Nakuunga mkono Mkuu. Hili ni la kweli kabisa. Vita inaidhoofisha sana US kiuchumi sijui kwanini hawalioni hili.
Na mitafaruku ndo njia peke ya kuokoa chumi zao,kwahiyo vita ni mbaya kwa wengine lakini si kwa wote,marekani hawa tena wameshagunduwa haya ya drones, unajuwa wenzetu sometime wanachukulia vita kama war games.
Lakini mostly wako kibishara zaidi.
Mkuu BAK,Pitia taratibu tu kipengele baada ya kipengele halafu you might see what i mean...Na hao ndiyo FED's wenyewe AKA FOMC...
Mkuu unajuwa hizo reconstructions za baada Ya vita etc zina angukia wapi?
Kwahiyo hakuna pahala kwenye analysis za hao feds zinazoonyesha kwamba vita ina negative impact.
Wao wanacholalamika mara pengi ni cost ya human life.
Mkuu BAK,Pitia taratibu tu kipengele baada ya kipengele halafu you might see what i mean...Na hao ndiyo FED's wenyewe AKA FOMC...
Mkuu unajuwa hizo reconstructions za baada Ya vita etc zina angukia wapi?
Kwahiyo hakuna pahala kwenye analysis za hao feds zinazoonyesha kwamba vita ina negative impact.
Wao wanacholalamika mara pengi ni cost ya human life.
Hii si dalili nzuri kwa uchumi wa dunia ambao bado unasuasua....Vita nyingine itasababisha bei ya mafuta ipande kwa kiwango kikubwa na hivyo kuondoa kabisa matumaini ya uchumi wa dunia kuanza kukua tena.
Koba,..naona mnawaelewa hawa US kinyume kabisa,FYI war is a very good business kwa Economy ya US na ndio maana miaka yote wako busy kutafuta hizo war,hizi war zinaongeza sana nguvu za uchumi wao lakini hakuna hata mwanasiasa anaweza kujaribu kusema hilo maana kila mtu anaogopa hizi military industry,hivi mkisikia US wame spend trillion dollar for Iraq war mnafikiri hizo pesa zimeenda wapi?in short hizo pesa zimeingia in American economy through banking,wallstreet,military industry etc Iraq hawakuona hiyo pesa kwao na wao ndio watakuja kulipa for many yrs to come,hapo wamenunua kuanzia tankers,jetfighters,bullets,foods etc kutoka American factories,kumbuka hakuna made in china in american military kwa hiyo pesa yote inaingia in american Economy na wakati huohuo Iraqis watakuja kulipa hiyo so called misaada na billions of oil contracts to Americans,world war 2 kulikuwa na booming economy in America kwa ajiri ya hiyo vita....vita ni industry kama housing,autos etc na ni part kubwa sana kwenye economy ya hawa watu na ni inawaletea utajiri mkubwa sana kuliko kitu chochote,hiyo Iraq imekula 1.3 trillion lakini wanaweza wakawa wametengeneza double kwenye uchumi wao
...oil & Economy vinavyofanya kazi ni kinyume na ulichoeleza,Economy ikianguka mafuta nayo yanaanguka sana,na uchumi wa dunia ukikua bei ya mafuta huongezeka,weak economy zinaleta weak oil demand and v/versa na mara zote wanaoumia na global weak economy ni hao OPEC,ndio maana 2008 wakati wa financial crisis mafuta yalianguaka kutoka 140$ to 30$...kwa ufupi waarabu bila strong economy ya US or western states wamekwisha.
Koba,
Hata mimi nimegunduwa watu kumbe wanaelewa kinyume kabisa!
We wondered if the U.S. invasion and subsequent occupation of Iraq was a major factor in blowing "the top off the price of oil."
..naona mnawaelewa hawa US kinyume kabisa,FYI war is a very good business kwa Economy ya US na ndio maana miaka yote wako busy kutafuta hizo war,hizi war zinaongeza sana nguvu za uchumi wao
Mkuu fuatilia na pia uwasome feds kwa makini,tembelea sites kama FRED, http://www.bea.gov/ nk utapata habari ambazo hazijachanganywa na siasa...Kama War zinaongeza nguvu kiuchumi. Inakuwaje Marekani baada ya Vita ya zaidi ya miaka 8 sasa kule Iraq na kama sikosei miaka 10 kule Afghhanistan uchumi wake uko shakalabaghala!? Hizi vita mbili si zingeufanya uchumi wa Marekani kuwa unapaa sasa hivi lakini hali ni kinyume kabisa sasa hivi uchumi unasuasua na kuna uwezekano ukaanguka zaidi?
Inakuwaje China ambayo haina vita inafanya vizuri zaidi kiuchumi kuliko Marekani? Hawa si walitakiwa wawe nyuma kiuchumi ukilinganisha na Wamarekani ambao wanazitafuta vita kwa udi na uvumba?
Mkuu BAK,umeniwekea habari ya wanasiasa na mimi nimekuwekea vitu vya jikoni vya feds wenyewe ila huja take time kudesa...
Hii hapo juu ndo key word, "We wonder if" Unaweza kunionyesha pahala kasema kwa uhakika kabisa?
Kama kweli kuna watu wanasubiri vita visimamishwe kwasababu hiyo ya kudhani kuwa vinawacost wao,basi watasubiri sana,kwasababu moja mkuu,hivi unawajuwa feds?
Soma hapo juu Mkuu nilipoandika kwamba demand ya mafuta huongezeka wakati wa vita, na kutokana na demand hiyo kuongezeka ni lazima bei katika soko la dunia itaongezeka kwa kiasi kikubwa sana hata kama uchumi wa dunia unasuasua. Neno hili unaweza kulipeleka kokote kule kwa mtu anayefahamu demand and supply akakubaliana nami. Kamwe wakati wa vita ambazo nchi za magharibi zinashiriki bei ya mafuta katika soko la dunia haiwezi kushuka au kubakia kama ilivyo siku zote lazima itapanda tena sana tu na kuathiri uchumi wa nchi nyingi duniani na hivyo uchumi wa dunia.
Mkuu fuatilia na pia uwasome feds kwa makini,tembelea sites kama FRED, U.S. Bureau of Economic Analysis (BEA) nk utapata habari ambazo hazijachanganywa na siasa...
News Release: Gross Domestic Product
Mkuu hiyo ni just an economic cycle,na kumaliza vita siyo solution ya kuimaliza,sidhani kama they look at it that way.Mkuu Mushi, jifikirie mwenyewe. Kwa mfano unaona bei ya mafuta imepanda. Una gari lako moja au mawili na familia yako. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta na hivyo kusababisha asilimia kubwa ya mapato yako kutumika katika mafuta utatafuta sehemu nyingine katika bajeti yako ili ufidie hilo ongezeko la bei ya mafuta. Sasa wanaofikia maamuzi kama haya duniani ni wengi sana katika nchi mbali mbali ikiwemo Marekani.
Badala ya kutumia mapato yao kwa vitu vingine walivyokusudia kwa mfano renovation ya nyumba zao, kwenda vacation, kununua nyumba, kununua nguo n.k. wanaamua kuahirisha matumizi hayo labda mpaka hali itakapokuwa nzuri. Hili likitokea ndiyo unasikia kwamba consumer confidence imeshuka.
Sasa hili halitokei Marekani tu bali katika nchi nyingine nyingi duniani na hivyo kuathiri nchi moja moja na madhara yake yanakuwa kwa uchumi wa dunia nzima. Hapa ukiangalia kilichosababisha watu waahirishe au kupunguza matumizi yao ni ongezeko la bei ya mafuta katika soko la dunia ambalo limesababishwa na demand kubwa ya bidhaa hiyo kutokana na vita ambayo nchi za magharibi zinashiriki.
Kama kweli kuna watu wanasubiri vita visimamishwe kwasababu hiyo ya kudhani kuwa vinawacost wao,basi watasubiri sana,kwasababu moja mkuu,hivi unawajuwa feds?
Mkuu hiyo ni just an economic cycle,na kumaliza vita siyo solution ya kuimaliza,sidhani kama they look at it that way.
Exactly mkuu, and thats how they run the world, kuna wakati wa uharibifu,na kuna wakati wa reconstruction......Economic cycle ambayo imesababishwa na nini? haikutokea katika hali ya kawaida bali imesababishwa na vita.
Exactly mkuu, and thats how they run the world, kuna wakati wa uharibifu,na kuna wakati wa reconstruction...