Tatizo lenu wengi wenu hamuijui Iran. Inanunua ndege hizo ili kuiba technologia hiyo ili nao waweze kutengeneza zao za aina hiyo
Tatizo lenu wengi wenu hamuijui Iran. Inanunua ndege hizo ili kuiba technologia hiyo ili nao waweze kutengeneza zao za aina hiyo
thubutuuu,walianza nunua china na wananunua mpk keshokutwaTatizo lenu wengi wenu hamuijui Iran. Inanunua ndege hizo ili kuiba technologia hiyo ili nao waweze kutengeneza zao za aina hiyo
Tunafanya upembuzi yakinifu Kama intelijensia itaruhusu!Tanzania imenunua ndege ngapi nayo??
Intelijensia ya Viwanda na Sukari??Tunafanya upembuzi yakinifu Kama intelijensia itaruhusu!
Kabisa..Intelijensia ya Viwanda na Sukari??
Hao wanaonuzwa wanawatumikia wenye pesa,mwnye pesa(bwana),kanunua kwa mhudumu wake(mfanyakazi).Duniani kuna mwenye nazo na mwenye kutumwa na aliye nazo.Matusi yote kwa makafir wa Ulaya na Marekani leo wanarudi huko huko kununua bidhaa zao! Ama kweli unafiq ni zaidi ya uchawi. Na vibaraka wao humu jf sikiliza watakavyobadili kauli ili kuendana na mtazamo wa mabwana zao.
Aha ha ha! Halafu sikilizia Ayatullah na ujumbe/wasaidizi wake watakavyokuwa wamestarehe ndani ya Boeing ikiwapeleka hijja huku "matusi" yakimtoka (na juzuu zake mkononi) dhidi ya Marekani na Mazayuni bila kujali ndio watengenezaji wa mbawa za chombo kilichowabeba.
Kwa unafiq atajifanya kuifagilia Uchina bila kujua China ndio mzalishaji mkuu wa kiti moto duniani kwa zaidi ya 70%. Bila kujali China ndio mzalishaji mkuu wa "mvinyo" duniani kwa zaidi ya 65%.
Ukisikia baniani mbaya ila kiatu chake dawa ndio mambo kama haya. Hii dunia haiishi vituko hii.
hahahaaa.....60+ years to come labda...mchina mwenyewe bado anajaribu kuiba tech za boeing ili nae aunde yake,kwani alishindwa kununua ili akaibe?..we unafkir blueprint za ndege zao un aweza kuzipata kirahisi ivo?Tatizo lenu wengi wenu hamuijui Iran. Inanunua ndege hizo ili kuiba technologia hiyo ili nao waweze kutengeneza zao za aina hiyo
Kuna jamaa wanajifanya hawajaiona hii thread! FaizaFoxy Ritz kahtaan Kansigo Lizaboni Simiyu Yetu THE BIG SHOW maatope et. al.
wewe ndio huelewi, jamaa wameondolewa vikwazo, sasa wananunua ndege kutoka marekani, hawakuwa wamekataa ila walikuwa na vikwazo vya uchumi, fatilia mgogora wa Iran na Marekani tangu enzi za Reagan au baada ya kupinduliwa Shah.Matusi yote kwa makafir wa Ulaya na Marekani leo wanarudi huko huko kununua bidhaa zao! Ama kweli unafiq ni zaidi ya uchawi. Na vibaraka wao humu jf sikiliza watakavyobadili kauli ili kuendana na mtazamo wa mabwana zao.
Aha ha ha! Halafu sikilizia Ayatullah na ujumbe/wasaidizi wake watakavyokuwa wamestarehe ndani ya Boeing ikiwapeleka hijja huku "matusi" yakimtoka (na juzuu zake mkononi) dhidi ya Marekani na Mazayuni bila kujali ndio watengenezaji wa mbawa za chombo kilichowabeba.
Kwa unafiq atajifanya kuifagilia Uchina bila kujua China ndio mzalishaji mkuu wa kiti moto duniani kwa zaidi ya 70%. Bila kujali China ndio mzalishaji mkuu wa "mvinyo" duniani kwa zaidi ya 65%.
Ukisikia baniani mbaya ila kiatu chake dawa ndio mambo kama haya. Hii dunia haiishi vituko hii.
Sawa ila kwa matusi yale usingetegemea wangekaa wanunue bidhaa za west. Nakumbuka hata hapa wajinga fulani waliwaunga mkono eti nao wanasusia vitu vya Marekani. Kuna kipindi fulani waliandamana pale Biafra na maazimio yao eti ni kususia CocaCola na Colgate eti ni za kimarekani. Waliishia kunuka midomo tu wapuuzi wale.wewe ndio huelewi, jamaa wameondolewa vikwazo, sasa wananunua ndege kutoka marekani, hawakuwa wamekataa ila walikuwa na vikwazo vya uchumi, fatilia mgogora wa Iran na Marekani tangu enzi za Reagan au baada ya kupinduliwa Shah.