iran inamiliki maelfu ya tani ya silaha za sumu/chemical
iran ina makombora ya chemical ya masafa marefu hapo lazima israel akishambulia ajue ndo mwisho wake
SOMA Bible, Israel walikua watumwa Si kwa kutekwa na misri bali, walizaliana misri walipoenda enzi za yusufu, alipokua Waziri mkuu wa misri. Na mda wakuondoka ulipofika walienda kwenye Nchi waliyoahidiwa na Mungu
Usichokijua haimaanishi hakiexist. Omba uelekezwe, you have no idea what Iran is cable of, especially with those Russia missile now
Wabongo wengi huwa tunaiamini sana israel sijajua sababu hasa ni nini kwani kwatika kipindi kirefu israel haijapigana vita vya moja kwa moja na nchi nyingine isipokua palestina. huku kuamini kwetu kunatokana na nini?
Mara utaskia marekani inaitegemea israel kwenye technologia, mara utaskia ohh israel ana access ya communication system zilizopo dunian kote eti wao ndio ma engeneer mara utaskia ohh israel ana majasusi dunia nzima. mara utaskiaa ohh CIA, FBI, UFO zote zina ongoza kwa kuwa na waisrael wengi.
Just delivering story za vijiweni
Na wewe Utabakia kusikia tu wala hujui 1948,1967 na 1973 bado hujajua Israel alipigana na gani basi baki hivyo hivyo ulivyoaminishwa.
Nimeongelea recently, may be for the last 20yrs. Sasa wewe unaongelea vitu vya mwaka 1948. Teknolojia imekua zaidi ya miaka hiyo pia nchi nyingine zimeendelea nazo pia, so kuwa wa kwanza kuwa na maendeleo haimaanishi miaka kumi mbele utaendelea kuwa wa kwanza.
Na ndio maana mpaka sasa unaona nchi ndogo tuu kama Iran inaitetemesha nchi kubwa kama Marekani. Sijaongelea North Korea bado. Nadhani umenielewa.
Iran ni empirial power, sio nchi ya kuchukulia kiurahisi kivile... Mpaka sasa wana influence kubwa Iraq, Syria, Lebanon na Yemen
na hata Oman wako nao vizuri. Sasa huwezi shangaa kukuta picha ya khamein katika bango mjini Baghdad ama Damuscus. Wao ndo haswa wanapambana na ISIS na wala sio Wamarekani wanaowadondoshea silaha
Iran ni empirial power, sio nchi ya kuchukulia kiurahisi kivile... Mpaka sasa wana influence kubwa Iraq, Syria, Lebanon na Yemen
na hata Oman wako nao vizuri. Sasa huwezi shangaa kukuta picha ya khamein katika bango mjini Baghdad ama Damuscus. Wao ndo haswa wanapambana na ISIS na wala sio Wamarekani wanaowadondoshea silaha
Iran ni Incoming military power who give power to all terorists like Hamas,Hizboulah na hata wale Houth wa kule Yemen na Iran ndiyo inayosababisha SAUDIA iingie vitani kule yemen ili kuzuia Mvuto wake kufika Yemen maana wanajua Iran ikifika Yemen kuna hatari hata maeneo yale yanayoitwa matakatifu kumilikiwa na vibaraka wa Iran ndiyo maana Saudia imekazana sana kupambana na wa Houth.
Unaona aibu kusema Iran ni super power badala yake unasema ni incoming. Do you know kwamba Iran anatengeneza zana za kivita, ana jeshi kubwa hata kuliko Israel yenyewe? Kama Iran ni incoming military power kilichomnyima Netanyahu kwenda kushambulia ni nini?
Mwaka wa 15 huu anapiga mkwara. Nikija upande wa pili, Israel huwa anategemea misaada from USA, hususani ya kijeshi na zana,
do you know kwamba kila mwaka Israel anapata msaada wa dola bilioni 3 kutoka Marekani? Mbona hilo hamlimsemi