Iramba: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi!

Godfrey Mushi

Member
Feb 26, 2013
75
41
Wakuu;
viongozi wa cdm ktk kata ya ulemo wamekamatwa na polisi kwa kosa la kuhoji maswali ktk mkutano wa diwani wa ccm ktk kata ya ulemo wilaya iramba,

tayari tumefika kituoni hapa misigiri tukiwa na katibu wa bavicha wilaya ndg joseph alfayo pia katibu mwenezi wa wilaya ya iramba ndg malume,waliokamatwa ni viongozi wanne na makamanda watatu.

By Godfrey mushi-m/kiti bavicha wilaya ya iramba.
 
Mkuu mbona umetupa mshtuko hivi!! We unajua kwa ss tupo katika hali tete na maccm police halafu unarusha post nzito hivi! Kumbe ni viongozi ngazi ya wilaya!!!
 
Maswali tu au kuna walichofanya?

Uhuru wa Habari uliopo kwenye katiba yetu ya sasa uko wapi? Ibara yote ya 18 ya katiba yetu inatoa uhuru wa mawazo/maoni sasa hawa wanatumia kigezo gani kumkamata mwananchi kwa sababu ya kuhoji au kuuliza maswali?

Tunakoenda sio kwenyewe.
 
Wakuu;viongozi wa cdm ktk kata ya ulemo wamekamatwa na polisi kwa kosa la kuhoji maswali ktk mkutano wa diwani wa ccm ktk kata ya ulemo wilaya iramba,tayari tumefika kituoni hapa misigiri tukiwa na katibu wa bavicha wilaya ndg joseph alfayo pia katibu mwenezi wa wilaya ya iramba ndg malume,waliokamatwa ni viongozi wanne na makamanda watatu.By Godfrey mushi-m/kiti bavicha wilaya ya iramba.
Watakamata watu lakini mawazo yao kuhusu ukombozi hayakamatiki wanajisumbua. Nafikiri wanatekeleza agizo la mkuu wa kaya ati rpc anayeshindwa kudhibiti upinzani atanyanganywa cheo
 
Ahaaaaaaaaa hiyo heading haijatulia, ungeandika hivi 'Viongozi wa chadema kata ya Ulemo wakamatwa na polisi'
 
Wakuu;
viongozi wa cdm ktk kata ya ulemo wamekamatwa na polisi kwa kosa la kuhoji maswali ktk mkutano wa diwani wa ccm ktk kata ya ulemo wilaya iramba,

tayari tumefika kituoni hapa misigiri tukiwa na katibu wa bavicha wilaya ndg joseph alfayo pia katibu mwenezi wa wilaya ya iramba ndg malume,waliokamatwa ni viongozi wanne na makamanda watatu.

By Godfrey mushi-m/kiti bavicha wilaya ya iramba.

mmh mbona unatuchanganya? viongozi siyo makamanda? au unamaanisha wale waliopata mafunzo ya kigaidi na LWAKATARE
 
Ni lazima watambue kwamba kazi ya Ukombozi si ya kitoto, Mandela alifungwa gerezani, na hakuna wana ukombozi walio fanikiwa kirahisi rahisi, so hiyo ni kawaida
 
kama amevamia mkutano wa CCM akiwa na MAGWANDA au kiashiria chochote kuwa yeye ni CDM... akafungwe tu!!!
 
Mkuu Mushi Hiyo Heading ifanyie editing kidogo inaweza leta mushkiri kidogo...Otherwise asante kwa taarifa.
 
ili ufauru mtihani ni lazima usome kwa juhudi. Je huo mkutano haukuwa na nafasi ya kuuliza maswali? kama ilikuwepo je waliotakiwa kuhudhuria ni wana ccm peke yao? na je kuuliza kwao maswali kulivunja mani? huyo diwani alikuwa amefanya mkutano wa hadhara au wa chama?
 
Mkuu mbona umetupa mshtuko hivi!! We unajua kwa ss tupo katika hali tete na maccm police halafu unarusha post nzito hivi! Kumbe ni viongozi ngazi ya wilaya!!!
kwa hyo wewe viongoz ngaz ya wilaya unawazarau mbna hyo kijana tunavunjana moyo sasa!
 
Chadema kuna nini tena? Hivi mnalala kweli? na kupumzisha hivyo vichwa? mbona kila siku nyie ni watu wa vurugu tu!
 
Back
Top Bottom