ndo nikajua kumbe vita hii si tanzanai peke yake anapigana na uganda.
Na wewe tupe evidence ya hizo riwaya zako!! Wanajeshi wa Zambia kupigana Uganda? Mwongo mkubwa. Nilikuwepo. Niliona. Hapakuwa na kitu kama hicho. Labda kama unaongelea msaada wa ki-diplomasia. Nao haukuwepo kwa sababu kabla ya kutangaza vita Mwalimu JKN alitaka dunia angalao imkemee Amini kwa kuvamia TZ. Hakuna aliyekemea. Warusi (USSR) na Wachina walituuzia silaha lakini hawakuwa kwenye uwanja wa vita.
Hilo taifa la Mungu lina miaka 62 tu. Lilianzishwa mwaka 1949 kwa kupora ardhi ya Wapalestina. Huyo Mungu alikuwa wapi miaka yote hiyo? WaIsrael ni mkusanyiko wa wayahudi kutoka Ulaya na wachache kutoka nchi za Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika. Ni ubwege mkubwa kukubali huo upuuzi. Ina maana sisi wengine ni mataifa ya Shetani?
Na wewe tupe evidence ya hizo riwaya zako!! Wanajeshi wa Zambia kupigana Uganda? Mwongo mkubwa. Nilikuwepo. Niliona. Hapakuwa na kitu kama hicho. Labda kama unaongelea msaada wa ki-diplomasia. Nao haukuwepo kwa sababu kabla ya kutangaza vita Mwalimu JKN alitaka dunia angalao imkemee Amini kwa kuvamia TZ. Hakuna aliyekemea. Warusi (USSR) na Wachina walituuzia silaha lakini hawakuwa kwenye uwanja wa vita.
Wewe niite muongo lakini mimi nimeshuhudia kwa macho yangu wanajeshi kutoka Zambia na msumbiji walikuwa wakienda vitani, ma magari ya babu yangu ndo yalikuwa yakiwapeleka na mjomba wangu alikuwa nao huko....sasa wewe unasema ulikuwepo yani wanajeshi wote waliokuwa wakipigana vita unawajua?
Wewe endelea kunita muonga lakini waulize kina Brugedia Mayunga ndo wanajua siri za vita na nchi ngapi zilimsaidia Tanzaniia..
My hope is that, such a thing will not work. Trying to stand against Israel in any means is to play the same game to the overall in charge of Israel, Yahwe - God of the Hebrews. Let Iran not to engage in such a big deal!
heeehee huyo Iran ajaribu tu akione cha moto kilichomtoa kanga manyoya...mtu mzima hatishiwi nyau...maneno meeengi oohh israel this or that....mwarabu au muiran mbaaado kabisa hajapata akili ya kumpiga muisrael...Iran akijaribu tuu ndo itakuwa mwisho wake na nyuklia yake teehteeh..kwa sasa iran ni sawa na the barking dog haumi ni kelele tuu...watch this space.
The 6 day war was won because of US intervention. Otherwise Israel was history. Even today Israel is not that invincible. Without US and European support politically and militarily it is nothing. That is why it is obsessed about Iran owning the A-bomb. It wants to be the only one in the Middle East so that it can intimidate its neighbours. But with US power waning sooner or later Israel will have to face the reality that it is in the Middle East and not Europe. The crap about being God's chosen people is just that. Crap.
There are 21 arabic nations that surround Israel today, let us put things into perspective for a moment. This is not, and has never been, about land. The Arabs that surround Israel have a land mass that is 649 times largerand a population that is 49 times larger. Maybe that doesn't explain things well enough. The Arab neighbors of Israel have 13,486,861 square kilometers of land,Israel has 20,770. The population of Israel's neighbors in 2001 was 292,400,267 people and Israel had an overall population of 5,938,093. Yet, them Arabs can't do a thing!!!!
So they are scared of USA. That is why you have to have such friends like US, and not diabolic Arabs who can't do a thing.
I don't recall seeing Israelites in Afghan, but I do recall seeing US Marines urinating on them arabs' dead bodies. That explains a lot to a thinker. Somebody must be lesser than savage!!!
