Kila mtu anatafsiri kulingana na anavyoona. Na inategemea pia unafungaje. Kuna wanaojinyima na kuna wanaofunga kavu (dry fasting).. Mfungo huumfanya mtu anakuwa dhaifu kimwili ila imara kiroho; na maombi yake huwa ni mazito na Mungu huingilia kati kupigania vita yake. Ndio maana huwezi kukuta mataifa yaliyojaa Wakristo yakiwa yanagombana.
Kama ambavyo kila mtu anatafsiri mfungo anavyoona, wengine hushinda njaa mchana na kula usiku. Huu mfungo humfanya mtu anakuwa imara mchana (kimwili). Kama wahenga wasemavyo, "Njaa mwana malegeza, shibe mwana malevya"... Shibe huleta kisununu na chokochoko. Ndio maana mataifa yaliyojaa Waarabu, huwa na kisununu na amani hutoweka. Kuna mchizi wangu States, na alinambia maeneo yale huishi kwa kuamini kuwa waarabu ni magaidi.
Anyways, swala la vita limekaa kiroho zaidi. Mpaka zinapigwa, hujue mambo yameanza kitambo.
Wakati mwingine nyuzi za hivi huanza taratibu na mwishowe hule mivurugano, mwishowe amani hutoweka. Ni kwasababu mmoja kashiba na mwingine ana njaa, ila wote wamefunga.