Iran Official: We Have Obtained the S-300 Missile System

ubaya wa hizi nchi kama iran huwa znajitapa sana zaid ya uwezo wao halisi kama mnakumbuka enzi zile b4 2006 iraq ilikua ni nchi yenye jina kubwa na weng tuliamin iraq ina uwezo mkubwa sana kijeshi..kipind kile ulikuwa huwez kuisikia iran kwakuwa iraq ilionekana ni superior sana kuliko wenzake na wengi tuliamin USA angepata shida ya maana kuivamia iraq lakin kilchotokea iraw ilishindwa kuhimili vita haikufikisha hata miez mitatu,sasa imeibuka iran nayo inasema wao hakuna anaewababisha haya mambo bhana....
 
Izo s-300 ni system za kawaida sana,wamarekani na wayahudi washichezea sana kule turkey na f-16 za israel..
huwezi sikia hata siku moja myahudi akiogopa iyo s-300,kilichomzuia kwenda kupiga nuclear facility za iran ni pressure kutoka usa na kukosa support kutoka kwa serikalin ya obama
IDF wamekua wakitrain S-300 ya greece tangu 2006
 
ubaya wa hizi nchi kama iran huwa znajitapa sana zaid ya uwezo wao halisi kama mnakumbuka enzi zile b4 2006 iraq ilikua ni nchi yenye jina kubwa na weng tuliamin iraq ina uwezo mkubwa sana kijeshi..kipind kile ulikuwa huwez kuisikia iran kwakuwa iraq ilionekana ni superior sana kuliko wenzake na wengi tuliamin USA angepata shida ya maana kuivamia iraq lakin kilchotokea iraw ilishindwa kuhimili vita haikufikisha hata miez mitatu,sasa imeibuka iran nayo inasema wao hakuna anaewababisha haya mambo bhana....
umeshasoma magazeti ya sauti ta umma?
Kama hujawahi hata kuyasikia sawa.
Iran iko katika headline tangu miaka ya 1979
 
sema kusahau ni jambo rahisi sana nut ni juzi tu hapa wakati iraq ilipokuwa kwe ubora wake ilifunika kabisa jina la iran
 
IDF wamekua wakitrain S-300 ya greece tangu 2006
Ingia Ynet news ya Israel leo uone nini wameandika kuhusu S-300 Missile..
kiufupi ni kua Israel na US wameshatrain uko Cyprus na Greece kuhusu hizi S 300 Lakini wanasema Hizo nchi mbili zilipata hizi zamani sana zaidi ya miaka 20 so ni old modal na S300 za sasa zime undergo changes tofauti sana kuanzia kwenye interception, rader nk nk....Netenyahu anategemea kwennda RUSSIA next wk ku lobby PUTIN asimpe IRAN new modal ambazo western hawana....Mbaya zaidi IRAN yenyewe ina homegrown air defence tofautitofaut ambazo wanatumia parameter zao wenyewe na radar zao so hategemi hizi pekee ndo maana miaka yote US/Israel hawajafanikiwa kuivamia japo wameribu tumia njia km cyber attack na kupeleka stealth spy sentinel 170 lakin bado ilionekana kwenye radar za IRAN na kushushwa ikiwa intact...
 
mimi huwa nacheka tuu watu wanavyosifia haya makitu wakati hata performance yake hawajawahi iona kokote duniani.....Yaani mtu utakuwa reasonable kusema Iron dome iko vizuri(sijasema kuliko s-300) kwa sababu ufanisi wake ulionekan kudungua 90% ya rockets za hamas,kuliko kusema s-300 ni bora wakat hata iyo s-400 kule syria hatujaona hata ikidungua drone za marekani,...Ilafu wayahudi wanaipima s-300 kwa kutumia f-16 ndege za zamani kidogo alafu wakaona weakness..sasa sijui wakitumia fifth gereration gets itakuwaje... wanyoa viduku wanabwabwaja sana humu JF bila kuwa na data
Wewe umewahi ona perfomance ya Arrow au patriot au na wewe unabwabwaja? Mpaka kitu kinaaminiwa na nchi husika unadhani hakijafanyiwa majaribio? Au majaribio mpaka vita? F22 Stealth fighter jet kwani imeshapigana vita gani? Unadhani haijafanyiwa majaribio uko Nevada kwenye testing zao? Sio mpaka kila kitu uone ndo uamini mfano EuroSAM inayotengenezwa na France/Italy umeona ikiwa wapi kwenye vita mbona france ndo anaitegemea ....China anayake umeona wapi mbona ndo inamlinda.....inshort kila nchi inafanya majaribio yake japo mengine yana fail mfano how many times is Israel made long range SAM Arrow imefail kuintercept Jericho missile? hadi hivi sasa wanategemea US made SAM patriot......Ubwajaji eti F16, F15 zimetest lazima zifanye hivyo kwani ndo zipo kwenye inventory ya Israel japo soon atapokea F-35
 
Ingia Ynet news ya Israel leo uone nini wameandika kuhusu S-300 Missile..
kiufupi ni kua Israel na US wameshatrain uko Cyprus na Greece kuhusu hizi S 300 Lakini wanasema Hizo nchi mbili zilipata hizi zamani sana zaidi ya miaka 20 so ni old modal na S300 za sasa zime undergo changes tofauti sana kuanzia kwenye interception, rader nk nk....Netenyahu anategemea kwennda RUSSIA next wk ku lobby PUTIN asimpe IRAN new modal ambazo western hawana....Mbaya zaidi IRAN yenyewe ina homegrown air defence tofautitofaut ambazo wanatumia parameter zao wenyewe na radar zao so hategemi hizi pekee ndo maana miaka yote US/Israel hawajafanikiwa kuivamia japo wameribu tumia njia km cyber attack na kupeleka stealth spy sentinel 170 lakin bado ilionekana kwenye radar za IRAN na kushushwa ikiwa intact...
netanyahu hawez kwenda hawez zuia russia kudeliver s300 kwakuwa russia wameshaanza kudeliver hio kitu iran kama walivyosign mkataba,sasa mkuu unataka tuamini kwamba iran or russia hawana concern yeyote ya watu kuwa na access na S-300 system kwa muda wa miaka kumi kwakuwa tu wameupgrade radar zao? pia umesema miaka yote usa/israel wameshaindwa kuivamia iran kwa sababu ya uwezo mkubwa wa kijesh alionao iran are you sure mkuu? maana hapa unanipa picha kuwa uwezo wa kijeshi wa iran sasa unaweza kuwa mkubwa kama wa china ama russia pengine unazidi hata ule wa japan....
 
hivyo vitrekta havizuu marekani akitaka kufanya mambo yake
Waacha bwana so mwanaume mmoja akiwa na hela mtaani kwenu na nyie wengine muache kuzitafuta mumnyenyekee kweli utavumilia au nawe utatafuta?
 
saudia ndio alikuwa drived na marekani kuingilia huo

wamamrekani wenyewe ndio waliowa drive wasaudi kuingilia mgogoro wao na soviet union..saudia hakuwa na nguvu ya kupambana na soviet mwenyew...walichofanaya usa ni kukubaliana na saudia wapunguze bei ya mafuta ili soviet washindwe kuuza na kupata hasara kubwa,hii ilipelekea mtikisiko mkubwa wa kiuchumi hadi member country wa ussr kushindwa kujiendesha...finaly ussr ikameguka vipande vipande..Sasa loss ambayo saudia waliipata kwa kushusha bei ya mafuta walikubaliana na marekani kwamba wata cover the all cost,pamoja na kuwa pamoja na saudia kwa kila hali iliwemo kijeshi na kiuchumi...ndio maana hadi leo 90% ya silaha kali za saudia zinatoka usa..
pia makampuni makubwa yote yanayo drill mafuta saudia yanatoka marekani,pia mteja mkubwa wa saudia ni marekani,ndio maana hadi sasa saudia ana jeuri ata ya kushusha au kuongeza bei ya mafuta coz anajua ana mteja wa kudumu usa....
Kuhusu tukio la sep 11,Ile pia ilikuwa inside job kati ya usa na saudia ili kufanikisha mipango yao ya kuingia mashariki ya kati,sabab wanajua kwamba endapo usa ataingia kweny vita,uzalishaji wa mafuta utapungua sana,so kwa hapo saudia atapata compititive advantage na kuzalisha mafuta kwa wingi na kupata faida kubwa...
Saudia hana intelligensia yyte ya kuweza kupanga isshue kubwa kiasi hicho kumzunguka marekani bila yye kujua...
mkuu usiongee vitu ili kujifurahisha au kushinda jaribu kuwa realistic..[/QUOTE

mkuu usiongee vitu ili kujifurahisha au kushinda jaribu kuwa realistic..
Wamarekan walijilipuwa wenyew ilikuwa agenda ya Illuminati pili saud arabia inaviongozi ambao asili yao ni waisral hata huyo mfalme wao. Kama ilivo marekan viongozi wa usalama wote ni wayahudi hata ili upewe urais lazma uwe na asili ya uyahudi
 
Back
Top Bottom