IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

Acha kuumizwa kichwa wewe, usiwe kipofu, nilishamjibu hili kabla na amekaa kimya tu hakusema kama nilipata au nimekosa, nilimjibu 16 then nikamuuliza zaidi ya mara 5, ndio nikatafuta ushahidi youtube, ingia uone mwenyewe.
Ebu nipe link ya hiyo kitu mkuu ya you tube.
 
ecfac7969f8b83a70a79dc81813c82e6.jpg
Wote mnakaribishwa.
Nimegundua watu wachache wanapata ila hawajiamini,
nawewe jibu ulikua hujui, ndio maana waliokua wanapata ulihisi wamekosa.
But thanks simple good challenge. .
Umeburudisha!
 
jibu kumi na tisa (19). icho kiatu ni 10, iyo picha ni 5, filimbi ni 4.
Jibu ni 60 japo umepata kiatu 10, picha 5 na filimbi 4 ila mwisho ameuliza 10+5*4 angalia kwa umakini swali la mwisho. jibu litakuwa 60
 
Imenibidi nicheke tu,kila mtu anajinasibu kuwa anaweza huku akimdis mwenzake kumbe naye kaenda chaka
jibu langu mazee ni 20
 
Back
Top Bottom