Iran Official: We Have Obtained the S-300 Missile System

Mkuu umejuaje hapo huo mchezo kwa ni wasaudi wameufanya
mwaka 2002,yaani miezi michache baada ya tukio la 9/11 majasusi wa CIA walifanikiwa kumteka msaidizi mkubwa wa osama bin laden alieitwa Abu zubaidah,
walimteka kule pakstan na wakamweka sehemu ambayo ilionekana kama yuko katika mikono ya majasusi wa saud arabia,
ilikua ni trick tu,ambayo CIA walimchezea wakijifanya wao ni majasusi wa saud,
abu zubaidah baada ya kuzinduka akadhani kweli yuko mikononi mwa wasaud.walipoanza kumuohoji akawambia pigeni namba hii atawambia la kufanya,,
CIA wakapiga ile namba ikaita,ilikuwa ni namba ya prince Ahmed bin salman bin abdul aziz,binamu yake na mfalme wa saud na mkuu wa intelligence ya saud.
CIA wakamwambia hawamuamini,abuzubaidy akatoa namba zingine mbili za maofisa wa juu wa saudi,
ndani ya siku chache wale jamaa waliotajwa wote walikufa katika mazingira ya kutatanisha tena kwa kufuatana.
Inaonekana saud iliwamaliza ili kufunika habari isisanuke,lakini wamarekani wanajua saud arabia ndo aliwatwanga 9/11
 
Kama USA angeacha siasa zake za kinafiki Afrika ingekua mbali sana.

africa?
africa ata tupewe kitu gani kama hatutaweza kujiongoza wenyewe.
mzungu ametupa maendeleo sana ametutoa gizani,ingawa wametutawala sana lakini ndio hao hao walioleta elimu,hosptals,technology africa nk.
ila muarabu alitufanya watumwa lakini hakuna kitu ata kimoja cha maendeleo alichokifanya sio shule wala hosptals.
 
Shida ya systems za urusi akishamuuzia Iran au washirika wake wengine tu basi hapo Israel anakua tayari na access ya kuzichokonoa...na kuipata ground thinking ya mrusi.
 
wale wandengereko kule marekani aliwapeleka nani?..bado mjinga tu?!..neo colonialism ni nini?..ukisoma ukashindwa kuelimika unakua kama punda aliebeba mzigo wa vitabu asijue vina nini wala faida gani..
 
usiogope,israel ni ugonjwa wa kawaida sana,una dawa yake,inaitwa hizbullah,tangu 2006 ilipowanyoosha wamebak kwao tu na kuwaonea hamas
 
Shida ya systems za urusi akishamuuzia Iran au washirika wake wengine tu basi hapo Israel anakua tayari na access ya kuzichokonoa...na kuipata ground thinking ya mrusi.
warusi wajanja san wanakuzia siraha ambayo wao washaitumia,uwezi kupat sirah iliyotok jikoni
 
wale wandengereko kule marekani aliwapeleka nani?..bado mjinga tu?!..neo colonialism ni nini?..ukisoma ukashindwa kuelimika unakua kama punda aliebeba mzigo wa vitabu asijue vina nini wala faida gani..

mbona unatoa mapovu mkuu, muarabu ameleta maendeleo gani africa?amefanya kitu gani cha maana?kuhusu hao wandengereko utajua wewe
 
Shida ya systems za urusi akishamuuzia Iran au washirika wake wengine tu basi hapo Israel anakua tayari na access ya kuzichokonoa...na kuipata ground thinking ya mrusi.
actually iran hahitaji kwasasa hiyo S-300 kwani wako na system zao na zinacover kama hiyo system,na wana long range rada inaona km 3000,inaweza kuona karibu mashariki ya kati yote na hivyo kuwapa warning endapo wanaelekea kushambuliwa kabla hata ndege za adui hazijafika anga la iran
 
Mbona sijaona kwenye habari za juzi au leo
 
saud arabia anaweza sana kucheza hata na marekani achilia mbali israel,hukuona majengo ya world trade centre yalivyoshushwa?

Hukuona saud ilivyoifirisi soviet union hadi ikameguka vipande?

Wamarekani wenyewe wanajua wasaudia ndio waliwapiga 9/11 lakini hawajui wafanye nini kujibu
saudia ndio alikuwa drived na marekani kuingilia huo

wamamrekani wenyewe ndio waliowa drive wasaudi kuingilia mgogoro wao na soviet union..saudia hakuwa na nguvu ya kupambana na soviet mwenyew...walichofanaya usa ni kukubaliana na saudia wapunguze bei ya mafuta ili soviet washindwe kuuza na kupata hasara kubwa,hii ilipelekea mtikisiko mkubwa wa kiuchumi hadi member country wa ussr kushindwa kujiendesha...finaly ussr ikameguka vipande vipande..Sasa loss ambayo saudia waliipata kwa kushusha bei ya mafuta walikubaliana na marekani kwamba wata cover the all cost,pamoja na kuwa pamoja na saudia kwa kila hali iliwemo kijeshi na kiuchumi...ndio maana hadi leo 90% ya silaha kali za saudia zinatoka usa..
pia makampuni makubwa yote yanayo drill mafuta saudia yanatoka marekani,pia mteja mkubwa wa saudia ni marekani,ndio maana hadi sasa saudia ana jeuri ata ya kushusha au kuongeza bei ya mafuta coz anajua ana mteja wa kudumu usa....
Kuhusu tukio la sep 11,Ile pia ilikuwa inside job kati ya usa na saudia ili kufanikisha mipango yao ya kuingia mashariki ya kati,sabab wanajua kwamba endapo usa ataingia kweny vita,uzalishaji wa mafuta utapungua sana,so kwa hapo saudia atapata compititive advantage na kuzalisha mafuta kwa wingi na kupata faida kubwa...
Saudia hana intelligensia yyte ya kuweza kupanga isshue kubwa kiasi hicho kumzunguka marekani bila yye kujua...
mkuu usiongee vitu ili kujifurahisha au kushinda jaribu kuwa realistic..
 
mwaka 2002,yaani miezi michache baada ya tukio la 9/11 majasusi wa CIA walifanikiwa kumteka msaidizi mkubwa wa osama bin laden alieitwa Abu zubaidah,
walimteka kule pakstan na wakamweka sehemu ambayo ilionekana kama yuko katika mikono ya majasusi wa saud arabia,
ilikua ni trick tu,ambayo CIA walimchezea wakijifanya wao ni majasusi wa saud,
abu zubaidah baada ya kuzinduka akadhani kweli yuko mikononi mwa wasaud.walipoanza kumuohoji akawambia pigeni namba hii atawambia la kufanya,,
CIA wakapiga ile namba ikaita,ilikuwa ni namba ya prince Ahmed bin salman bin abdul aziz,binamu yake na mfalme wa saud na mkuu wa intelligence ya saud.
CIA wakamwambia hawamuamini,abuzubaidy akatoa namba zingine mbili za maofisa wa juu wa saudi,
ndani ya siku chache wale jamaa waliotajwa wote walikufa katika mazingira ya kutatanisha tena kwa kufuatana.
Inaonekana saud iliwamaliza ili kufunika habari isisanuke,lakini wamarekani wanajua saud arabia ndo aliwatwanga 9/11
wale jamaa waliuawa na C.I.A wenywe coz walikuwa wanafikia kiwango cha kuujua ukweli wa mambo ulivyo,na haikutakiwa kujulikana kwamba saudia anahusika kuunda ile ishue pamoja na rafikie usa...
marekani anajua anachokipata saudia thats why mpaka leo yupo nae,na wote wawili wanajua wanavyohusiaka katika kupanga tukio la sep 11...
Mfano mdogo tuu,karibia 60% ya mafuta yote yanayotumika na reserve uko USA yanatoka saudia..pia makampuni yote makubwa yanayo drill mafuta saudia ni ya U.S.A pia saudia ni mteja mkubwa sana wa silaha za marekani,wana mikataba ya ma bilionya dollar kuuziana sialaha..sasa endapo saudia na u.s.a watazinguana,utaona ni jinsi gani u.s.a atapoteza kwa kiasi kikubwa..ndio maana hata baada ya sep 11,bado wako pamoja katika hali zote,kijeshi na kiuchumi
 
