Kaka naona unajibu kisiasa sasa hapa swali dogo sana mbona maelezo marefu.Annael swali lako limekaa kimtego sana. kama ni miezi inayoishia siku 28 jibu ni kwamba ni mwezi mmoja kwenye mwaka mfupi. ila kutokana na swali lako jibu ni kwamba ni miezi 12 maana kila mwezi lazima uwe na siku 28 ila zinaweza zikazika au zikaishia hapo kutokana na mpangilio wa mwezi katika mwaka husika.