Iran has killed all spies

Yaani Mossad, one of the best intelligence in world warundikane kwenye ndege moja tena wakati wa hatari kama ule? Iran bhana mmeishiwa kila idara.
 
Kweli aisee,ngoja tuendelee kuwatia moyo US.View attachment 1320896

dodge
Hahahah! au umesahau kwamba walishawahi hadi kusign mkataba wa amani na baadae wakajitoa na vikwazo juu! Mnadanganywa kitoto sana. Amkeni nyie mashia, US yuko sambamba na Msunni adui wa mshia (Iran) na yuko sambamba na Myahudi adui wa Iran pia. Hakuna story wala mazungumzo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao mayahudi,mashia,masunni wote hao waambie waje tule kitimoto,beer na ndizi then wewe endelea kuiombea israel ukiamini na wewe utabarikiwa,hahah

Unaongelea myahudi huyo hapo chini aliyepata dawa toka kwa Hezbollah sio?hahah

dodge
 

Unaungaunga udaku wa 2006 ili upate faraja! Ni jambo jema kujifariji.
Hahahah! Hadi leo Israel imeyakalia kimabavu maeneo ya waarabu kitu ambacho waarabu wanakipinga, ebu waambia hao Hezbollah wakawatoe uone watakavyolambishwa mchanga.
...... Haya hamisha goli tena....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawakuwa wote 63 majasusi, ni baadhi yao tu Kama 12 hivi, kwa sababu target ilikuwa ni kuzuia information zisifike US na Israel basi ilibidi wote wauawe .
Rejea kupotezwa kwa Malaysian Airlines nayo ilikuwa na majasusi wa China waliokuwa wameiba siri za US kisha CIA wakafanya yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ni kweli najifariji maana Hezibollah ilitoa dozi takatifu mpk waziri mkuu wa Israel alijiuzulu.

dodge
 
Us: kaua =qasim Suleiman Mmoja
Iran: kaua =watu 50 Kwenye mazishi + watu 0 Kwenye makambi ya US pale Iraq + watu 176 Kwenye ndege ....total ya watu 226 na HAKUNA hata mmoja kati yao ni mmarekani......smh
Usidanganyike na Trump na CIA.Tuvute subira ukweli utajulikana tu. Kwa system ya ulinzi wao kuingiliwa bado wanajiuliza hawapati jibu. Trump alivyokuwa anaongea kuna alichokuwa anaficha. Time will tell.
 
Usidanganyike na Trump na CIA.Tuvute subira ukweli utajulikana tu. Kwa system ya ulinzi wao kuingiliwa bado wanajiuliza hawapati jibu. Trump alivyokuwa anaongea kuna alichokuwa anaficha. Time will tell.
Mzee Iran waliwataarifu Iraq masaa6 kabla ya mashambulizi...Iraq wakawataarifu USA masaa mawil kabla sasa kama angekufa Mtu si ingekuwa ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…