hiyo source sio biased,angalia episode zote,hakuna upendeleo wowote hapo,labda uamue kukataa tuSasa hii footage imetengenezwa na wamagharibi wewe unategemea nini halafu mipango mikakati (strategy) ya Urusi na Marekani ni tofauti kabisa. Wamarekani wao ni offensive na wapo kibiashara (sio kama nchi bali watu binasi wanao tengeneza silaha) wakati warusi wao ni defensive. kwahiyo utakuta kwenye jeshi lao (warusi) hawana madege mengi kama wamarekani lakini wana ma-islander ya aina nyingi na wameendela sana katika tesla technology ambapo wanaweza kuharibu mawasiliano ya ndege, guided missiles na hata military satellites kwakutumia elecromagnetic waves.
TEHRAN (Reuters) - Iran's military has shot down a U.S. reconnaissance drone aircraft in eastern Iran and has threatened to respond to the violation of Iranian airspace, a military source told state television Sunday.
"Iran's military has downed an intruding RQ-170 American drone in eastern Iran," Iran's Arabic-language Al Alam state television network quoted the unnamed source as saying.
"The spy drone, which has been downed with little damage, was seized by the Iranian armed forces."
Iran shot down the drone at a time when it is trying to contain foreign reaction to the storming of the British embassy in Tehran Tuesday, shortly after London announced that it would impose sanctions on Iran's central bank in connection with Iran's controversial nuclear enrichment program.
Britain evacuated its diplomatic staff from Iran and expelled Iranian diplomats in London in retaliation, and several other EU members recalled their ambassadors from Tehran.
The attack dragged Iran's relations with Europe to a long-time low.
"The Iranian military's response to the American spy drone's violation of our airspace will not be limited to Iran's borders," the military source said, without elaborating.
The United States and Israel have not ruled out military action against Iran's nuclear facilities if diplomacy fails to resolve the nuclear dispute.
Iran has dismissed reports of possible U.S. or Israeli plans to strike Iran, warning that it would respond to any such assault by attacking U.S. interests in the Gulf and Israel.
Analysts say Tehran could retaliate by launching hit-and-run strikes in the Gulf and by closing the Strait of Hormuz. About 40 percent of all traded oil leaves the Gulf region through the strategic waterway.
Iran said in July it had shot down an unmanned U.S. spy plane over the holy city of Qom, near its Fordu nuclear site.
(Additional reporting by Ramin Mostafavi, Writing by Parisa Hafezi; Editing by Tim Pearce)
@yahoonews on Twitter, become a fan on Facebook
Did or did not American's spy drone violated Iran airspace?
Iran's military has shot down a U.S. reconnaissance drone aircraft in eastern Iran and has threatened to respond to the violation of Iranian airspace, a military source told state television Sunday.
Tukubali tu hili Taifa la Marekani ni tatizo kuwepo Duniani hapa, ni genge kuu la kishetani ambalo wanadamu wanatakiwa kuliondoa ila sasa tutawaondoaje?!! ni shida sana kwa kweli,,,nadhani sasa Dunia ifanye mpango wa kulifuta hili Taifa la kishetani ili tuwe na amani..
Kubalini tuu au fanyeni h/work kidogo tuu kuhusu American wars,nyingi ndio zinakuwa ni kusambaza capitalism kupanua markets zao lakini nyingi ni for profits,kumbuka hizo trillions za Iraq war zitalipwa na Iraqis bila kusahau windfall of oil contracts worth billions zilizokwenda wallstreets for the next 50 yrs,Iraqis Army litajenjwa na hao Americans na watauziwa kila kitu kuanzia boots mpaka jetfighters,Americans wana control Army na mafuta yote ya Iraq means wana control treasury & defence yote ya Iraq..kwa ufupi Iraq sasa iko owned na Americans na hakuna kitu watafanya atakayepiga kelele atakuwa hana future,hivyo viuchaguzi vya iraq au sijui mjaheedina ni kelele tuu na hawana nguvu yeyote,mbona hamshangai Richmond wamelipwa 100m$ na hakuna umeme na wameenda court na kushinda kesi,mbona hamshangai tuna export almost 3 billions of gold lakini hatupati hata 5% kwenda hazina?sembuse hawa ambao army na finances zao under Americans mnafikiri wanapata nini?...war is a good business for america na ina faida kubwa sana kwao na mnaosema war inaangusha America Economy hamuelewi mnachoongea

Utakuwa na ownership ya nchi kivipi huku wenye nchi wanakufukuza!? Au utakuwa na ownership kupitia remote control!?
Sasa mbona mafuta hayashuki bei kama MArekani inamiliki Iraq?
Utakuwa na ownership ya nchi kivipi huku wenye nchi wanakufukuza!? Au utakuwa na ownership kupitia remote control!?
"Give me control of a Nations money and i care not who makes its laws"-Rothschild
Yeah! The control of a nation by remote control!!!!!...unafikiri wanapenda kuondoka!?
Unakumbuka kitu cha kwanza baada ya kuanguka Saddam?....."OIL LAW" na technology sasa inaruhusu kutoweka big military ndani ya Iraq,unajua kitu kinaitwa Aircraft carrier?
...The Iraqi government faces a December deadline, imposed by the world's wealthiest countries, to complete its final oil law. Industry analysts expect that the result will be a radical departure from the laws governing the country's oil-rich neighbors, giving foreign multinationals a much higher rate of return than with other major oil producers and locking in their control over what George Bush called Iraq's "patrimony" for decades, regardless of what kind of policies future elected governments might want to pursue.
...
....Wenye nchi yao machale yamewacheza ndio maana watu wakatolewa mkuku bila kupenda. Kulikuwa na muda chungu nzima wa kupitisha hiyo OIL LAW unadhani kwa nini hawajaipitisha muda wote huo hadi deadline inapiga hodi? Unadhani wataipitisha kabla ya December kuisha!? Akili mukichwa Mkuu...Ngoja tusubiri kuona kama itapitishwa.
...unaongea nini wewe? hiyo sasa ni LAW OF THE LAND na ilipitishwa 2006,hiyo quote niliyokupa ni ya 2006:biggrin::biggrin:!!!!