Eehh ina tegemea na madhara ya hao maspy ni makubwa kiasi gani katika taifa husika au ulimwengu mzimawe mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu
This is as per Article 29 an 30 of the Additional Protocol II of the Geneva Convention
Uwe unauliza kama hujui kitu, Hezbollah ni chama halali cha siasa nchini Lebanon, hahahah! Unafurahisha kweli 'eti kikundi cha wanaharakati kilichojikusanya kupambana na Israel!' Uko shallow sana asee. Haya sasa ni jikumu la Israel kufuta vyama vya siasa vya nchi zingine?!Kwan HIZBULLAH Ndio Wenye Nchi HIZBU c Nikakikundi tu Chawanaharakati Kilichojikusanya Kupambana Na ISRAHELL Sasa wanashindwa Vipi Kukifuta (Kukiondoa Kwa Njia Yakijeshi au ndio wanazidi kuwaogopa kama hamas)
Wayahudi hawawezi kukabiliana na matishio ambayo yapo mlangoni mwao ya HAMAS na HIZBU watawaweza WAAAJEMI
Halafu Haya Mabikra Hua Ynawauma Sana Eeeh Poleni Lakinj
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kama sio suala lao kuwafuta mwaka 2006 walienda kuwafanya nn nakwamalengo gan ?!.....Uwe unauliza kama hujui kitu, Hezbollah ni chama halali cha siasa nchini Lebanon, hahahah! Unafurahisha kweli 'eti kikundi cha wanaharakati kilichojikusanya kupambana na Israel!' Uko shallow sana asee. Haya sasa ni jikumu la Israel kufuta vyama vya siasa vya nchi zingine?!
Israel inajenga inavyotaka makazi ya walowezi kwenye ardhi ya wapalestina huku UN, waarab wakiwamo hao Hezbollah wako wakilaani na kulaumu tu na sehemu yakojengwa hayo makazi wanazijua lakin wanaufyata, sasa sijui hawapendi kwenda kujitwalia mabikra mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete hiyo historia inayosema Hezbollah ni kikundi cha wanaharakati wa kupambana na Israel.Ww ndio ulo shallow fatilia historia ya hao hizbullahPia kama sio suala lao kuwafuta mwaka 2006 walienda kuwafanya nn nakwamalengo gan ?!.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanatoka lumumbaMnatafuta pakutokea
Mbona mnatia hasira ndugu wa wafiwa nyie? Hii shughul Iran imechemka... acheni kuokoteza fix..spy wapande dege moja kama tipa la mchanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa komando mmoja anauwezo sawa na wanajeshi wa kawaida kama 100! Kwa nini spy mmoja anayeispy nchi asiwe hatari kwa nchi nzima anayoispy?.Vp umeshindwa kutambua kuwa mpelelezi mmoja aliyeipeleleza nchi yako kijeshi ni mtu hatari kwa jeshi lako lote?.we mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu
Wasiyo na hatia kivipi!Maana hata wewe hapo ulipo una hatia ya uasherati mbele ya wenye imani zao.Mkuu hakuna ukweli wowote ni propaganda za kipumbavu na kijinga.
Kuwakamata kungekuwa na faida maradufu kwa Tehran badala ya kuwauwa. Ni uzushi
Wameuwa raia wasio na hatia sasa ni uzushi tu.
Kudunguliwa kwa Ile ndege ni uzembe ulifanyika! Ile mitambo ya kudungua ndege ilikuwa full alert kwa maana ya stand.2 kwa mategemeo us atalipiza kisasa bila kuchelewa!
Hivyo chochote kirukacho ni size yake!
Hivyo Ile mtambo ilipoona targert ikajifatua yenyewe, wakati controller anakunywa Ghahawa!
Ingekuwa kuna ma-spy Iran isingeacha kujigamba tena wangekamatwa kabla hawaja panda ndege!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege ilipo take off tu ndo wakajua ni ma spy waliomo onboard? Kwa nn wasinge wakamata before nakuwa interrogate kwa kuwa torture mpaka waseme who is behind them? Spy huwa anauliwa hatua ya mwisho Sana baada ya kuwa umevuna kwa kiasi kikubwa kutoka kwake na mazingira ya kumfanya double agent yameshindikana. Unatungua ndege ukiwawinda wa Canada 66 while the world is watching😆😆😆😆😆
Mkuu tofautisha mazingira ya kutunguliwa kwa nyege ya Ukraine na Iran ,na kutunguliwa kwa ndege ya Iran na US!US ilivyotungua ndege ya abiria ya Iran unajua alichokisema George HW Bush?
View attachment 1320870
dodge
Napenda watu wanaotoa hoja mzito badala ya ushabiki..hongera mkuu!Intelligence has to do that with all sophisticated means
1. Finger print
2. Face detection
3. Back ground
4. Existence
5. Communication facilities
6. Other intelligence techniques
Sio assumption ambayo ndio hasa tunasema uzushi na upumbavu
Mimi huwa nashangaa sana MTU anapojihaminisha kuwa Hezbollah wana nguvu ya kuwashinda Israel..how ? Kama nchi za kiarabu zenye standing army ,vifaru,ndege vita na vifaa lukuki vya kivita zilishindwa(zimeshindwa) itaweza Hezbollah?Unaungaunga udaku wa 2006 ili upate faraja! Ni jambo jema kujifariji.
Hahahah! Hadi leo Israel imeyakalia kimabavu maeneo ya waarabu kitu ambacho waarabu wanakipinga, ebu waambia hao Hezbollah wakawatoe uone watakavyolambishwa mchanga.
...... Haya hamisha goli tena....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulifuatilia kweli hiyo vita au ulisimuliwa?Hahah ni kweli najifariji maana Hezibollah ilitoa dozi takatifu mpk waziri mkuu wa Israel alijiuzulu.
dodge
BADO UJINGA UPO PALE PALE: Kitendo cha mfumo wao wa ulinzi kushindwa kuzuia makombora kupiga kambi kumewashtua. ni KAMA WAMEVULIWA NGUO HADHARANI. Kufa ama kutokufa kwa sasa siyo issue,issue ni USALAMA WA ASKARI WAO VITA VIKIZUKA! HAWAJIAMINI TENA.
Mkuu Mimi nitakuwa MTU wa mwisho kuamini kuwa hivyo vikundi vya militias ulivyovitaja (Hezbollah na Hama's) vinaweza kusimama na Israel kama zilishindwa nchi zenye ndege vita,helikopta,meli vita, standing army(professional) kama Egypt, Jordan,Syria ,Iraq nk.Kwan HIZBULLAH Ndio Wenye Nchi HIZBU c Nikakikundi tu Chawanaharakati Kilichojikusanya Kupambana Na ISRAHELL Sasa wanashindwa Vipi Kukifuta (Kukiondoa Kwa Njia Yakijeshi au ndio wanazidi kuwaogopa kama hamas)
Wayahudi hawawezi kukabiliana na matishio ambayo yapo mlangoni mwao ya HAMAS na HIZBU watawaweza WAAAJEMI
Halafu Haya Mabikra Hua Ynawauma Sana Eeeh Poleni Lakinj
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulifuatilia kweli hiyo vita au ulisimuliwa?
Kati ya Hezbollah(Lebanon) na Israel nani alipata athari kubwa?
Unafahamu kuwa nusu ya Beirut iligeuzwa kifusi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tofautisha mazingira ya kutunguliwa kwa nyege ya Ukraine na Iran ,na kutunguliwa kwa ndege ya Iran na US!
Kasome tena!
Sent using Jamii Forums mobile app