Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,319
- 11,008
Kaa hivyo hivyo, Tel Aviv inafuka moshi kama tanuri la mkaa saa hii.Ayatolah ni sawa chemical Ali wa Iraq. Empty words
Kobazi naona wamefurahi Iran kurusha vikombora vya kufutia machozi.Ka
😂😂😂😂Kapagawaa mkuu msame buree walisema israel hawezi rusha ata jiwe ndan ya iran wanashangaa israeli karusha furush la vyuma mlangon ka ayalha
madhara gani yametokea?Tayari vitu vimeshafika Tel Aviv
Vimezuiliwa juu kwa juu, Iran inakelele ila hawana madharaTayari vitu vimeshafika Tel Aviv
SourceTayari Tel Aviv kuna milipuko….
Tizama Al Jazeera.Source
IpiTizama Al Jazeera.
Aaah acha basi!
Ni yametua kabisa na kulipuka madam?
Maana mie nipo njiani sipo home.
Makombola yanatua gaza hayapaoni IsraelLeo ni siku rasmi kwa israel kufutika dunian inshallah
Iran hawezi ku sustain kurusha makombora ndani ya Israel.Tusubiri madhara tuone.
Usiseme tu vikombora mkuu.
Al Jazeera news English
Fatilia vzr vitu vimepitiliza mpaka GazaTayari vitu vimeshafika Tel Aviv
Hayo ni mawazo yako mkuu.Iran hawezi ku sustain kurusha makombora ndani ya Israel.
Wanachofanya ni kujitutumua tu.
Usishangae ukisikia habari kuwa Ayatollah kaliwa kichwa maana IDF wanajua hata akiwa anajisaidia haja kubwa.
Tayari Tel Aviv kuna milipuko….
Hiyo unasema wewe.Fatilia vzr vitu vimepitiliza mpaka Gaza
NdioIran Ataishambulia Iran leo