Iran inawezaje kufanya haya

Iran inawezaje kufanya haya

Kwanza ifahamike Iran hana shida na hizo nchi ambazo zinamzunguka,ila shida ipo kwa hao ambao wanaruhusu nchi zap kuwa base za kijeshi za Marekani,ugomvi upo hapo tu

Kuhusu Israel ni kwamba,mara nyingi Iran haianzishi vita ila inamaliza vita,kwa maana anza wewe kisha yeye anaingia,kama umesikia Israel katishia kutumia Nuclear,Iran kasema we tumia Lakini jua Iran ni kubwa haitaathirika sana,ila mimi nitaangamiza vituo vyako vya kuzalisha nuclear na nchi yenu itapotea
Lini Israel imetishia kutumia nyuklia au na nyie mmeanza kuleta zile taarifa feki za kutoka masjid ubwabwa.
 
Kama Ukraine na Russia tu. Na hapo maamuzi ni nchi za Ulaya. Kwanini ? Nitaeleza;

Russia ameshindwa kumpiga Ukraine kwasababu
Ukraine inapata misaada mikubwa ya kitaalam, kiufundi, kifedha, silaha na personnel kutoka Ulaya kuhakikisha Russia HASHINDI vita na Ukraine.
Vilevile, Marekani ameshindwa kumpiga Iran kwasababu nchi za Ulaya zimegomba kuchangia chochote kwenye vita vya Marekani na Iran. Na kwa msingi huo, Marekani hata afanyeje HAWEZI kuipiga na kuishinda Iran.
 
Ungemalizia hapo chini wakutajie nchi moja tu iliyowahi kupigana na muajemi ikashinda??
Yes, the Persians have lost several major wars throughout history, most notably the Greco-Persian Wars (5th century BCE) against the Greek city-states, the Roman-Persian Wars (1st to 7th centuries CE) against the Roman Empire, and the decisive Muslim conquest of Persia in the 7th century CE.Throughout its various dynastic iterations (Achaemenid, Parthian, Sasanian, Safavid, Qajar, etc.), Persian empires engaged in hundreds of conflicts and suffered several devastating defeats.

Key historical examples include:

The Greco-Persian Wars (499–449 BCE):

During the Achaemenid Empire, Persian kings Darius the Great and Xerxes I launched massive invasions of Greece. The Persians lost pivotal battles, such as Marathon (490 BCE) and Salamis (480 BCE), eventually forcing them to abandon their expansion efforts and concede independence to Greek city-states.

The Conquest of Alexander the Great (334–330 BCE):
The Macedonian king Alexander the Great decisively defeated the Persian Achaemenid Empire. After losses at major battles like Issus and Gaugamela, the Persian Empire was entirely overthrown and absorbed into Alexander’s realm.

The Roman-Persian Wars:
Over centuries of conflict between the Sasanian Persian Empire and the Roman/Byzantine Empires, the Persians suffered multiple territorial and military defeats, such as the devastating loss to Emperor Heraclius in the Byzantine-Sasanian War of 602–628 CE.

The Arab-Muslim Conquest (632–651 CE):
Following the exhaustion of the prolonged wars between Rome and Persia, the Rashidun Caliphate invaded Persia. The Sasanian military was utterly destroyed at key battles like the Battle of al-Qadisiyyah, bringing the Sasanian Empire and the dominance of the Zoroastrian state religion to an end.

PLEASE BE INFORMED ACCORDINGLY.
 
Iran is turning into a superpower before our very eyes.
What a time to be alive!
 
Iran is turning into a superpower before our very eyes.
What a time to be alive!
Huu ni utabiri wako kaka, bado haujatimia. Nadhani labda tarehe 31 July 3005 inaweza kuwa.
Achana na Russia na China na US ambazo ndizo undisputed superpowers, kuna kina Saud Arabia, India, Turkey, mataifa kibao ya ulaya magharibi kama United Kingdom yanamzidi uchumi na uwezo wa kijeshi lakini hayafikiriwi kuwa superpowers.

Kiuzalendo lazima wajitutumue, hata sisi tanzaia tumewhi kujinasibu kuwa na jeshi imra na kali sana la ardhini lakini unadhani tunaweza kuzijaribu hata na Egypt bila msaada?
 
Huu ni utabiri wako kaka, bado haujatimia. Nadhani labda tarehe 31 July 3005 inaweza kuwa.
Achana na Russia na China na US ambazo ndizo undisputed superpowers, kuna kina Saud Arabia, India, Turkey, mataifa kibao ya ulaya magharibi kama United Kingdom yanamzidi uchumi na uwezo wa kijeshi lakini hayafikiriwi kuwa superpowers.

Kiuzalendo lazima wajitutumue, hata sisi tanzaia tumewhi kujinasibu kuwa na jeshi imra na kali sana la ardhini lakini unadhani tunaweza kuzijaribu hata na Egypt bila msaada?
Ni mtazamo wako!
 
Back
Top Bottom