Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,065
- Thread starter
-
- #141
Niliwambia hawa wakanisa sa tuone taifa teule wanadai linalindwa na Mungu wa Israel tu atawalinda hahaha. Kwa hio Iran hailindwi na Mungu ni wao tu wana Mungu hahaha ukanisa noma sana.Hii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuia
Ngoja tuone Israel akijibu msikunje suraKuna makombora yaliyozuiliwa na kuna yaliyopita. Na ndiyo wameanza, hii itakuwa usiku kucha.
Nikiripoti tokea kwa kamanda mpya wa usalama Iran 😁
Ndio kinachoenda kutokeaKwamba wata jishambulia wenyewe.
Kweli kobazi mmepoteana
Zika lipue vichakaHii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuia
Tel Aviv leo inakuwa majivu, wauliza THAAD iko wapi ?Niliwambia hawa wakanisa sa tuone taifa teule wanadai linalindwa na Mungu wa Israel tu atawalinda hahaha. Kwa hio Iran hailindwi na Mungu ni wao tu wana Mungu hahaha ukanisa noma sana.
Basi itakua vyema sana wajiumize wenyeweNdio kinachoenda kutokea
Hahha ndoto isiyo wezekana kwa sasaTel Aviv leo inakuwa majivu, wauliza THAAD iko wapi ?
mliinadi sana huo ujnga wa THAAD sasa Fattahs zinapita bila kupingwaMbona nimeeleza vizuri hapo
waiwashe basi au wamesahau ? maana vyuma vinashuak tuHahha ndoto isiyo wezekana kwa sasa
Tuone itakuajeBasi itakua vyema sana wajiumize wenyewe
mtaokota mpaka video za vichakani mwanaume kapiga mchana kweupe
View: https://x.com/Megatron_ron/status/1933595375593484426Leo ndio leo, stock ya missiles ipo KIBWENA, mtahesabu sana!
Vyuma vingine vipo njiani saa hii!!!
Kwamba inaweza zuia makombora 100?mliinadi sana huo ujnga wa THAAD sasa Fattahs zinapita bila kupingwa
wamesahau kuwasha ile THAAD ? au ilirudi Marekani ?Aise kwakweli Israel na mabwana zake wana haki ya kuhaha kumhofia Iran maana hakuna mfumo wa anga wa Israel uliofanikiwa kuzuia mzigo kutua.
Sio Iron dome, THAAD wala Arrows 3 iliyoweza kuzuia.
Naona safari hii Iran anakung'uta hadi miundombinu ya kiraia hachahui pakupiga mamaee.
Tayari. Lakini vinanaswaVitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Wakae tu huko kwenye MABANKA, kukikucha watafanya kazi ya kufukua vifusi ili watoke!!!mtaokota mpaka video za vichakani mwanaume kapiga mchana kweupe
Mnavizia usiku watu wako kwenye mabunker mnashambulia halafu mnajisifu tunamuweza mayahudi
Utoe na update za vifo vya majemedari wa israel pamoja na wanasayansi wao
Usikimbie uzi