actually iran hahitaji kwasasa hiyo S-300 kwani wako na system zao na zinacover kama hiyo system,na wana long range rada inaona km 3000,inaweza kuona karibu mashariki ya kati yote na hivyo kuwapa warning endapo wanaelekea kushambuliwa kabla hata ndege za adui hazijafika anga la iran
iran hana system reliable sana hadi saivi ndi maana ana pigana kununua izo za urusi,hii yote ni woga coz anajua sana wayahuni kwenye kumanipulate radder na kupenya yuko vizuri sana,,refer op orchard na nyingine nyingi....walitumia f-16tu kupenya na wakarudi salama
myahuni akiamua kitu huwa hakurupuki hata kidogo,anafanya uchunguzi hata kwa mwaka mzima ilimradi vijana wao warudi home safely..huwa hawataki kuacha trace yoyte kenye mission zao..
Operation orchard walifanya uchunguzi kuanzia ile train ilipolipuka kule north korea hadi wanasayansi kuletwa syria kama maiti kwenye ndege...
baadae waliingia syria kwa special force then baadae wakatuma f-16 kulipua na wakafanikiwa..
Gen Mohamed suleiman akataka ku resume ile plan,baadae akauawa na kidon akiwa vacation na marafiki zake..
Hata kama iran akiwa na nuklia,hataweza kumpiga israel,atampiga saudi arabia...
Hili tukio lipo kwenye bible kitabu cha isaya kama sio ezekiel sikosei pale alipoona the Flying scroli(nuclear misile)
 
ukiangali ile patriot ya mmarekani ni ndogo kiasi kwamba inaweza kubebwa na kiDatsun pickup,
lakini utashangaa siku walizotumia kuiweka pale turkey,nachosema hapa ni kuwa hii system ni plug and play haina complication nyingi kama system za mabishoo wa america
Walitumia siku ngapi kuiweka turkey?....na kma ni plug and play kama unavyodai kwa nini kuna thread ilikuja humu kwamba hatuoni izo s-400 kama zina kazi yyte syria sabab israel amekuwa akiingia damascus kufanya mashmbulizi dhidi ys silaha zinazotoka syria kwenda hezbollah..pia marekani amekuwa akiingiza drones na ndege kushambulia kama kawaida...na hatujaona impact yyte,,,
sasa watu wengi akiwemo wewe ulisema bado systema hawajazi assemble kufanya kaz ndio maana hamna impact...
afu leo tena unakuja na kituko kingine ch aplug and play
Team propaganda huwa hamuaminikio siku zote..
 
saudia ndio alikuwa drived na marekani kuingilia huo

wamamrekani wenyewe ndio waliowa drive wasaudi kuingilia mgogoro wao na soviet union..saudia hakuwa na nguvu ya kupambana na soviet mwenyew...walichofanaya usa ni kukubaliana na saudia wapunguze bei ya mafuta ili soviet washindwe kuuza na kupata hasara kubwa,hii ilipelekea mtikisiko mkubwa wa kiuchumi hadi member country wa ussr kushindwa kujiendesha...finaly ussr ikameguka vipande vipande..Sasa loss ambayo saudia waliipata kwa kushusha bei ya mafuta walikubaliana na marekani kwamba wata cover the all cost,pamoja na kuwa pamoja na saudia kwa kila hali iliwemo kijeshi na kiuchumi...ndio maana hadi leo 90% ya silaha kali za saudia zinatoka usa..
pia makampuni makubwa yote yanayo drill mafuta saudia yanatoka marekani,pia mteja mkubwa wa saudia ni marekani,ndio maana hadi sasa saudia ana jeuri ata ya kushusha au kuongeza bei ya mafuta coz anajua ana mteja wa kudumu usa....
Kuhusu tukio la sep 11,Ile pia ilikuwa inside job kati ya usa na saudia ili kufanikisha mipango yao ya kuingia mashariki ya kati,sabab wanajua kwamba endapo usa ataingia kweny vita,uzalishaji wa mafuta utapungua sana,so kwa hapo saudia atapata compititive advantage na kuzalisha mafuta kwa wingi na kupata faida kubwa...
Saudia hana intelligensia yyte ya kuweza kupanga isshue kubwa kiasi hicho kumzunguka marekani bila yye kujua...
mkuu usiongee vitu ili kujifurahisha au kushinda jaribu kuwa realistic..
ok ntakuelewesha tu usijali,mkataba wa ushirikiano kati ya marekan na saud arabia uliwekwa na rais Rooselvelt na mfalme Saud mwaka 1944 kama sikosei,na kwa taarifa yako bila saud kukubali hapengekuwepo na taifa la israel kwani wao ndo waliongea na marekani na wakakubaliana kuangalia pembeni wakati wakimbizi wa kiyahudi wakirudi na kuhamia palestina.

