Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,397
- 37,957
DEMOCRASIA kwangu mimi ni ADUI mkubwa kwa MATAIFA yanayoendeleani nchi ambayo iliweka misingi imala ya UONGOZI
Asikwambie mtu DEMOCRASIA inadumaza
ukitaka nchi yako ifanikiwe na ipige HATUA achana na DEMOCRASIA
DEMOCRASIA ni mtego mbaya wa WESTERN
ili kuendelea kukutawala na kukididimiza
CHINA ingekuwa imefuata huo upuuzi isingefika pele ilipo same na IRAN pia
hata ULAYA na AMERICA iliichukua mamia ya miaka mpk kuja kuwa na SERA ya DEMOCRASIA baada kuwa imejengeka na wamekuwa IMARA
Ndio maana hatahapa NCHINI kwetu tunahitaji RAISI mwenye kariba ya HAYATI MAGUFURI Ili kusonga mbele
DEMOCRASIA kwangu mimi ni ADUI mkubwa kwa MATAIFA yanayoendelea kama hapa NCHIN kwetu
Well answeredWanaweza kutoboa kwasababu yuko jirani na nchi ambazo hazifungamani upande wowote na zile zinazopingana na magharibi, kama Urusi, Uturuki, China, Azerbaijan, Armenia etc
Kuna fursa duniani ila tumekazana za [emoji631] na [emoji636] tu huu ni utumwa na hautaishaMwenye akili na mfuatiliaji kuhusu Iran anajua kwanini anachungwa sana na kuzuiwa kufanya mengi na hata vikwazo vingi kuwekewa
Iran ana wataalamu wengi sana na ni akili kubwa
Amejiwekeza kwenye maendeleo na kutengeneza silaha mwenyewe kama wazungu wanavyofanya kwa nchi zao
Woga wa wazungu uliwafanya watafute nchi itakayopigana na Iran kwa kuwa tu wanaogopa ipo siku ataishika Saudia
Na Saudia ni kibaraka wa wazungu huku akiwauzia mafuta na wao wakijenga nchi za GCC kwa kupata ukandarasi wote
Hapo wakamshawishi Iraq aingie vita ya bila kichwa wala miguu kwenye mto wa Shat Al Arab ambapo kwa bahati nilikuwa huko na kushuhudia vita zote mbili, hiyo ya 1980 na uvamizi tena wa Iraq huko Kuwait 1990
Iran wana wataalamu wengi sana wa masuala ya utengenezaji wa silaha na mengine mengi ila wanaogopwa sana eti kwa usalama wa ME lakini ukweli ni kuwa wanaemlinda ni Israel
Bora na sisi tuanze kununua silaha za Iran kama Rifles zao za Fajr
Wako vizuri kwa nyanja nyingi na wanatengeneza silaha nyingi sana za maangamizi ambapo kuna wengi humu watashangaa na hata kupinga kuwa jamaa yuko vizuri sana
List ya silaha anayotengeneza Iran ni ndefu sana yaani kama ningekuwa na uwezo wa kupata hata tenda ya kuanza na military uniforms tu halafu taratibu nikaanza kuuwauzia silaha hata bunduki 1000 tu kwa kuanzia
Kuna fursa duniani ila tumekazana za [emoji631] na [emoji636] tu huu ni utumwa na hautaisha
Tuna safari ndefu sana
Hizi hapa data za uchumi wa Israel na Iran mwaka huu.
Acha tabia ya kupotosha watu.View attachment 2397861View attachment 2397862
Bado unaendeleza ukilaza wako?Ondoa hizi takataka zako hapa, unajionyesha jinsi ulivyo kilaza na kuzidi kujiaibisha tu.
Kwenye ubora wako muyahudi Wa buzaNi hawa hawa Iran wenye uwezo wa kuifuta Isreal kwenye uso wa dunia kwa maneno ya mdomoni, usifanye mchezo na taifa la kiyahudi, level yao ni juu mara mia zaidi ya binadamu mwingine yoyote anayeishi duniani....Israel is blessed.
Ndo hapo sasa wao ni taifa teule, yaani kuumiza kichwa juu yao ni kujisumbua........kuipoteza israel kwenye uso wa dunia ni sawa na dunia kufikia tamati. Maana Mungu hawezi kufanya jambo duniani bila uwepo wa taifa la Israel, yaani ni lango lake kwa jambo linalotakiwa lifanyike au litokee duniani.
Ujinga mtupu. Na wajinga wakijadiliana matokeo yake ni kuwa na jamii pana ya mambumbumbuni nchi ambayo iliweka misingi imala ya UONGOZI
Asikwambie mtu DEMOCRASIA inadumaza
ukitaka nchi yako ifanikiwe na ipige HATUA achana na DEMOCRASIA
DEMOCRASIA ni mtego mbaya wa WESTERN
ili kuendelea kukutawala na kukididimiza
CHINA ingekuwa imefuata huo upuuzi isingefika pele ilipo same na IRAN pia
hata ULAYA na AMERICA iliichukua mamia ya miaka mpk kuja kuwa na SERA ya DEMOCRASIA baada kuwa imejengeka na wamekuwa IMARA
Ndio maana hatahapa NCHINI kwetu tunahitaji RAISI mwenye kariba ya HAYATI MAGUFURI Ili kusonga mbele
DEMOCRASIA kwangu mimi ni ADUI mkubwa kwa MATAIFA yanayoendelea kama hapa NCHIN kwetu
Ujinga mtupu. Na wajinga wakijadiliana matokeo yake ni kuwa na jamii pana ya mambumbumbuni nchi ambayo iliweka misingi imala ya UONGOZI
Asikwambie mtu DEMOCRASIA inadumaza
ukitaka nchi yako ifanikiwe na ipige HATUA achana na DEMOCRASIA
DEMOCRASIA ni mtego mbaya wa WESTERN
ili kuendelea kukutawala na kukididimiza
CHINA ingekuwa imefuata huo upuuzi isingefika pele ilipo same na IRAN pia
hata ULAYA na AMERICA iliichukua mamia ya miaka mpk kuja kuwa na SERA ya DEMOCRASIA baada kuwa imejengeka na wamekuwa IMARA
Ndio maana hatahapa NCHINI kwetu tunahitaji RAISI mwenye kariba ya HAYATI MAGUFURI Ili kusonga mbele
DEMOCRASIA kwangu mimi ni ADUI mkubwa kwa MATAIFA yanayoendelea kama hapa NCHIN kwetu
Acha uzuzu weka data zako na ww ili tuzione mjinga ww.Ondoa hizi takataka zako hapa, unajionyesha jinsi ulivyo kilaza na kuzidi kujiaibisha tu.
Nimeshaeleza, Israel huwa wanapitia vipindi ambavyo wanakuwa kwenye adhabu toka kwa Mungu, tatizo unataka kubishana na mimi.......kama una access ni biblia soma kwa kina utaelewa chanzo cha hilo taifa na unabii wake hadi mwisho wa nyakati, ukibishana na mimi unapoteza energy bure.....,.Wayahudi wa Buza mnatia huruma..
Kabla ya mwaka 1947...huyo Mungu wa Hilo Taifa teule hakuwepo?..wakati Hitler anawakaanga nakuwaweka kwenye kambi huyo Mungu wao hakuwepo?...
So dunia inaanza na kuna mataifa Yana miaka zaidi ya elfu moja...mataifa Kama Ethiopia yapo miaka zaidi ya elfu moja...halafu kataifa kanaundwa mwaka 1947 baada ya kuuwawa ovyo ovyo Kwa huruma ya UN na USA kuweka ubavu ndo Leo unakaita kanaiongoza dunia?
Wayahudi wa Buza hamtumii logic kabisa
Nakuona mwarabu wa tandale, umeshiba biriani tayari...Kwenye ubora wako muyahudi Wa buza
Kwa waajemi sina uhakika, ila ungekuwa unataka kuowa myahudi ungempata fasta, maana tumewajaza humu wayahudi wa buza πππ, na ndio wengi walio comment humu kuwatetea wayahudi wenzao, na wakati thread hii inahusu waajemi.Wakuu nataka nifanye namuna nikavute toto moja la kiajemi nioe nimlete bongo apo naamini watoto wangu watakuwa na maakili yani watawaza mambo za kinyuklia nyuklia tu
AiseNi hawa hawa Iran wenye uwezo wa kuifuta Isreal kwenye uso wa dunia kwa maneno ya mdomoni, usifanye mchezo na taifa la kiyahudi, level yao ni juu mara mia zaidi ya binadamu mwingine yoyote anayeishi duniani....Israel is blessed.
Kulinganisha na wapiUnajua mkate ni shillingi ngapi IRan?
Uturuki mwondoe kwenye orodha ya nchi zinazopingana na magharibi, maana yeye ni Mwanachama wa NATOWanaweza kutoboa kwasababu yuko jirani na nchi ambazo hazifungamani upande wowote na zile zinazopingana na magharibi, kama Urusi, Uturuki, China, Azerbaijan, Armenia etc
Mimi sijataka kulinganisha...wewe unaetaka kulinganisha ndio useme unataka kulinganisha na wapiKulinganisha na wapi