Iran kununua ndege 100 kutoka Boeing

Iran kununua ndege 100 kutoka Boeing

maneno mengii! kwa mantiki yako hata tanzania tunakuja juu make tayari tushatengeneza ya kwetu
facilities nyingi za kutengeza ndege vilikua katika baadhi ya jamhuri zilizojitenga mfano ukraine,kwahiyo Russia ilibidi aanze upya kuset hizo facilities katika Russia,ila technology walikuwa nayo,ndo maana bado walikuwa wakiweza kuunda mandege makubwa kama TU-160 ambayo ukitaka unaibadili kuwa commercial airlines bila shida.
Nadhani ndege za abiria hawakuiweka first priority mpaka sasa baada ya kugundua kumbe kuna pesa ndefu pande hizo
 
Hapa sasa nimekuelewa, kwa hiyo ndo maana soyuz ilipelekwa ISS huwa rocket inapelekwa kazakhstan na ndio sasa wamejenga kituo kingine cha space station.
 
Hawa Jamaa mbona hawaeleweki, Siku zote wanapiga vita elimu ya magharibi wakisema ni kharam sasa kwanini wananunua na kuzitumia ndege zilizotengenezwa kwa elimu na utaalam huo wa kimagharibi.... ??
 
Hawa Jamaa mbona hawaeleweki, Siku zote wanapiga vita elimu ya magharibi wakisema ni kharam sasa kwanini wananunua na kuzitumia ndege zilizotengenezwa kwa elimu na utaalam huo wa kimagharibi.... ??
utakuwa unawaongelea ISIS ww
 
Matusi yote kwa makafir wa Ulaya na Marekani leo wanarudi huko huko kununua bidhaa zao! Ama kweli unafiq ni zaidi ya uchawi. Na vibaraka wao humu jf sikiliza watakavyobadili kauli ili kuendana na mtazamo wa mabwana zao.

Aha ha ha! Halafu sikilizia Ayatullah na ujumbe/wasaidizi wake watakavyokuwa wamestarehe ndani ya Boeing ikiwapeleka hijja huku "matusi" yakimtoka (na juzuu zake mkononi) dhidi ya Marekani na Mazayuni bila kujali ndio watengenezaji wa mbawa za chombo kilichowabeba.

Kwa unafiq atajifanya kuifagilia Uchina bila kujua China ndio mzalishaji mkuu wa kiti moto duniani kwa zaidi ya 70%. Bila kujali China ndio mzalishaji mkuu wa "mvinyo" duniani kwa zaidi ya 65%.

Ukisikia baniani mbaya ila kiatu chake dawa ndio mambo kama haya. Hii dunia haiishi vituko hii.
we ulitakaje?
 
Kwa majibu yako ya kitoto,unaonekana ulewa wako wa masuala ya aviation ni dismal kabisa!!!

kwa majibu ya kizee unaonekana ubongo wako umezeeka, ndo mwisho hapo hauwezi kufikiri zaidi
 
Well said, nafikiri wangesoma testimony ya Lt. Colonel Oliver North kuhusu Iran - Contra affairs ndiyo wengejua kwamba Taifa la Marekani ni wasanii sana, misimamo yao wanapokuwa kwenye majukwaa ni tofauti na matendo yao - watajifanya wanachukia baadhi ya nchi fulani lakini wakati huo huo wanashirikiana nao kisirisiri, hawana kanuni kama gari moshi la kwenda Mpanda.

Sisi tunaojua undani wao baadhi ya members wa JF hawatuelewi kabisa!!!

Bukyanagandi Asante Mkuu hiyo Iran-Contra affairs ndio niliyo jifunzia Lugha ya Kimerekani (Kiingereza).
Katika Kesi hiyo Muisrael ndio alikuwa anawauzia wa Iran ndege Na faida inakwenda kwa magaidi wa Nikaragua.Siasa Kwa ujumla Ni unafiki Au mchezo wa rafu.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom