KipalaKaka hapa unachangaya mambo ya ajabu.
Uzayuni ni harakati ya kihistoria iliyoweka misingi ya kuundwa kwa Dola la ISraeli.
Hizi "miniti ya wazee wa Zion" ni andiko la uwongo lililotungwa katika Urusi mnamo 1903 na kusambazwa na watu wenye chuki dhidi ya Wayahudi.
"The Protocols is one of the best-known and most-discussed examples of literary forgery, with analysis and proof of its fraudulent origin going as far back as 1921"
Soma zaidi na uchungulie marejeo mengi yaliyomo hapo. The Protocols of the Elders of Zion - Wikipedia, the free encyclopedia
Mpendwa je unapenda sana riwaya na hadithi za Abunuwasi?ukweli ni kwamba waisrael ndio wanashika dunia sasa kwan mataifa yote dunian yamewekwa chini ya mfumo ambao unaongozwa nao,World Bank,UN, IMF,zote hizo na mataifa kama US na mengine makubwa yameshikwa na wayahud ,matajir wakubwa dunian kama akina gates,Rockefeller na wengine wengi wana asili ya kiyahud ingawa wanaishi nje ya israel kwani si wayahudi wote walirud mwaka1948 ilipoanzishwa tena taifa la Israel ndani ya Palestina
Mpendwa nilikuomba usome marejeo katika nukuu niliyokupa. Hujasoma, ee?Kipala
Isome hiyo the protocols halafu uone jinsi dunia ilipofika na hayo yaliyoandikwa humo ulinganishe na uhalisia wa mwenendo wa dunia. Unaweza acha kinywa wazi.
Inawezekana wakasema ni ya uongo, wakaikana lakini mkuu kuna mshabihiano wa kiwango cha juu ya maazimio ya the protocols na dunia inavyoendeshwa leo.
Mpendwa je unapenda sana riwaya na hadithi za Abunuwasi?
Au ulifundishwa si vema kuuliza maswali bali muhimu ni kuamini??
Basi wala Gates wala Rockefeller wana punje ya Uyahudi ndani yao. Mababu ya Gates wanajulikana hadi mwaka 1700 - wapi myahudi??? (isipokuwa unahesabu Adamu na Hawa ???)
Wala watu wengine wengi ni wayahudi - maana wayahudi ni wachache sana duniani na wanajivunia kuhusu wataalamu au wenye tuzo la Nobel au wasanii au wenye mafanikio mengine kutoka kundi lao na wanapenda kujitangaza jinsi wanavyochangia kwa maendeleo ya binadamu - je wamfiche nani??
Bado riwaya, ee? na unapendelea kutembea gizani badala ya kuleta majina namba??.. Nakupa testi: hebu fuatilia majina ya watu wote waliokuwa na walio sasa msitari wa mbele katika kuchochea vita dhidi ya Iraq na sasa vikwazo na sauti za kuchochea vita dhidi ya Iran. Halafu ufuatilie sauti za wakuu walio msitari wa mbele katika kukataza vita kama hiyo!
.[TABLE="width: 100%, align: center"]
[TR]
[TD="width: 200, align: left"]FOR IMMEDIATE RELEASE
MARCH 19, 2007
3.02 PM
[/TD]
[TD="width: 340, align: left"]CONTACT: Jews Against the War
Aryeh Cohen, [COLOR=#49535A !important] 310-569-9193 [/COLOR] or[COLOR=#49535A !important] 310-440-1262 [/COLOR];
Shaul Magid, [COLOR=#49535A !important] 812-856-1469 [/COLOR] or[COLOR=#49535A !important] 812-334-2133 [/COLOR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Coalition Announces Launch of �Jews Against the War� to Give Voice to Growing Anti-War Jewish Majority[/TD]
New Gallup Poll Shows 77% of American Jews Oppose War
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]LOS ANGELES - March 19 - On the fourth anniversary of the war on Iraq, a coalition of Jewish leaders announced the launch of �Jews Against the War� (JAW), an organization dedicated to ending the Iraq war and preventing one with Iran. The group will also focus on mobilizing the overwhelming majority of Jewish Americans opposed to the war - demonstrated by a new Gallup poll showing 77% of Jews believe the Iraq War was a mistake, compared with 52% of the general American public....
hizi apa nilisahau kuzi attachYasipo tokea haya maandiko yatatimizwaje?
The book of revelation imemaliza kila kitu hamna cha kuongeza wala kupunguza
Tuache ndoto za mchana nor israel or iran will going to stand,USA ana play a very contradictory role kwa kujifanya anaisapot israel lakini hamna kitu,hapa anatumia theory of DEVIDE AND ROLE,try to think outside the box utaona kuwa Us wataporuhusu Israel kuivamia Iran ndipo kutakuwa na 3rd ww ambapo nji zote zitapigana in either side,hapa USA ata gain advantage kwa Kuingiza NWO baada ya ku wa weaken both moslems and christians,microchip zipo tayar kwaajili ya NWO,hebu tusubiri uchaguzi upite obama aqudi white house tuone up next in world politics,ukijua sababu za kuiangusha libya na kusababisha political instability in syria ndo utajua USA NA UN NDO ILE CHAPA 666 ASOMAYE NA AFAHAMU
angalia Un walipokuwa wakisherekea miaka 60 toka ianzishe utaona walivyo design 666 kwa mfumo wa
60 60 60
angalia john terry compaign watu wamebeba mabango yenye 666 hakianani ninayo mambo meng sema nimechoka ku type fungua hiz attachments
ndugu yangu kipala pole sana kwa kutojua kinachoendelea,kuna kitabu nimekisoma kinaitwa jews ,author nimemsahau wanaelezea historia nzima ya wayahud kuanzia Abraham mpaka sasa na majina yote ya watu maaruf ambao unawajua ww yapo humo na jinsi gani wanavyo jidisguise watu wasiwajue kama ni wayahudi kwani wayahudi ni watu waliopata mateso na kuchukiwa sana ulaya mpaka uarabun kutokana na wao kutokubaliana na dini za ukristo wala uislamu ,na wakristo wa zamani na nadhan mpaka sasa wanawachukia wakiamin ndio waliomuua mkombozi wao yesu na ndio maana kwenye biblia kama umesoma vema wanatofautisha kati ya wayahud na wanafunz wa yesu ingawa wote walikua wayahud hiyo ni kuonyesha chuki,na baada ya yesu kufa israel ilikuja kupotea katika ramani ya dunia na ile sehemu ikakaliwa na wapalestina kwani waisrael wlisambazwa dunia nzima na kama utafuatilia walikuja kuchukiwa dunia nzima kwani wao ndio walikuja kuwa wafanyabiashra wakubwa katika hizo nchi na kwa taarifa yako hii kitu inayoitwa riba ilianzishwa na wao kwan walikua wanawakopesha watu wasio wayahudi kwa riba kubwa ambayo inaongezeka kadr mda unavyoenda huku wakiwa hawawatozi hiyo riba ndugu zao wayahudi .na usione Hitler kuwachukia wayahudi tu bila sabab au kwa kudhan kwa kuwa alikua mfuasi wa shetan bali si hivyo la hasha aliona waziwazi dunia nzima matajir wakubwa na wanaoendesha hizo nchi ni wayahud ambao wanawanyonya wazawa na kuchukua nguvu kubwa kwani wayahudi walijipanga mda mrefu na maprotocol ya zionism ambayo ni kuja kuitawala dunia nzima
Basi wala Gates wala Rockefeller wana punje ya Uyahudi ndani yao. Mababu ya Gates wanajulikana hadi mwaka 1700 - wapi myahudi??? (isipokuwa unahesabu Adamu na Hawa ???)
Wala watu wengine wengi ni wayahudi - maana wayahudi ni wachache sana duniani na wanajivunia kuhusu wataalamu au wenye tuzo la Nobel au wasanii au wenye mafanikio mengine kutoka kundi lao na wanapenda kujitangaza jinsi wanavyochangia kwa maendeleo ya binadamu - je wamfiche nani??
President George W Bush Genealogy & Family History. hii link inaonyesha asili ya bush na marais wengine walipata kuwa wayahudi
kuna kale ka wimbo tulikuwa tunaimba enzi za sunday school, Sayuuni sayuuni, nina imani kwa kwamba nitafiiika kumbe ndo ZION hahahahaha