Iq test

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Hebu jaribu kujipima ufahamu hapa.


 
Reactions: Paw
Annael swali lako limekaa kimtego sana. kama ni miezi inayoishia siku 28 jibu ni kwamba ni mwezi mmoja kwenye mwaka mfupi. ila kutokana na swali lako jibu ni kwamba ni miezi 12 maana kila mwezi lazima uwe na siku 28 ila zinaweza zikazika au zikaishia hapo kutokana na mpangilio wa mwezi katika mwaka husika.
 
Kaka naona unajibu kisiasa sasa hapa swali dogo sana mbona maelezo marefu.

Swali lina sema hivi: Kuna miezi mingapi yenye siku 28 katika mwaka? very simple other assumption za nini sasa?
 
Miezi 12
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
 
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>Ni simple fact kwamba miezi yote 12 ya mwaka ni lazima iwe na siku 28...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…