IQ Test: Kwanini Mzee Mkali alifurahia sana siku Mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 27 alipo muuliza "Baba hivi ulimpataje mama?"

Mzee Mkali ( 67) ana kijana wake wa kiume aitwae Mashoto ( 27 )

Siku moja Mashoto alimuuliza baba ake " BABA HIVI ULIMPATAJE MAMA?"

Mzee Mkali aliposikia swali hili kutoka Kwa kijana wake WA kiume alifurahi Sana Na haraka haraka akamuita Mama Mashoto akisema " MKE WANGU NJOO UMSIKIE MTOTO WAKO ANACHO KISEMA"

Baada ya Mama Mashoto kufika sebuleni , Mzee Mkali akasema " WEWE MASHOTO HEBU RUDIA TENA KUNIULIZA KILE ULICHO NIULIZA NA MAMA AKO ASIKIE"

Mashoto akapaaza Sauti yake na kusema " BABA HIVI ULIMPATAJE MAMA"?

Mama Mashoto alivyo sikia hivyo Kwa aibu kubwa aka ondoka sebuleni haraka haraka Na kwenda kujifungia chumbani kwake..

Mzee Mkali akamwambia " WEWE MAMA MASHOTO UNAKWENDA WAPI? HEBU NJOO HAPA "

Baada ya kaka dakika ishirini za kujifikiria mama Mashoto alirejea sebuleni huku akiwa kajifunika USO wake kwa aibu Na fedheha.

Kwa mshangao wa mama Mashoto ,Mzee Mashoto akasema " NIMEFURAHI SANA KIJANA WANGU MASHOTO KUNIULIZA SWALI ZURI KAMA HILI".. Kisha akaendelea kusema Sababu iliyo mfanya afurahie kuulizwa swali kama Hilo Na Mtoto wake...

IQ test: JE KWANINI MZEE MKALI ALIFURAHIA KUULIZWA SWALI KAMA HILO NA MTOTO WAKE?

Una dakika arobaini za kujibu swali hili. Zikipita dakika arobaini bila kupata majibu nitatoa majibu.

Haya Sasa twenzetu
Hapo mzee alifurahi kuskia hvo saab aljua mwanaee yupo vzr sio mchelemchele
 
Ur the true son of ur father. Hili ndio jibu. Kuna watu swali limewashinda wamekimbilia Polisi.
Mtoto anataka kujua ilikuaje baba amepata mke bora na chombo?
Baba anaonekana wa kawaida sana

Mama kaona aibu
Kwa sababu ya majibu yatakayo tolewa

Unaposema unapima watu IQ..lazima kuwe na kamtego katika maelezo yako ambacho ni wachache watakao king'amua..
sasa embu niamie ni wapi kwenye maelezo yako pameonesha mama alikuwa mke bora na baba alikuwa wa kawaida mpaka kusema HILO HAPO JUU ndio jibu sahihi..
 
unaposema unapima watu IQ..lazima kuwe na kamtego katika maelezo yako ambacho ni wachache watakao king'amua..
sasa embu niamie ni wapi kwenye maelezo yako pameonesha mama alikuwa mke bora na baba alikuwa wa kawaida mpaka kusema HILO HAPO JUU ndio jibu sahihi..
Hupendi kufikiri. Ukifikiri vzr utaona mtego. The fact Tu kwamba Mashoto ana miaka 27 Na wazazi wake bado WaPo pamoja inaweza kuwa indication nzuri kwamba mama Ake ni wife material.. watanzania kwanini hampendi kufikiri?

Moderator wekeni option ya fimbo ili baadhi ya wadau kama huyu jamaa TUWE tunawacharaza viboko
 
yaan wewe ni kiazi kweliiiiii....nani kakwambia wanandoa walio muda mrefu maana yake mke ni wife material
 
Mzee Mkali ( 67) ana kijana wake wa kiume aitwae Mashoto ( 27 )

Siku moja Mashoto alimuuliza baba ake " BABA HIVI ULIMPATAJE MAMA?"

Mzee Mkali aliposikia swali hili kutoka Kwa kijana wake WA kiume alifurahi Sana Na haraka haraka akamuita Mama Mashoto akisema " MKE WANGU NJOO UMSIKIE MTOTO WAKO ANACHO KISEMA"

Baada ya Mama Mashoto kufika sebuleni , Mzee Mkali akasema " WEWE MASHOTO HEBU RUDIA TENA KUNIULIZA KILE ULICHO NIULIZA NA MAMA AKO ASIKIE"

Mashoto akapaaza Sauti yake na kusema " BABA HIVI ULIMPATAJE MAMA"?

Mama Mashoto alivyo sikia hivyo Kwa aibu kubwa aka ondoka sebuleni haraka haraka Na kwenda kujifungia chumbani kwake..

Mzee Mkali akamwambia " WEWE MAMA MASHOTO UNAKWENDA WAPI? HEBU NJOO HAPA "

Baada ya kaka dakika ishirini za kujifikiria mama Mashoto alirejea sebuleni huku akiwa kajifunika USO wake kwa aibu Na fedheha.

Kwa mshangao wa mama Mashoto ,Mzee Mashoto akasema " NIMEFURAHI SANA KIJANA WANGU MASHOTO KUNIULIZA SWALI ZURI KAMA HILI".. Kisha akaendelea kusema Sababu iliyo mfanya afurahie kuulizwa swali kama Hilo Na Mtoto wake...

IQ test: JE KWANINI MZEE MKALI ALIFURAHIA KUULIZWA SWALI KAMA HILO NA MTOTO WAKE?

Una dakika arobaini za kujibu swali hili. Zikipita dakika arobaini bila kupata majibu nitatoa majibu.

Haya Sasa twenzetu
Seems Mzee Mkali alikuwa tasa na mama alimuuzia nanihii kwenye gunia...
 
baba alimjib mwanae

Mama mashoto njoo msikilize mwanao!!!

Mama akaja

Alipomsikiliza mwanae akaona aibu akaondoka...

Baba akamuita tena mama NJOO.....

Kwamba mtoto alijibiwa hivi

Nilimtongoza mama ako... akaondoka na kwenda kufikilia kwanza nilipomuita/nilipomfata mara ya pili aknipa jibu zuri ..

Sio kama saivi wakipewa BIA TAMU.....wanatoa vitu VITAMU
 
JIBU NI RAHISI TU,
MZEE ANAJUA KABISA KIJANA WAKE NI SHABABI NA KWA UMRI WAKE MTOTO HUYU ANATAKA MWENZA HIVYO ANATAKA KUJIFUNZA JAMBO KUTOKA KWA BABA YAKE ILI AJUE ANA ANZIA WAPI NA YEYE KUSAKA JIKO LAKE LA MAISHA.
Yawezekana mama mashoto anafanya yasiyoeleweka na ni ugonvi na mume wake kila uchao hadi mtoto anajiuliza maswali kama hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom