Iran Ataishambulia Israel leo

Allah awashughulishe hawa madhalimu kwa madhalimu wengine na awatoe Waislam katikati yao kwa salama.

Allah awajaalie hawa madhalimu (mashetani wa kizayuni na akina khamenei) waangamizane wenyewe kwa wenyewe na awatoe Waislam katikati yao kwa salama.
 
We sifia ujinga umeona shughuli ya mchana huu, vinu vya nyuklia vinatekenywa vibaya, tehran apakaliki watu wanakimbia ovyo
 
Wamefumuliwa mpaa kwenye mahandaki yao hahaha Iran ni Baba lao pale Middle East Israel ni chui kwenye picture tu
Kama unafatilia mpak jioni ii nambie kitu gan kimebaki uko iran, tehran inawaka moto tangia asubuhi
 
Ebu tuambie uk gaza kimebaki nini
Lengo la Israel lilikuwa kuwaondoa Hamas, Hezbollah na Houth wasiwepo kabisa duniani na wameshindwa kufanya hivyo.

Hamas, Hezbollah na houth bado wapo na mapigano yanaendelea..

Kuweka malengo na usiyafikie huko ni kushindwa
 
Baada ya saa Tela Aviv vitu vitashuka mpaa asubuhi
 
Lengo la Israel lilikuwa kuwaondoa Hamas, Hezbollah na Houth wasiwepo kabisa duniani na wameshindwa kufanya hivyo.

Hamas, Hezbollah na houth bado wapo na mapigano yanaendelea..

Kuweka malengo na usiyafikie huko ni kushindwa
Kuwafutilia mbali inawezekana tatizo ni kelele za watu wa haki za binadam na huruma ndo maana anawala mdogo mdogo, mf. Kule gaza amewaacha wafe kwa njaa. (Japo si jambo zuri kibinadam)
 
Nadhani umesoma mwenyewe umeona
The damage was limited.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…