Ile issue kwa uhalisia Israel alijua na akaiacha ili apate sababu ya kuondoa adui wa karibu kabla hajamfata Iran.Middle east walifeli sana kimkakati ilipaswa oktoba 7 ilipotokea basi hapo hapo Hezollah, Iran, Houthi wangefanya ambush sio kumuacha mmoja mmoja ndio apigane mwenyewe. It was pure weakness.
Ila kongole kwa Iran kwenda toe to toe na Israel aliyekua supported directly na ndege na meli jeshi za USA, UK na France licha ya kuwa peke yake. Naamini akiomba support ya Russia, N.Korea na China tungekua tunaongea mengine kwa sasa
Lile sio shambulio ni kama ugaid hebu fikiria kushambulia kempisk ili kuua hapo mtu mmoja hatakama kuna watu 700 ndani halafu unajisifiaRising lion iligeuka downing lion japo aliishambulia iran kwa kushitukiza,ila kwa kilichowakuta hawawezi kuanzisha mchezo tena
Urusi iliwahi kuishauri Iran kwamba ijihami na ADF kukoka Russia lakini for some reason Iran ilipuuzia ushauri huo!!Middle east walifeli sana kimkakati ilipaswa oktoba 7 ilipotokea basi hapo hapo Hezollah, Iran, Houthi wangefanya ambush sio kumuacha mmoja mmoja ndio apigane mwenyewe. It was pure weakness.
Ila kongole kwa Iran kwenda toe to toe na Israel aliyekua supported directly na ndege na meli jeshi za USA, UK na France licha ya kuwa peke yake. Naamini akiomba support ya Russia, N.Korea na China tungekua tunaongea mengine kwa sasa
Middle east walifeli sana kimkakati ilipaswa oktoba 7 ilipotokea basi hapo hapo Hezollah, Iran, Houthi wangefanya ambush sio kumuacha mmoja mmoja ndio apigane mwenyewe. It was pure weakness.
Ila kongole kwa Iran kwenda toe to toe na Israel aliyekua supported directly na ndege na meli jeshi za USA, UK na France licha ya kuwa peke yake. Naamini akiomba support ya Russia, N.Korea na China tungekua tunaongea mengine kwa sasa
sasa huoni aibu makobazi yote mnamchangia myahudi na anawapa kibano kila mmoja kwa muda wake kwanini kobazi msisitishe hili zoezi la kumfuta myahudi maana halifanikiwi zaidi mnabaki kulia inauawa wanawake na watoto na Allah mwenyewe hata hawasaidi mnabaki magofuMiddle east walifeli sana kimkakati ilipaswa oktoba 7 ilipotokea basi hapo hapo Hezollah, Iran, Houthi wangefanya ambush sio kumuacha mmoja mmoja ndio apigane mwenyewe. It was pure weakness.
Ila kongole kwa Iran kwenda toe to toe na Israel aliyekua supported directly na ndege na meli jeshi za USA, UK na France licha ya kuwa peke yake. Naamini akiomba support ya Russia, N.Korea na China tungekua tunaongea mengine kwa sasa
wangejaribu kufanya hivyo ndio wangekuwa na hali mbaya zaidi.Middle east walifeli sana kimkakati ilipaswa oktoba 7 ilipotokea basi hapo hapo Hezollah, Iran, Houthi wangefanya ambush sio kumuacha mmoja mmoja ndio apigane mwenyewe. It was pure weakness.
Ila kongole kwa Iran kwenda toe to toe na Israel aliyekua supported directly na ndege na meli jeshi za USA, UK na France licha ya kuwa peke yake. Naamini akiomba support ya Russia, N.Korea na China tungekua tunaongea mengine kwa sasa
Ndio nasema iliapaswa wote wavamie kwa offensive moja yaani ile Hamas inavamia basi hapo hapo houthi irushe missiles na kublock meli za marekani, same time Iran ingeshusha makombora ikiwa supported na ground forces za Irann huko Syria.Ile issue kwa uhalisia Israel alijua na akaiacha ili apate sababu ya kuondoa adui wa karibu kabla hajamfata Iran.
Israel kamwe asingeivamia Iran wakati Hamas, Hezbollah na Houthis wako vizuri.
Iran kwani hana washirika kma Russia? Mbona walimuonya mapema kuwa kuna shambulizi linakuja. Hakuna nchi haina double agents kwenye nchi nyingine.Netanyahu kasema Wana mbinu nyingi Sana za kumpiga Iran.
Kwakifupi Iran Hana hiyo intelligence ya kujua lini atapigwa