Iq test

Iq test

Father's name is 10 ambapo 2 ni common na 5 ni difference yao so jawabu ni 2(5)=10
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Father's name is 10 ambapo 2 ni common na 5 ni difference yao so jawabu ni 2(5)=10
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

we jamaa ni mganga wa kienyeji toka sumbawanga nini???
Mbona umekwenda mbali sana??
 
we jamaa ni mganga wa kienyeji toka sumbawanga nini???
Mbona umekwenda mbali sana??

No kayoka me si mganga bana....just nimeumiza kichwa tu..namsubir mtoa mada aje aseme nimepatia au la

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
And the answer is..........!??
Mtoa mada uko wapi?
 
Father's name is 10 ambapo 2 ni common na 5 ni difference yao so jawabu ni 2(5)=10
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

duh umelikuza sana hili swali lakini liko very simple jaribu tena
 
Ni mr. Two...
Yani at first sikuwa na jibu nkaanza kukosoa kiingereza!!!duh..
 
Changamsheni bongo zenu kwanza mbona swali rahisi
 
Baba anaitwa Mr.TWO sababu,msma mwisho huchukua jina la mumewe,same na kwa watoto pia wanachukua jina la baba yao mwishoni,hivyo kama mama ni sixty TWO, mtoto mwingine fifty TWO, na mwingine forty TWO, then baba atakua TWO
 
Back
Top Bottom