Iran kimenuka huko

Iran kimenuka huko

Wairan wakifanikiwa kuundoa utawala wa Ayatollah, Iran itapata maendeleo ya haraka sana.

Kabla ya mapinduzi ya kiislam ya Ayatollah, ukiiondoa Israel, Iran ndiyo iliyokuwa ikiongoza kwa maendeleo kuliko mataifa yote ya Mashariki ya kati, na wakati huo Iran ilikuwa rafiki mkubwa wa Israel na USA.
Hata sasa Wairan wakiweza kumwondoa Ayatollah, Mashariki ya kati yote itatulia, na Iran itashuhudia maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi sana. Utawala wa Ayatollah ndiyo umekuwa chanzo cha mauaji mengi mashariki ya kati. Huyo Ayatollah nfiye shetani wanayeishi naye nchi za mashariki ya kati.
 
Its funny kwamba iran inapesa ya kufadhili jihad na ugaidi middle east ila haina pesa ya kulisha waajemi
Maajabu hayo,
Ayatollah awaombe Samuya na Kikwete wampe mbinu za kuteka na kuuwa maelfu ili kuleta 'Amani'
 
Back
Top Bottom