Iran Official: We Have Obtained the S-300 Missile System

Iran Official: We Have Obtained the S-300 Missile System

wale jamaa waliuawa na C.I.A wenywe coz walikuwa wanafikia kiwango cha kuujua ukweli wa mambo ulivyo,na haikutakiwa kujulikana kwamba saudia anahusika kuunda ile ishue pamoja na rafikie usa...
marekani anajua anachokipata saudia thats why mpaka leo yupo nae,na wote wawili wanajua wanavyohusiaka katika kupanga tukio la sep 11...
Mfano mdogo tuu,karibia 60% ya mafuta yote yanayotumika na reserve uko USA yanatoka saudia..pia makampuni yote makubwa yanayo drill mafuta saudia ni ya U.S.A pia saudia ni mteja mkubwa sana wa silaha za marekani,wana mikataba ya ma bilionya dollar kuuziana sialaha..sasa endapo saudia na u.s.a watazinguana,utaona ni jinsi gani u.s.a atapoteza kwa kiasi kikubwa..ndio maana hata baada ya sep 11,bado wako pamoja katika hali zote,kijeshi na kiuchumi
marekani yuko na saudi ,lakini saud hayuko na marekani kama ulikuwa hujui.
Wasaud wanaitumia marekani kufikia malengo yao,
unajua kwanini safari hii mafuta yanashuka bei?,
nakupa idea,marekani kuna mafuta,tena mengi karibu sawa na saud.
Walipoanza kuyachimba kwa kutumia technology ya fracking,msaudi akaona marekan anakuja kuharibu soko lake la mafuta,
walichofanya wasaud,kwakua wanajua kuwa tech anayotumia marekan kuchimba mafuta ni very costly,alichofanya saud alianza kuongeza uzalishaji na hivyo kushusha bei kiasi kwamba makampuni ya marekani yanayochimba mafuta inabidi yasimame kufanya kazi kwani inakuwa hailipi kuchimba na kuuza kwa bei below $100.
 
Hahaha...Acha kupanic we mnyoa kiduku..Its very simple question boy

Hilo NDONGA wanliogopa balaaaa, bado kaka yake S-400, S-500 na wako mbioni kutoa S-600, hahahahahahahahahaha, hiyo inaitwa beta nkubete
 
IRAN YASEMA UWEZO WAKE MKUBWA WA KIJESHI SIO TISHIO, BALI WA KIJIHAMI NA FYOKOFYOKO ZA AINA YOYOTE.

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) linaendelea na mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la kusini mashariki mwa nchi.

Luteka hiyo iliyopewa jina la Mtume Mtukufu SAW imeanza Jumanne katika mkoa wa Sistan na Baluchestan ambapo pia kumezinduliwa ndege mpya isiyo na rubani au drone ilioyotengenezwa hapa nchini na yenye uwezo mkubwa.

Drone hiyo ijulikanayo kama Hamasa inatumika kwa mara ya kwanza katika mazoezi ya jeshi baada ya uundwaji wake kutangazwa miaka miwili iliyopita. Drone hiyo ina uwezo mkubwa wa kazi za upelelezi na kurusha makombora mbali na kuwa na uwezo wa kuruka juu sana. Drone zingine zilizotengenezwa nchini Iran zinazotumika katika luteka hiyo ni pamoja na Mohajer, Ababil na Shahed.

Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha IRGC Brigedia Jenerali Mohammad Pakpour amesema mazoezi hayo ya siku tatu yatafanyika pia katika mikoa ya Kerman, Khorasan Kusini na Hormozgan.

Hivi karibuni pia vikosi vya ulinzi vya Iran vilifanya mazoezi na kufanyia majaribio zana za kisasa za kujihami. Machi 9 IRGC ilifanyia majaribio yaliyofana makombora mawili ya balistiki ya Qader-H na Qader-F. Machi nane pia Iran ilifanya majaribio yaliyofana ya kombora la Qiam.

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasisitiza kuwa uwezo wake mkubwa wa kijeshi si tishio kwa nchi yoyote bali ni kwa ajili ya kujihami.
 
marekani yuko na saudi ,lakini saud hayuko na marekani kama ulikuwa hujui.
Wasaud wanaitumia marekani kufikia malengo yao,
unajua kwanini safari hii mafuta yanashuka bei?,
nakupa idea,marekani kuna mafuta,tena mengi karibu sawa na saud.
Walipoanza kuyachimba kwa kutumia technology ya fracking,msaudi akaona marekan anakuja kuharibu soko lake la mafuta,
walichofanya wasaud,kwakua wanajua kuwa tech anayotumia marekan kuchimba mafuta ni very costly,alichofanya saud alianza kuongeza uzalishaji na hivyo kushusha bei kiasi kwamba makampuni ya marekani yanayochimba mafuta inabidi yasimame kufanya kazi kwani inakuwa hailipi kuchimba na kuuza kwa bei below $100.
Unaposema saudia hamtegemei mmarekani kivile,hapo ndo naona unaanza kuleta unazi,saudia anamtegemea sana mmarekani hasa katika tech za kijeshi na ulinzi kiujumla pamoja na economic advantages hasa za kibiashara...
 
actually iran hashupalii hiyo system,kwani tayari wana ya kwao BAVAR-373 ambayo ni sawa na hiyo S-300.

Hiyo system iran alishailipia pesa zote upfront tangu mwaka 2007,na kesi iko katika mahakama ya kimataifa,kwahiyo russia analazimika kudeliver ama kurudisha pesa na faini juu.
Sio kwamba wairan wanapapatika sana kuipata kwani wana system zao,haya mambo mbona yapo tu mitandaoni ni kiasi cha kusearch unapata information
Izo s-300 ni system za kawaida sana,wamarekani na wayahudi washichezea sana kule turkey na f-16 za israel..
huwezi sikia hata siku moja myahudi akiogopa iyo s-300,kilichomzuia kwenda kupiga nuclear facility za iran ni pressure kutoka usa na kukosa support kutoka kwa serikalin ya obama
 
Unaposema saudia hamtegemei mmarekani kivile,hapo ndo naona unaanza kuleta unazi,saudia anamtegemea sana mmarekani hasa katika tech za kijeshi na ulinzi kiujumla pamoja na economic advantages hasa za kibiashara...
saud investment nchini marekani zinachezea kwenye dollar bilioni 800,nadhani baada ya china wao wanafuata kwa kuinvest katika marekani
 
Izo s-300 ni system za kawaida sana,wamarekani na wayahudi washichezea sana kule turkey na f-16 za israel..
huwezi sikia hata siku moja myahudi akiogopa iyo s-300,kilichomzuia kwenda kupiga nuclear facility za iran ni pressure kutoka usa na kukosa support kutoka kwa serikalin ya obama
support ya kusaidia kijeshi.

Hivi una habari mwaka jana baada ya marekani kukaribia kuweka saini mkataba kuhusu nuclear na iran,,israel walitaka kwenda iran kushambulia kivyao?.

Netanyau alikua kaudhika sana na obama,akaamua kushambulia kivyake,obama akamwambia,"if you decide to go it alone,we will have no choice but to shootdown your planes over iraq"?
Netanyau akanywea,wakaenda kumalizia hasira yemen kwa kuwasaidia wasaud
 
Hahaha...duh watu mmejaa material !!! Mimi nawafustilia kimya kimya.
 
hahahaha sijui kama netanyahu atapata isingizi maana iran sasa ni mamb ndo yanaanza israel ni mfa maji haachi kutapa
Jipe utulivu. Ni zaidi ya karne sasa toka waarabu waazimie kuiondoa Israel juu ya uso wa dunia. Israel kupitia mossad ataua mainjinia wa plants hizo za nyuklia. Waarabu akili zao ndogo tuu kama zetu waafrika. Mfamaji wamuondoe waitwae Tel Aviv.
 
kikubwa usijifariji tu,hizi ishu huchukua hata miaka 200 kwa kitu kingine kutokea,kwahiyo wote tutaondoka duniani ishu ya mashariki ya kati tutaiacha na hatutajua baadae ilikuaje.
 
kikubwa usijifariji tu,hizi ishu huchukua hata miaka 200 kwa kitu kingine kutokea,kwahiyo wote tutaondoka duniani ishu ya mashariki ya kati tutaiacha na hatutajua baadae ilikuaje.
Bosi Israel itakuwepo pale mpaka masihi atakapo rudi. Mission ya kuiondoa ISrael juu ya uso wa dunia ni stupidity kubwa sana ya waarabu kuwahi kutokea katika dunia hii.
 
Bosi Israel itakuwepo pale mpaka masihi atakapo rudi. Mission ya kuiondoa ISrael juu ya uso wa dunia ni stupidity kubwa sana ya waarabu kuwahi kutokea katika dunia hii.
masihi yupi?,acha mambo ya ndoto za alinacha wewe.
Israel imeshafutwa mara ngapi?
Tatizo unaleta mambo ya imani katika mjadala usio wa imani
 
masihi yupi?,acha mambo ya ndoto za alinacha wewe.
Israel imeshafutwa mara ngapi?
Tatizo unaleta mambo ya imani katika mjadala usio wa imani
Sawa naacha mambo ya imani! Ndoto za kuiondoa jews juu ya uso wa dunia! Ilifutwa lini mara ya mwisho. Azimio la waarabu umewahi lijua dhidi ya wayahudi?
 
urusi na israel wana urafiki wa karibu san ndo maan juzi kati waziri wa israel alisema kuw ikitokea siku ndeg ya urusi ikaingia israel atutaidungua kw sababu urusi sio adui yetu
 
na pia s-400 ipo pale syria kw ajiri ya ulinzi wa kambi ya urusi na ndege zake,sio kw ajiri ya kuzuiya ndeg za nchi nyingine zisingie syria.ilo jukumu la kuzuiya ndeg ni la jesh la syria kw mujibu wa mikataba ya kijeshi uwezi ukajimilikish anga ya nchi nyingine pasipo kibari kutok UN
 
Lengo kubwa la hayo madubwasha ni BINADAMU si kingine!!.
 
africa?
africa ata tupewe kitu gani kama hatutaweza kujiongoza wenyewe.
mzungu ametupa maendeleo sana ametutoa gizani,ingawa wametutawala sana lakini ndio hao hao walioleta elimu,hosptals,technology africa nk.
ila muarabu alitufanya watumwa lakini hakuna kitu ata kimoja cha maendeleo alichokifanya sio shule wala hosptals.
Mkuu sikatai unachosema ila tambua ya kuwa waingereza ndio walianzisha utumwa na biashara ya kuuza watumwa.
 
Sawa naacha mambo ya imani! Ndoto za kuiondoa jews juu ya uso wa dunia! Ilifutwa lini mara ya mwisho. Azimio la waarabu umewahi lijua dhidi ya wayahudi?
mimi nijuavyo yakobo ama isaka hawakuwa wazungu...
Hawa wanajiita jew leo hii asimia 80 ni impostor(fake jews)
 
Hizi hapa
11720f4e7a8439b342aaa217bf69d22a.jpg
e4d7efa1494cd15f2167f7dc7d9914e8.jpg
04ee2e935fe35c85de23f332b2d7c97e.jpg
b2a463d03096f9d50fc638fdabe421f0.jpg
701af04b64c853a7c4f1e89e69ce88ff.jpg
 
Sawa naacha mambo ya imani! Ndoto za kuiondoa jews juu ya uso wa dunia! Ilifutwa lini mara ya mwisho. Azimio la waarabu umewahi lijua dhidi ya wayahudi?
kafungue wikipedia topic ya jerusalem timeline
 
Back
Top Bottom