IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Wenye akili tunàsema ni 16 wapumbavu wanasema tumekosea
Acha kutukana watu matusi yasiyowahusu. Mwenye akili huwa halinganishwi na mpumbavu.
Maana upumbavu siyo ukosefu wa akili bali ni mapungufu katika kutumia akili......
 
ecfac7969f8b83a70a79dc81813c82e6.jpg
Wote mnakaribishwa.
20 mkuu
 
Hapo chini firimbi ipo moja kwa hiyo siyo 4 ni 2

Viatu viwili ambavyo ni 10 + Kichwa bila firimbi ambayo ni 3 X Firimbi moja pekee ambayo ni 2 =

10+3X2=26
Jibu ni 16 ila kitu nilicho gundua ili swali limesaidia sana kuonyesha mapungufu makubwa Kwa elimu yetu
 
Back
Top Bottom