Bifu la saudi na soviet union lilianza pale mrusi alipovamia afaghnstan,na si kweli kuwa marekani ndo aliwambia wasaud waanze bifu na urusi,
marekani alikuja baadae kutake advantage ya kumtumia msaud kumwangusha mrusi kwa makubaliano hayo hayo ya nchi hizo mbili ziwe na special relationship huku marekani akiaahidi kuilinda saud arabia na uvamizi wowote toka nchi yeyote
 
Walitumia siku ngapi kuiweka turkey?....na kma ni plug and play kama unavyodai kwa nini kuna thread ilikuja humu kwamba hatuoni izo s-400 kama zina kazi yyte syria sabab israel amekuwa akiingia damascus kufanya mashmbulizi dhidi ys silaha zinazotoka syria kwenda hezbollah..pia marekani amekuwa akiingiza drones na ndege kushambulia kama kawaida...na hatujaona impact yyte,,,
sasa watu wengi akiwemo wewe ulisema bado systema hawajazi assemble kufanya kaz ndio maana hamna impact...
afu leo tena unakuja na kituko kingine ch aplug and play
Team propaganda huwa hamuaminikio siku zote..
we jamaa bana,hujui Russia na israel wana understanding,na kun hotline ambapo kama israel anakuja kufanya vitu syria russia anaangalia kwingine?
Nenda debka.com hizo infor mbona zipo siku nyingi,incase huimini hiyo site ni ya former mossad agents ndo kisite chao cha kuandika habari za military intelligence na hawawezi kuandika uongo kuihusu nchi yao
 
iran hana system reliable sana hadi saivi ndi maana ana pigana kununua izo za urusi,hii yote ni woga coz anajua sana wayahuni kwenye kumanipulate radder na kupenya yuko vizuri sana,,refer op orchard na nyingine nyingi....walitumia f-16tu kupenya na wakarudi salama
myahuni akiamua kitu huwa hakurupuki hata kidogo,anafanya uchunguzi hata kwa mwaka mzima ilimradi vijana wao warudi home safely..huwa hawataki kuacha trace yoyte kenye mission zao..
Operation orchard walifanya uchunguzi kuanzia ile train ilipolipuka kule north korea hadi wanasayansi kuletwa syria kama maiti kwenye ndege...
baadae waliingia syria kwa special force then baadae wakatuma f-16 kulipua na wakafanikiwa..
Gen Mohamed suleiman akataka ku resume ile plan,baadae akauawa na kidon akiwa vacation na marafiki zake..
Hata kama iran akiwa na nuklia,hataweza kumpiga israel,atampiga saudi arabia...
Hili tukio lipo kwenye bible kitabu cha isaya kama sio ezekiel sikosei pale alipoona the Flying scroli(nuclear misile)
actually iran hashupalii hiyo system,kwani tayari wana ya kwao BAVAR-373 ambayo ni sawa na hiyo S-300.

Hiyo system iran alishailipia pesa zote upfront tangu mwaka 2007,na kesi iko katika mahakama ya kimataifa,kwahiyo russia analazimika kudeliver ama kurudisha pesa na faini juu.
Sio kwamba wairan wanapapatika sana kuipata kwani wana system zao,haya mambo mbona yapo tu mitandaoni ni kiasi cha kusearch unapata information
 
Back
Top Bottom