[TD="class: text, align: right"]
Military Manpower Available
[/TD]
[TD="class: text, align: center"]46,247,556[/TD]
[TD="class: text, align: center"]3,511,190[/TD]
[TD="class: text, align: right"]
Fit for Military Service
[/TD]
[TD="class: text, align: center"]39,556,497[/TD]
[TD="class: text, align: center"]2,963,642[/TD]
[TD="class: text, align: right"]
Reaching Military Age Yearly
[/TD]
[TD="class: text, align: center"]1,392,483[/TD]
[TD="class: text, align: center"]121,722[/TD]
[TD="class: text, align: right"]
Active Military Personnel
[/TD]
[TD="class: text, align: center"]545,000[/TD]
[TD="class: text, align: center"]187,000[/TD]
[TD="class: text, align: right"]
Active Military Reserves
[/TD]
[TD="class: text, align: center"]650,000[/TD]
[TD="class: text, align: center"]565,000[/TD]
Nawashangaa watu wanaosema Israel ni taifa teule la mungu, mungu yupi huyo? Hivi bado katika karne hii ya 21 kuna watu wenye mawazo mgando kama haya?
Watanzania wanzangu msidanganyike, Israel haina tofauti na Tanzania wala Ruanda hata Afghanistan. Hizo propaganda za biblia zinawapoteza sana, mi nazifananisha na mashairi ya Shabaan Robert. Kama unasoma biblia na kuamini kilichoandikwa basi imekula kwako.

A regular low self esteem Moran who is a God hater. I wonder how do you hate God so bad while He doesn't exist!!!!!! There must be some mental savages to some living apes.
Nawashangaa watu wanaosema Israel ni taifa teule la mungu, mungu yupi huyo? Hivi bado katika karne hii ya 21 kuna watu wenye mawazo mgando kama haya?
Watanzania wanzangu msidanganyike, Israel haina tofauti na Tanzania wala Ruanda hata Afghanistan. Hizo propaganda za biblia zinawapoteza sana, mi nazifananisha na mashairi ya Shabaan Robert. Kama unasoma biblia na kuamini kilichoandikwa basi imekula kwako.
Si ndo hata mimi nashangaa...afu wanasema isreal ana weza kuwapiga warabu....hebu mmarekani akae kando asimsaidie isireal tuone kama kutabaki na nchi inaitwa isreal.
Mimi naipa nchi moja tu isreal wafany enae vita wachaa warabu wengine wakae kanda....apigane na eghpty afu mmarekani na europe wasiingile kumasaida isreal...kama atachukua hata week.

Hypothetically, yes!!!!! The evidentical contrast is vivid clear and impeccable exhibits are verifiable. Just remind them on the 6 days war on the three Arabic Nations. A thinker will wonder is their "One Deity" is provable.
Hypothetically, yes!!!!! The evidentical contrast is vivid clear and impeccable exhibits are verifiable. Just remind them on the 6 days war on the three Arabic Nations. A thinker will wonder is their "One Deity" is provable.
Nawashangaa watu wanaosema Israel ni taifa teule la mungu, mungu yupi huyo? Hivi bado katika karne hii ya 21 kuna watu wenye mawazo mgando kama haya?
Watanzania wanzangu msidanganyike, Israel haina tofauti na Tanzania wala Ruanda hata Afghanistan. Hizo propaganda za biblia zinawapoteza sana, mi nazifananisha na mashairi ya Shabaan Robert. Kama unasoma biblia na kuamini kilichoandikwa basi imekula kwako.
The historical truth shows that Israel fought wars that were forced upon it by those who convinced themselves that Israel is simply fiction, a fleeting phenomenon that shall quickly disappear from the Middle East's map. In practice, this tiny state scored one victory after another, proving that it is entrenched deep in this soil.
Longalonga tu za Iran, mtu mwenye kufanya mambo huwa hasemi ooh nitawapiga, mwambieni mwamajani ajaribu aone cha mtemakuni na kilicho mtoa nyoka pangoni.
Nawashangaa watu wanaosema Israel ni taifa teule la mungu, mungu yupi huyo? Hivi bado katika karne hii ya 21 kuna watu wenye mawazo mgando kama haya?
Watanzania wanzangu msidanganyike, Israel haina tofauti na Tanzania wala Ruanda hata Afghanistan. Hizo propaganda za biblia zinawapoteza sana, mi nazifananisha na mashairi ya Shabaan Robert. Kama unasoma biblia na kuamini kilichoandikwa basi imekula kwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.