Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

Munch wa Annabelle

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
6,282
Reaction score
10,847
Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili.

Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa katika kurusha ndege zake jirani au ndani ya Irani na pia anapata usaidizi mkubwa pia kutoka kwa washirika wake anaposhambuliwa makombora mengi inabidi yavuke Kambi za kijeshi mbalimbali za U.S, France na UK na nchi zaidi ya mbili zinazomsaidia kutungua hayo makombora.

Tukija Kwa upande wa Iran yeye anapata shida wakati wa kushambulia na kujilinda pia ambapo Kwa mwezake kote huko yeye ni mserereko tu.

Kwa kuhitimisha Iran anapambana kama mtoto wa kambo Kwa mama katili na Israel anapambana kama junior kwenye familia ya kitajiri anaweza mpa kibao hata mgeni na ukaambiwa usimpge ndo alivo

Kama ungekua mchezo wa ngumi Yani mtu beeee Israel hamalizi raundi Kwa iran lkn kwastyle hii Iran lazima atashiwa pumzi tu.

Lakn Iran apongezwe sana, waliolelewa na mama wa kambo hatanielewa hata kama sio kobaz ni mgalatia.
 
Utasubiri Sana Iran kuishiwa pumzi naelewa Sana waislam aina ya Iran ni waislam wa namna gan. Iran analijua draft na anashambulia polepole Kwa kua anajua hii game tayari imemvaa na ataenda muda mrefu Leo karusha misile chache Sana. Na balaa lote hili uliloliona ni missile za kizamani Sana yaan zinatumia dk 15 kufika telviv mpaka 20. Kuna vitu latest vya 2025 ambavyo Bado hajaanza kurusha hivyo tulia bro hakuna kiongozi pale middle east na ulaya mwenye akili na hekima Kama Ayatollah na mvumilivu mwenye imani ya kweli. Kaifikisha Iran hapo lipo Kwa jasho na damu Leo hii mataifa yanatetemeka na hapo ni chini ya vikwazo, media za ulaya Ni na magarib ni mbaya Sana na watu wake ni wabaya Sana wenye hujuma na fitna Kwa nchi nyingine za Africa na asia
 
Israel ni Ukraine wa middle east kila kitu anafanyiwa yeye ni kulopoka TU, sasa safari hii kaumana na muajemi anatoa nchi yake sadaka hivi hivi. Muajemi huwa harudi Nyuma.
 
Jihadists wanajipa moyo lakini wanajua wazi kwamba Iran ni mwepesi sana kwa Israel na muda utasema.
 
Ukitaka kujua ukweli, ingia X angalia Posts za mzungu mmoja anaitwa Mario Nawful. Ndo utajua kinachoendelea ni nini. Yeye hapindishi kauli.
 
Utasubiri Sana Iran kuishiwa pumzi naelewa Sana waislam aina ya Iran ni waislam wa namna gan. Iran analijua draft na anashambulia polepole Kwa kua anajua hii game tayari imemvaa na ataenda muda mrefu Leo karusha misile chache Sana. Na balaa lote hili uliloliona ni missile za kizamani Sana yaan zinatumia dk 15 kufika telviv mpaka 20. Kuna vitu latest vya 2025 ambavyo Bado hajaanza kurusha hivyo tulia bro hakuna kiongozi pale middle east na ulaya mwenye akili na hekima Kama Ayatollah na mvumilivu mwenye imani ya kweli. Kaifikisha Iran hapo lipo Kwa jasho na damu Leo hii mataifa yanatetemeka na hapo ni chini ya vikwazo, media za ulaya Ni na magarib ni mbaya Sana na watu wake ni wabaya Sana wenye hujuma na fitna Kwa nchi nyingine za Africa na asia
Hemu fafanua kidogo imewezeka vipi makamanda wa Iran kuuwawa kwa kiwango hicho?
 
🇮🇷 Breaking — Islamic Revolutionary Guards Commander Brigadier General Mohammad Pakpour (H):

“Even if Israeli attacks stop, we will continue our mission until the end.” He also confirmed that they targeted a building with 70 Zionist important figures and completely destroyed it.

🔹@enemywatch
 
Hemu fafanua kidogo imewezeka vipi makamanda wa Iran kuuwawa kwa kiwango hicho?
Hilo nilishasema muda mrefu hivi vita papara za Netanyau ndio zimewaponza West nzima kwasababu Iran alikua infiltrated muda mrefu bila kujua kutokea ndani, imagine hao makamanda walio uawa walikuwa katka kikao wote Kwa pamoja hii sabotage ni kubwa mno. Lakin hii imewajenga wairan mapema na kujua what to do ikiwa ni mapema kuliko angekuja kujua dk za majeruhi ni loss kubwa lakin imekua ni nzuri pia Kwa intelligence ya Iran, wao walikomaa kukaza juu kumbe chini kuna shida Sasa chini wamepacontain vizuri unaona mpaka Sasa threat imepungua mno kuliko masaa 10 ya mwanzo wa vita
 
Serikali za Africa ndio tujifunze Kuna siku nilisikia bongo tumewakataa starlink lakini sidhani Kama sababu ilikua ya kiinteijensia lakini Sasa sababu nyingine ya kuwakataa starlink hasa majeshi yetu.
******************

Israel FPV drones and modified launchers are controlled by Starlink connection

Field reports published in media outlets such as the BBC, CNN, the New York Times, and the Economist indicate that Starlink has been a key pillar in drone and field operations in the Ukraine-Russia war.

🔹 A report from the Financial Times in February 2023 confirms that “Ukrainian forces are heavily dependent on Starlink because the network is the only system that is effective against Russian jamming attacks.”

🔹 In recent days, a Fox News host asked Elon Musk to turn on Starlink satellite internet services in Iran at the same time as Israel invaded Iranian territory. Elon Musk responded by saying, "The beams are active."

🔹 According to a report by the Datac Opinion Polling Center, about 100,000 unauthorized Starlink devices are active in Iran, and experts in the field of communications and information technology say that each of these devices is a serious security risk in the current war situation.

🔹 It is worth noting that Starlink's operations are prohibited in various countries without obtaining permission from these countries.

🔹 Iran's Ministry of Communications has also been following up with the International Telecommunication Union over the past 3 years to ensure that Starlink respects Iran's sovereign rights.

🔹 The international community, by voting in favor of Iran, has ordered Starlink to disable unauthorized devices in Iran, but Starlink refused to do so.
 
Back
Top Bottom