Iran Finally Comes Clean with the World -- It Sponsors Terrorism | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran Finally Comes Clean with the World -- It Sponsors Terrorism

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Feb 5, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  COMMENTARY | So, it's finally official: Iran is a state-sponsor of terrorism. The word came from the mouth of Supreme Leader Ali Khamenei on Friday when he categorically announced Iran would sponsor anyone -- anywhere -- that would work against Israel.

  Khamenei also admitted to helping attack Israel through third parties, something Iran officially downplays or denies, the Associated Press reported. "From now on, in any place, if any nation or any group confronts the Zionist regime, we will endorse and we will help. We have no fear expressing this," Khamenei told followers during morning prayers.

  Iran Finally Comes Clean with the World -- It Sponsors Terrorism - Yahoo! News
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nawapenda Iran!!!! hasa AHMEDNEJAD......
  kidumu chama cha mapinduz
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Are those "two", the same??!! what is the contrast? I can't comprehend what you just construed.
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ooooh, what else are they hiding? ... and in what name where they doing this diabolic acts?
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mbona America nayo ilisema watasupport whoever works against Afganistan, during the taliban regime, or Irak during the two wars. Not that I support them ila watu wako vitani, wanatafuta allies.
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Propaganda kila mahala. Kuna Mataifa duniani hayawezi kuishi bila ya vita.
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mtoa threat mbona hujui unaongea nini hivi wewe leo ndo umejua....Usisahau Hezbollah receives military training, weapons, and financial support from Iran na hakuna hata siku moja muiran kasema no SIWAPE SUPPORT.... Afu usisahui kitu kimoja terrorism kwa DICTIONARY ya western ni mtu anaye gombania haki yake, wao wanataka waje wakutawale wakupige kwa ndege zao za kivita F16 AU F15 na baadhi yaJet Fighter Fleet walizo nazo wewe ukijidai kujitetea basi umeisha kuwa terrorism....Iran wanaume na niwapeni ukweli Mmarecan anajau wazi Isreal akichokoza ndo kisha....mana hizo nuclear alizo nazo zitapigwa kwa long range missiles alizo nazo Iran....Iran we'll fire 150000 missiles @ Israel if attacked, tena watakuwa wanasukumia missiles mpaa muisrael atakosa kupumua. .


   
 8. M

  Mbuli Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
 9. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kawaida mtu kukosea kutype nimesema mtoa thread ni katype threat sioni kama kulikuwa na sababu ya kupeteza time kuliza swlai kama hilo.

  Mmarecan=Mmarekani=America sawa nadhani umefahamu sasa au bado.
   
 10. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Naona vita baina ya nchi mbili hizi lazima ipiganwe....lini? yetu macho..lakini kama alivyoondoka Sadam, Gadafi, Mubarak, Osama na Ben Ali sitgemei baada ya vita Iran itakuwa tena na hao Ma-Ayatollah
   
 11. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  mbona yuko sawa tu,kwani msimamo wahao wawili ni tofauti?
   
 12. H

  Hute JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,916
  Trophy Points: 280
  thats good news, kwasababu tunazidi kupata sababu za kuishambulia...wanajiweka kwenye kitanzi wenyewe..sisi tunatafuta sababu ya kuwapiga makonzi,wao wanasogeza kichwa...we subiri...
   
 13. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mtu kama unawaza vizuri utajua Saddam kaondolewa sio na maraekani peke yake....Yani jeshi la kiarbu lilikuwa linampiga pia saddam....Saud arabia + kuwait+Qatar +UAE+Jordan+Italy+Checkoslovakia kbla ya kujigawa. +Netherland+poland+UK+Korea yani msimsahau na Iran kasaidia America kumtoa saddam.

  Gadaffi ni vile vile Mfaransa+Uingereza+USA+ITALY+TURKEY+SUDAN+QATAR+UAE+POLAND+NETHERLAND yani karibu nchi zote za NATO.

  Mubarak, kaondolewa na wananchi wa egipty peke yao kwa kumfurahisha rafiki yangu mmoja hapa naona kama nimekosea kuandika inabidi nimuandikie eghpt ili aje kunitoa makosa.


  Osama; yani si America peke yake imempiga ni NATO+Saud Arabi+Afghnstan+Pakistan+India na msisahau ziko nchi nyingi tu.


  Sasa Israel atakapo enda kupigana safari hii ujuwe yuko hatarini hawezi kupigana bila support ya western na hao wako kwenye njaaa tupui sasa hivi, hivyo akienda peke yake kaumia....na iran si mjinga mpaa akatambaa vile anajua western wameisha filisika hawana pesa.


  Afu msisahu kitu kwanini Saud Arabia au nchi za Gulf zisiwe ndo God's chosen people, mana wao ndo matajiri wakati myahudi ni njaa tupu sasa hivi....we hujaona Obama alivyo mlamba mkona King wa Saud Arabia au mmesahau :biggrin:
   
 14. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,984
  Likes Received: 1,554
  Trophy Points: 280
  Everything is opened , see down here

  Israel also has one of the highest percentages of support for same-sex marriage in the world, with 61% of Israelis supporting civil marriage for same-sex couples ( "Three-in-Five Israelis Back Same-Sex Marriage". Angus Reid Public Opinion. Retrieved 1 June 2011.)[SUP][/SUP]
  Out Magazine
  has named Tel Aviv "the gay capital of the Middle East."

  Tel Aviv is also considered one of the most gay friendly cities in the world[SUP][/SUP] ( "The world's most gay-friendly places". Calgary Herald. Jun 29, 2011.)

  and is famous for its annual Pride Parade and gay beach ( [SUP][/SUP] Grant, Anthony (July 2, 2010). "Gay Tel Aviv".)
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyu supreme leader wao amechelewa mno.
  Israel ameshaua scientists wa Iran na kujeruhi wengine na bado anaendelea kuwinda wengine,huyu kama ameamua ku-proclaim hivyo naamini Israel wata-double their efforts na tutaona nani mshindi
   
 16. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona mnakuwa kama hamuelewi nyiei sa zingine... Iran miaka inawasupport Hamasi na Israel anajua...Iran zamani anawasupport Hezboullah na Israel wanajua si wanawaita hao Hamasi na Hezboullah ma terrorism au ndo wamejua jana tu :biggrin:
   
 17. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,773
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Killing Palestians children, does it not sound like terrorism?
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hili linaeleweka mkuu
   
 19. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sishangai coz israel mwenyewe anafanya ugaidi irani through MOSSAD na wamesh wauwa wanasansi wa nuclear wa iran km watatu mpaka sasa na hakuna mtu from the un alie comment lolote juu ya israel kufanya ivo so iran kwa kutangaza hivyo it simply means kwamba anaendeleza mapambano
   
 20. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,718
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
  Hakuna vita maana uchumi umeyumba watatoa wapi silaha. Ndio maana wanasema Syria watasuluhisha mgogoro kwa mazungumzo si vita. Na wanasubiri bili yao ya TZS 400 trillion toka Libya. Iran hauzi wese ulaya na ulaya wanakabiliwa na baridi kali.
   
Loading...