Iran: ‘Kisasi cha Mungu’ kitakumba Saudia

Status
Not open for further replies.

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,513
Reaction score
8,276
Kiongozi mkuu wa kidini wa Iran amesema Saudi Arabia itakumbana na “kisasi cha Mungu” kwa kumuua mhubiri maarufu wa Kishia.
Ayatollah Khamenei amemtaja Sheikh Nimr al-Nimr kama "mfia dini" aliyetenda mambo yake kwa Amani.
Sheikh Nimr ni mmoja wa watu 47 waliouawa Ijumaa kwa makosa yanayohusiana na ugaidi.
Lakini Ayatollah Khamenei amesema mhubiri huyo aliuawa kwa kupinga viongozi wa Kisuni wa Sunni.
"Msomi huyu aliyedhulumiwa hakuwahi kamwe kuwahimiza watu wachukue silaha, na wala hakuhusika kwenye njama,” kiongozi huyo wa kidini ameandika kwenye Twitter.
"Kitendo pekee cha #SheikhNimr kilikuwa kuzungumza waziwazi," alisema, na kuongeza kwamba “damu ya mfia dini aliyedhulumiwa #SheikhNimr ambayo imemwagwa kwa njia isiyo ya haki itaathiri hali upesi na kisasi cha Mungu kitawakumba wanasiasa wa Saudi Arabia".
Sheikh Nimr alishiriki maandamano ya kupinga serikali Saudi Arabia ambayo yalitokea wakati wa wimbi la mageuzi katika nchi za Kiarabu kabla ya kukamatwa kwake 2012.
Sheikh NimrImage copyrightAFP
Image caption
Sheikh Nimr alikuwa mkosoaji mkuu wa serikali ya Saudi Arabia
Iran, ambayo imekuwa ikishindana na Saudi Arabia katika eneo la Mashariki ya Kati, imeongoza jamii za Washia katika kushutumu kuuawa kwa mhubiri huyo.
Maandamano ya kulaani kitendo hicho yamefanyika mkoa wa Mashariki nchini Saudi Arabia ambao una Washia wengi pamoja nan chi za Iraq na Bahrain.
Mhubiri mkuu wa Washia nchini Iraq Ayatollah Ali al-Sistani ameeleza mauaji ya mhubiri huyo kama “uchokozi”.
 
Pande zote mbili zinaamini mungu wao yupo anawaunga mkono kufanya maovu yao dhidi ya upande wa pili.
 
yale yale ya vuguvugu la mapinduzi katika nchi za kiislam linakuja kwa namna nyingine
 
Kiongozi mkuu wa kidini wa Iran amesema Saudi Arabia itakumbana na “kisasi cha Mungu” kwa kumuua mhubiri maarufu wa Kishia.
Ayatollah Khamenei amemtaja Sheikh Nimr al-Nimr kama "mfia dini" aliyetenda mambo yake kwa Amani.
Sheikh Nimr ni mmoja wa watu 47 waliouawa Ijumaa kwa makosa yanayohusiana na ugaidi.
Lakini Ayatollah Khamenei amesema mhubiri huyo aliuawa kwa kupinga viongozi wa Kisuni wa Sunni.
"Msomi huyu aliyedhulumiwa hakuwahi kamwe kuwahimiza watu wachukue silaha, na wala hakuhusika kwenye njama,” kiongozi huyo wa kidini ameandika kwenye Twitter.
"Kitendo pekee cha #SheikhNimr kilikuwa kuzungumza waziwazi," alisema, na kuongeza kwamba “damu ya mfia dini aliyedhulumiwa #SheikhNimr ambayo imemwagwa kwa njia isiyo ya haki itaathiri hali upesi na kisasi cha Mungu kitawakumba wanasiasa wa Saudi Arabia".
Sheikh Nimr alishiriki maandamano ya kupinga serikali Saudi Arabia ambayo yalitokea wakati wa wimbi la mageuzi katika nchi za Kiarabu kabla ya kukamatwa kwake 2012.
Sheikh NimrImage copyrightAFP
Image caption
Sheikh Nimr alikuwa mkosoaji mkuu wa serikali ya Saudi Arabia
Iran, ambayo imekuwa ikishindana na Saudi Arabia katika eneo la Mashariki ya Kati, imeongoza jamii za Washia katika kushutumu kuuawa kwa mhubiri huyo.
Maandamano ya kulaani kitendo hicho yamefanyika mkoa wa Mashariki nchini Saudi Arabia ambao una Washia wengi pamoja nan chi za Iraq na Bahrain.
Mhubiri mkuu wa Washia nchini Iraq Ayatollah Ali al-Sistani ameeleza mauaji ya mhubiri huyo kama “uchokozi”.

Mimi mambo ya ugomvi wa dini nina allergy nao, siupendi kabisa. Nimesoma historia ya VITA VYA MSALABA VYA ENZI HIZO. inatisha. Hivi, labda niulize hivi hapa Tanzania nani ni wengi: SUNNI au SHIA?i
 
Shia
 
Hakika Dini ni upumbavu wa Mwisho
kwahiyo hiyo Miungu yao inakenua Meno tu wakati watu wao wanachinjana?.Lol!
 
Hizi dini mbaya sana
Kweli aisee, wakitaka kumaliza wakritu hata wakifanikiwa wanaanzia wao wenyewe kama hivyo the later unafuata ukoo, chuki ni chuki tu hairembeki, kutofautiana kiimani na mwenzio sio jambo la kugombana wala kutukana mwenzio, hii iko very found kwa waislamu na wlokole wanaona wengine si watu
 
Hili bifu lilianza toka mtume Muhammad s.w.a atutoke palikuwa na makundi mawili kati wafuhasi wa mtume na ukoo wa mtume hapo kila mmoja akisema lake na ukingia in deep zaidi utaona ni bifu linalo sababishwa na tamaaa zao za kidunia natayali na sisi wa afrika tumeshahambukizwa chuki. Lakini inshaa,allah kwa uwezo wa allah atawaumbua wanafki tu
 
Saudia Arabia hamuwezi muirani asilani

Saudia anajivunia udugu wa kisunni ambapo ana mataifa mengi nyuma yake muhimu zaidi yakiwa Pakistan, Indonesia, Misri, Sudan, na Morocco.

Turkey ambalo ni taifa kubwa zaidi la kiislam katika NATO na ni Sunni ila kutokana kanuni za EU kwamba nchi wanachama zisiwe za kidini kidogo ana-hesitate kuonesha udini wa wazi.

Kwa upande mwingine Iran ni almost yuko peke yake.
 
Kama kweli alipatikana na makosa ya Kigaidi, basi kunyongwa ilikuwa haki yake, Allah ampumzishe.
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom